biashara

  1. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Kigoma Kaskazini: Nikiwa Rais nitaimarisha mazingira ya uwekezaji, kufanya biashara na ujasiriamali

    NIKIWA RAIS NITAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI,KUFANYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI"PROF.LIPUMBA" KIGOMA KASKAZINI Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana. Kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Dunia ya mazingira ya kufanya biashara ya mwaka 2020 – (Doing Business 2020), Tanzania ni nchi...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Felix Mkosamali Mgombea Ubunge wa CHADEMA atangaza biashara ya uwakili kinyume cha Maadili ya Uwakili

    Sera ya CHADEMA ni maendeleo ya watu sio vitu Wakili Felix Mkosamali Mgombea Ubunge CHADEMA Muhambwe ampinga Lissu na CHADEMA anadi sera ya maendeleo ya vitu kuwa hizo ndizo sera kinyume na Lissu anayepinga maendeleo ya vitu Wakili Mkosamali pia ametangaza biashara yake ya Uwakili kwenye...
  3. dubu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

    Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima. ''Vitambulisho havilazimishwi ni lazima itolewe elimu kwa wanaoshiriki kwenye vitambulisho ili wakafanye bishara mahali popote, tunataoa...
  4. IZENGOB

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nataka kufanya biashara ya Radio na TV kutoka Afrika ya Kusini

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina ndugu yangu anafanya biashara flani kutoka SAUZI sasa nataka kumuomba nimpe mtaji wa kuanzia 1M ili nimuagize TV na Redio kwa ajili ya biashara. Je SAUZI ni sehemu sahihi kwa biashara hiyo? Kama kuna anayefanya anaweza kunipa dondoo za bei n.k...
  5. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Pata ramani ya nyumba aina yoyote kwa bei nafuu

    Habari wakuu, Ninatoa huduma ya michoro ya ramani za nyumba. Ramani zipo nyingi za aina na ukubwa tofauti, hivyo nitatoa kulingana na mahitaji ya mteja na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Utanipa 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako. Marekebisho ninayofanya ni...
  6. 6

    JamiiForums Tanzania Naweza kuwa na namba ya utambulisho ya mlipa kodi/TIN bila kuwa na biashara?

    Naweza kuwa na namba ya utambulisho ya mlipa kodi/TIN pasi kuwa na biashara/ kuitumia?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa video kwenye biashara yako

    Hello mambo vipi.. Guys tuache masiala, if you're serious with your business (no offense) You need to start making video content for your social Media platforms. Video ni noma. Kuna msemo mtakua mmewahi kuusikia. Unasema hivi: A PICTURE CAN SPEAK THOUSANDS WORDS 📸. Ni kweli kabisa. Sasa...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufanya biashara toka Nairobi

    Wakuu naomba msaada kama kuna namna ya usafirishaji wa bidhaa kutoka Nairobi mpaka Mwanza. Hii ni kutokana na zuio la mipaka tangu kipindi cha Corona. Sasa hatuwezi ingia ila naona bado biashara mbalimbali zinaendelea nami pia nahitaji bidhaa kutoka Nairobi ila sijui wengine wanafanyaje.
  9. tzhosts

    JamiiForums Tanzania Usichokifahamu kuhusu website na matumizi yake katika biashara

    Watu wengi hushindwa kufahamu kwa hakika faida za kuwa na website kwa ajili ya biashara zao.Matokeo yake wengi wao hujikuta wakipoteza fursa ya kupata wateja na kujipatia kipato au kukuza biashara zao. Katika zama hizi ni bora kampuni yako iwe na website kuliko iwe na physical office.Kwa...
  10. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Biashara yangu changa. Naomba kuelekezwa jinsi ya kuwapata, kuwatumia na kuwalipa vijana wa kusambaza bidhaa

    Habari wakuu. Naombeni uzoefu kwa wale wenye experience hasa wajasiriamali wadogo wadogo Biashara ni ya kusaga na kupack na kuuza viungo vya vyakula. Ndio inaanza anza lakini nafikiria nipate vijana wanisambazie kwa kuanzia Dar es salaam na maeneo yake. Wazoefu nijibuni baadhi ya dukuduku...
  11. Sami Omary Khamis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa mgombea Urais Dkt. Magufuli (CCM) - Septemba 14, 2020

    MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE === MAGUFULI: Ndugu zangu wa Chato na Geita kwa ujumla, mwaka 1995 nilikuja kuomba kura kwa nafasi ya ubunge, mkanipa miaka 5, nikaja tena mwaka 2000, nikaja tena 2005. Katika vipindi vyote vinne nikiwa mbunge...
  12. Shobi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mchanganuo wa Biashara ya Nyama ya Mbuzi

    Hongereni kwa mapambano ya uchumi. Nimefikiria kuanzisha biashara tajwa hapo lakini sina uzoefu sana kama baadhi yenu humu.Kibnafsi location ya kupata mbuzi ipo nje kidogo ya mji na location ya kuweka goli langu bado nipo kwenye upembuzi yakinifu. Naomba maoni nyenu Manguli wa biashara hii...
  13. Elisha Chuma

    JamiiForums Tanzania Jicho langu la tatu na biashara ya bodaboda

    Hivi karibuni nilipata safari za kutembelea mikoa tofauti tofauti hapa nchini Tanzania, lakini pia nilipata fursa ya kubadilishana mawazo na watu wa kada na makundi mbalimbali, usafiri wangu wa kuniwahisha mahali mara nyingi nilitumia pikipiki ama jina maarufu boda boda, kitu kilichonifikirisha...
  14. drmaxmhozya

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kuanzisha naye biashara

    Naitwa max Fernandez nipo DSM nahitaji mtu wa kushea naye biashara
  15. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kuna biashara zimedoda kwa sababu ya ugomvi wetu na nchi jirani, hasa Kenya

    Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari. Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na Wakenya umeleta balaa badala ya heri. Jamaa hawaji tena huku. Bei ya kitunguu ineshuka sana. Bei ya...
  16. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Shituka haraka sana unapoona biashara yako imekuwa yebo yebo

    Nawambiaga watu hamna biashara isiyo na faida chini ya JUA yani hakuna,ukiona umefungua biashara halafu wewe huoni faida tambua 1.umekosea location 2.unafungua kitu kile kile ambacho watu wanacho tayari. tukiachana na yote hayo bado biashara inataka uvumilivu 81% unaweza ukakosea location ila...
  17. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Vyombo vya Habari inadorora na kufa kutokana na upendeleo wa habari

    Biashara ya vyombo vya habari kama magazeti, redio na televisheni kwa sasa ina yumba kutokana na uendeshaji wa Vyombo hivyo ambao una walazimisha wamiliki kutoa au kuegemea upande mmoja wakati huko wanako egemea hakuna ruzuku wanayo pata ili kuendesha vyombo hivyo. Kwa sasa kundi kubwa la...
  18. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Nini kinakuumiza kichwa katika biashara yako/zako?

    Kila mfanyabiashara/mjasiriamali anapoamka asubuhi akashuka kitandani akasimama juu akajinyoosha akagundua yupo fiti kiafya Humshukuru Mungu sana kwasababu sisi wafanyabiashara pamoja na uzoefu wetu ktk biashara,pamoja na mitaji mizuri tuliyonayo lakini BILA afya njema yote hayo = 0. kusema...
  19. Thesmartphone class

    JamiiForums Tanzania Jifunze kutangaza biashara yako na Facebook ads kupitia app ya simu yako

    Habarini wapendwa Kama kichwa Cha huu uzi kinavyojieleza kuhusu Facebook ads. Kwahivyo sisi tumeamua kukufundisha hii huduma kwa kupitia video zitakazo rushwa via WhatsApp messenger. Huduma itatolewa kwa gharama ya Tsh 1000/= na kutukua na full technical support. Napatika kwa WhatsApp no-...
  20. Mtangoo

    JamiiForums Tanzania September AMATB - Niulize Chochote Kuhusu Tehama na Biashara

    Nimeamua kila nipatapo wasaa kujaribu kusaidia kuelimisha na kushirikisha mawazo wadau mbalimbali juu ya Teknolojia na Biashara, hasa Teknolojia ya Habari na Mawasialiano. So haya na maswali ya Mwezi wa tisa kwenye Ask Me Anything Technology and Business (AMATB). Mambo ya kuzingatia katika...
Back
Top Bottom