Wapendwa kwa unyenyekevu natanguliza salamu kwenu nyote.
Nimeamua kuanza kununua bidhaa kama mikoba na pochi za wanawake moja kwa moja kutoka China kupitia Alibaba na Aliexpress na kuzileta hapa nikauza, sasa nimeout source baadhi ya supplier kwenye hiyo mitandao na kuona bei zao ni rafiki...
Hey wakuu!
Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo.
Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice hichi kilimo na walaji wapo either kimatumizi ya chakula (edible) or kimatumizi ya mafuta soften body...
Hey wakuu!
Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo.
Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice hichi kilimo na walaji wapo either kimatumizi ya chakula (edible) or kimatumizi ya mafuta soften body...
Ninaomba kujuzwa wanajf wenzangu, je ni nafaka aina gani zinaweza kuwa na soko zuri hapa mjini Dar? Na je ni mtaji kiasi gani naweza kuanzia nao? Natanguliza thanks.
WADAU WANAOHITAJI MIONGOZO KUHUSU BIASHARA HII
IFAHAMU BIASHARA YA MAZAO YA CHAKULA
Haijalishi watu ni masikini kiasi...
Na saboso JR
Kampuni nyingi za kibiashara, wajasiriamali na wafanyabiashara kwa kawaida wamejaribu kufungua biashara zao na kuwekeza kwa kasi kubwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha miundombinu bora ya utoaji huduma na bidhaa kwa kiwango cha juu, kuajiri wa wafanyakazi wengi na kuwapatia mishahara...
Biashara ya ngono imekuwa moja ya biashara kongwe tangu enzi na enzi duniani.
Tanzania tumezoea kuona biashara hii ikifanyika kwenye makasino,bar,club,kambi za uvuvi na maeneo mbalimbali ya mji.
Katika eneo la bahari ya Hindi sasa biashara hii imekuwa ikifanyika kati ya wafanyakazi wa meli...
Vijana kazi yetu ni moja tu hapa mjini,kuinuana na kupeana mbinu za kusurvive ili kuepuka zile aibu za kurudisha mpira kwa kipa na yale maneno ya "Laiti ninge",katika maneno sipendi kusikia mtu akitamka ni pale anapoanza kusema "laiti ninge" yani ukishaweka "Ninge" ktk sentensi yako maana yake...
Wasalaam ndugu zangu.
Kijana mwenzenu nimejichanga nina kiasi kama cha mil. 16, nimefikiria nimeona ninunue Noah ili nifanye biashara ya kubeba abiria walau nami nijiajiri maana nimechoka purukushani za kuajiriwa.
Hivyo basi nilikua naomba mwongozo kuhusu maeneo ambayo biashara hii inafanya...
Wakuu pita pita zangu kule Instagram nimekutana na post ya Dulla wa planet bongo akishukuru uongozi wa East Afrca kwa kumkabidhi gari aina ya marcediz benz hii ni baada ya kukitumikia kituo hicho miaka 12.
Je, hii ni mbinu mpya East Africa redio wamekujanayo baada yakuuona watangazaji wao wana...
Wakuu mko salama!
Ninaweza kukujengea nyumba kama utanipa ramani au nitakupa mimi ramani pamoja na kukuandalia bajeti kwa kila hatua. kuanzia msingi mpaka finishing.
Nikisema flat nina maana ya kujenga nyumba ambayo siyo ghorofa bali ni single roofing, isiyo na many floor.
Mfano nina design...
Karibu Deep Media Digital Agency ujipatie website bora kwaajili ya biashara yako
Kwa Tshs 450,000 tu unaweza kumiliki Website ndani ya siku 5.
Ofa hii inajumuisha yafuatayo
Utapata muonekano wa kipekee kutokana na mahitaji yako
Free Domain ya .tz and Hosting kwa mwaka mzima
Page zisifozidi 7...
Nikawaida yangu kufikilia vitu vya kitofauti, najua kuanzisha gym station Ni gharama Sana ila mi nafikilia, hivi Nikiwa na ile mashine ya mazoezi ya kukimbia, siwezi pata wateja kweli? Yaani ile asubuhi mapema naifungua na jioni mpaka saa tano usiku, ila sijui Bei zake na Kama zinaweza patikana...
Habari za mchana kila mmoja wetu.
Poleni na majukumu.
Naomba usaidizi wenu wakuu najua huku kuna watu wa namna tofauti,wafanyabiashara wakubwa,wadogo,wakati,waajiriwa na kuendelea.
Kuna biashara mbili kati ya hizo 👆juu moja wapo naitamani kufanya lkni sina uzoefu nazo kwa upande faida na...
Wakuu heshima kwenu, nipo mahali sahihi kwa wakati sahihi, na jukwaa sahihi. Tupo watu wengi humu zaidi ya 10000, so hebu tupeane mawazo, huenda mimi sikuwa nayo, mwenzangu akawanayo. Jamii yetu inachangamoto gani zinazohitajika kutatuliwa, ambapo changamoto hizo hupelekea kupata fursa ya...
Yaani haijatokea tena kwenye historia kipindi ambacho mauzo yetu ya matunda Ulaya kuwa kiasi hiki, yaani Mkenya ni king'ang'anizi kwenye kila hali. Hongera sana "bandugu"
======
Horticulture shrugs off Covid-19 to earn Kenya Sh72bn in five months
By GERALD ANDAE
Earnings from...
Chama Cha waendesha bodaboda, NFPC wameishtaki serikali ya Uganda kwa kuwa na ubaguzi kwenye kuruhusu usafiri wa umma kuendelea kufungia waendesha bodaboda kuteweza kuendelea na biashara yao
Kesi hiyo ilifunguliwa katika Mahakama Kuu ya Kampala. Waongozaji wa suala hilo wamesema kuwazuia...
Kwenu great thinkers, hapa Naitaji michango ya mawazo yenu namna ambavyo tunaweza kulitumia wazo la mchina katika shughuri zetu.
Mchina ametumia fursa ya kuwasambazia Bonanza wahitaji halafu yeye anakuja kuchukua faida, frem ulipie wewe, umeme ulipie na mlinzi juu yako, Sasa huoni Kama...
Maonesho ya biashara yanayojulikana kama Sabasaba yalianza mwaka 1962 yakiwa ni maonesho ya Kilimo yaliyokuwa yakifanyika katika viwanja vya Wizara ya Biashara na Ushirika. Maonesho hayo yalikuwa na lengo la kukuza kilimo na ushirika
Mwaka 1978 serikali iliunda Bodi ya Biashara ya nje kupitia...
Plastic welding Ni Kazi nzuri Sana ukiiendesha kisasa, yaani uwe na eneo la kuhifadhia vitu/vyombo vya wateja/kalakana, uwe na umeme. Vitu vinavyohitajika Ni; Electronic gun kwa kutobolea matundu na kuyeyushia plastics, Wire mesh laini, makret yaliyopasuka kwa kuungia plastics za wateja, hivi Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.