biashara

  1. Analogia Malenga

    Wafanyabiashara 650 waomba kufunga biashara TRA

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kilimanjaro, imepokea zaidi ya maombi 650 kutoka kwa wafanyabiashara wakiomba kufunga biashara za maduka na hoteli za kitalii kutokana sababu mbalimbali. Miongoni mwa sababu walizozieleza ni watalii kusitisha safari zao za kuja kutalii na kupanda Mlima...
  2. H

    Kubadili Jina la Biashara (Kampuni)

    Habari wanajamvi, napenda kuuliza utaratibu wa kufuata wakati wa kubadili Jina la Biashara ( Kampuni).
  3. C.T.U

    Mtaji na Faida ya Biashara ya Grocery

    Wakuu, Kwa wenye ujuzi na uzoefu naomba mawazo yenu juu ya biashara ya Bar. Vitu gani vinatakiwa, vitu gani vya kuzingatia kabla ya kufungua na mahala ambapo panafaa zaidi kwa hizi biashara za Bar. Naombeni ushauri wenu.
  4. N

    Naomba tufahamishane kwa wajuzi na wanaofanya biashara ya kununua nguo za kike za mitumba(especially suruali nzur za kike na blouses)pale memorial mos

    Habari wanajamvi naomba msaada kwa wabobezi na wanaofanya biashara hii ya kuchukua nguo za mitumba kwa kupoint suruali na blouses za kike pale sokoni memorial moshi,binafsi ni mgeni Kanda hii ya kaskazini na natarajia kuanza kufanya biashara io ya nguo Kali za mitumba za kike. Naomba...
  5. Vege

    Vile mitandao ya simu ilivyofanya Corona kama biashara ya kuwanyonya wateja

    Habari zenu wadau, Kutokana na matamko ya serikali ya watu kujifungia ndani ama kalantin kama inavyojulika, mitandao mingi ikiwemo TTCL, VODACOM, TIGO wamekua waki pandisha bei za vifurushi vyao kiholela na kupunguza thamani ya vifurushi hivyo. Wakati ili hali wanajua watu wengi wapo nyumban...
  6. Jankidust

    Fursa Biashara ya supu na chapati

    Habari wakuu, Natafuta binti alie tayari kwa kufanya biashara ya kupika chapati na supu na kuuza. Awe anaishi maeneo karibu na Ubungo (mfano Magomeni, Manzese, Mwananchi, Buguruni, Sinza, Kimara n.k). Nitatoa kila kitu (mtaji na vyombo pia) faida tutagawana kwa maelewano tutakayo kubaliana...
  7. T

    Wapi napata orodha ya categories za leseni za biashara nchini?

    Wakuu, Wapi naweza kupata (kwenye mtandao) orodha ya aina (categories) za leseni za biashara Tanzania? Ahsante.
  8. Makirita Amani

    Mawimbi yanapotulia ndiyo tunajua nani anaogelea uchi (Hatua 10 za kuchukua ili kuizuia biashara yako isife kwa mlipuko wa Corona)

    Mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea sasa duniani (COVID - 19) una madhara kwenye kila eneo la maisha yetu. Madhara makubwa kabisa yako kwenye upande wa afya, siyo tu kwa mtu mmoja mmoja, bali kwa mfumo mzima wa afya. Kwa sababu uwezo wa mfumo huu ni mdogo ukilinganisha na uhitaji...
  9. borncool

    Natafuta eneo la biashara ya chips Morogoro

    Wakuu habari anayefahamu eneo zuri au Kama unalo eneo naweza kuweka banda la chips niPM tuyajenge. Ni kwa maeneo ya Morogoro mjini kama unaweza kuwa na mgahawa mi nikaongezea chips au una duka mi nikaweka hapo karibu vinywaji vitembee nicheki
  10. T

    Ipi ni njia bora: Kufungua biashara kama mtu binafsi au kwa kutumia kampuni?

    Wakuu, Kuna biashara nawaza kuianzisha, sasa kwa mazingira ya sasa ya nchi yetu na kwa mustakabali wa biashara husika, njia ipi ni bora? Kufungua biashara na kuiendesha kama mtu binafsi au kuiendesha chini ya kampuni? Faida na hasara zake ni zipi? Hebu wazoefu fungukeni.
  11. Masokotz

    Je, kuwa na website tu kunatosha kuanzisha biashara?

    Hili ni swali ambalo huwa nakutana nalo mara kwa mara ninapokuwa katika shughuli zangu hasa pale ninapomsaidia mtu kuanzisha biashara. Mara nyingi wanaouliza swali hili ama huwa wanataka kujifunza au basi wanakuwa wanaona kama haina umuhimu. Katika kuwashauri huwa nawaambia kwamba Unapofikiria...
  12. cleverr

    Biashara ya nguo za dukani

    Habari, Naomba nipewe 1,2,3 kuhusu biashara ya nguo za dukani (kijijini kwetu tunaita special). Nahitaji kuchukulia Dar - Kyela border. Naomba kujua profit, cost, TRA. Binafsi nimekomaa mpaka mwisho nimepata 1M. NB: Fremu ipo free, ni yangu. Mchango wa mdau
  13. Extrovert

    Wadau na wajasiriamali, naomba kujuzwa kuhusu Mr. Kuku Farms na uhalisia wa aina ile ya biashara

    Juzi kuna jamaa yangu kanipigia simu akawa ananieleza vitu sivielewi elewi. Ni kitu kinaitwa Mr. Kuku Farms akidai ni mradi mkubwa wa ufugaji kuku una physical presence na ni kampuni iliosajiliwa ndio inaendesha huo mradi. Yeye ameshawishika kuwekeza huko kwamba kuna faida nzuri compared na...
  14. R

    Ushauri kuhusu biashara yangu

    Habari zenu wanabodi. Bila kupoteza muda wanabodi. Ni kwamba mwaka 2018 nilifungua duka la vipodozi, nywele bandia za kila aina pale Ubungo. Nilianza na mtaji wa 2M mbali na hela niliyolipa kodi, kutafuta leseni, n.k. Baada ya kuanza biashara, kila baada ya miezi 2 nilikuwa naongeza 2M ili...
  15. wilson nisha

    INAUZWA Makambako, Njombe: Photocopy mashine Xerox 4265

    Photocopy machine xerox 4265, inauzwa IPO makambako-njombe. Simu 0676775220
  16. Sky Eclat

    Ni muhimu kufundisha watoto biashara yako tangu wakiwa wadogo, Wahindi hili wameliweza

    Ninakumbuka familia moja ya Wahindi nikiwa mdogo. Mke na mume wote walikua madaktari wa macho. Walijaliwa kupata watoto wawili wakiume na wa kike. Walikua na clinic yao ya macho kwenye nyumba yao ya ghorofa. Chini ndiyo ilikuwa ofisi na juu waliishi wenyewe. Niliwafahamu zaidi wale watoto...
  17. K

    Nauza mayai ya kienyeji halisi(pure) siyo chotara - Arusha

    Habari wanabodi, nauza Mayai ya KIENYEJI HALISI- PURE SIYO CHOTARA. BEI NI SHILINGI 13,500/ KWA TREI MOJA. PUNGUZO LIPO KWA ATAKAYECHUKUA MENGI. KWA MAWASILIANO:- *Piga/text/WhatsApp* 0765894955/0693100453 Arusha Tanzania
  18. Makirita Amani

    Hivi ndivyo teknolojia mpya zinavyoua biashara kubwa na jinsi ya kuzuia biashara yako isife kwa mabadiliko ya teknolojia

    Maendeleo ya teknolojia yanatokea kwa kasi kubwa sana. Lakini kasi hii ya maendeleo na ukuaji wa teknolojia, pamoja na kuwa na manufaa kwa watumiaji wake wa mwisho, yamekuwa na maumivu makubwa kwa makampuni makubwa yaliyo kwenye sekta ambayo teknolojia mpya inaingia. Kuna mifano mingi sana...
  19. AFRICAN BOYI

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara. Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara...
  20. AfricaUnited

    Biashara ya kusambaza vitu na huduma kwenye makampuni makubwa

    Ndugu wanajamvi, Kwa muda baada ya kuona watu baadhi ya makampuni yakisema yametumia mabilioni ya fedha kwa suppliers wazawa haswa makampuni makubwa. Mfamo migodi, UN, viwanda vya cement, mahoteli kimataifa, Total, Songas, Oryx, Puma energy ni hasa ya kigeni. Nimevutiwa kujua haya. Naomba...
Back
Top Bottom