Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,490
- 5,525
Wengi wetu tunaamini kabisa kwamba maisha ni malengo. Biashara pia ni malengo
Strategic Plan (Mpango Mkakati) unahusisha uaandaaji wa mipango/malengo unayotaka kufikia ndani ya kipindi fulani na mikakati ya namna ambavyo unataka kufikia malengo hayo. Katika kuandaa malengo hayo unapaswa kuangalia hali halisi ilivyo,changamoto zilizopo, fursa zilizopo na uwezo wako katika uhalisia makini. Kazi ya kuandaa Mpango mkakati sio kazi rahisi.inahitaji muda na rasimali nyingine ili kuweza kuiandaa kikamilifu.
Biashara yoyote inahitaji malengo. Malengo yanakuwa kama dira na ramani ya kule unakoelekea katika biashara yako.itakupa mwongozo wa kufanya maamuzi na kukuongeza iwapo utakutana na changamoto. Vile vile inapotokea mambo yanaenda ndivyo sivyo unaweza kurekebisha mipango yako ili iendane na uhalisia. Unaweza kuwa na mpango mkakati wa muda mfupi,wa kati na muda mrefu.
Je, una mpango mkakati wa biashara yako? Tushirikishane changamoto na fursa katika uandaaji na utekelezaji wa mpango mkakati.
Baada ya uzi kuchangamka nimeongeza haya
Nafurahi sasa uzi umeanza kuteleza.Labda kwa kuchangia tu niseme kwamba Strategic Plan sio lazima iwe ndefu yenye kurasa nyingi inaweza kuwa na kurasa moja hadi tano na bado ikakupa picha ya muelekeo wa biashara yako.Kwa kawaida kuna mambo matatu ya kuzingatia ambayo ni GOALS setting,Execution,na Monitoring and Evaluation.Goals lazima ziwe SMART kama unataka uweze kuzifanyia Execution pamoja na Monitoring and Evaluation.
Ninaposema SMART Goals namaani kwamba lazima uwe SPECIFIC kwa kila unachotaka kukifikia,Lazima uwe na uwezo wa kupima iwapo umekifikia MEASURABLE yawe yanawezekana kuikiwa-Attainable yawe,Yawe ya msingi na yenye umuhimu-Relevant na ya na muda maalum wa kuyafikia-Time Bound.
Katika kufanya hivyo unaweza kutumia mbinu mbalimbali katika kuweka malengo yako ikiwa ni pamoja na kujifanyia kitu kinaitwa SWOT analysis-Uwezo,Udhaifu,Fursa,Changamoto katika kila eneo la maisha yako.
Katika kufanya hii nanlysis unashauriwa kuorodhesha kati ya 5-10 aspects za Strengths zako,Weakness Zako,Opportunities zilizopo pamoja Changamoto ambazo lazima ushughulike nazo.
Hivyo basi katika kufanya Strategic Plan ili isje kuwa Tragedic plan unapaswa kuanza kwa kujifanyia Evaluation wewe mwenye kwa kutumia mbinu ya SWOT kisha unaweka SMART GOALS na utakapomaliza utajikuta tayari umetengeneza STRATEGIC PLAN nzuri ambayo itakuongoza katika kufikia malengo yako