DN holdings company limited ni logistics company inahusika sana na kutoa shehena za mizigo mbalimbali bandarini kama mawakala wa forodha(clearing and forwading)
Dn holdings company limited tunapatikana nkrumaha street p.O.Box 6924 dar es salaam na kamata stesheni ya train. Kwa mawasiliano...
Wadau sana, habari zenu?
Naomba kuuliza, kama mimi ni Consultant/Mtalamu nafanya kazi zangu na mashirika yasiyo ya kiserikali na napata angalau kamkate ka nyumbani, wale wanao nipatia kazi hunikata 5% ya malipo yangu je hii iko sawa?
2. Je, natakiwa kuwa na leseni ya biashara mimi kama mimi...
Wakuu habari,
Naomba kusaidiwa jina la biashara. Naomba liwe fupi lakini lenye kuakisi ninachokifanya.
Biashara ninayotaka kufanya ni Agent wa kuwa naagiza mizigo kutoka Nje.
Naomba kuwasilisha.
Habari
Ningetaka kuanzisha biashara ya uuzaji mafuta ya gari
Ninatafuta partner.
Masharti :
Awe na skype, tuzungumze kwa haraka.
Kama hapendi kuandika / Kusoma, sina haja.
Ahsante
Kwema wakuu.!! nilikua nahitaj kupata mchango wa mawazo kwa wale wenye uzoef kidogo na biashara gani mtu anaweza fanya kwa kuzungusha madukani na kufanya delivery kwa baadh ya watu.
mfano hawa wanaotembeza sigara kwa pikipiki.
Tofauti na hivo ni biashara gani nyingne unaweza ifanya kwa...
Naitaka Serikali ifufue na ianzishe upya Shirika la mabasi ili gharama za usafishirishaji ziwe rahisi.
Kwa kuliacha soko la usafirishaji abiria kuwa huru ndipo sasa gharama za kusafiri zimekuwa juu! Eti leo ili nifike kwetu IMALASEKO inanibidi niwe na kiasi kisichopungua elfu sabini (70000) hii...
Biashara ya filamu imeenda chini sana kuanzia enzi za Kanumba kwasababu hakuna ubunifu. Mimi kama diaspora nimefanya uchunguzi kujua kwanini hii inatokea. filamu zetu zinaiga na kujaribu kushindana na Nigeria lakini Tanzania tuna kitu kimoja ambacho wenyewe hawana. Sijawahi kuona picha kutoka...
Biashara za ahadi ya malipo ya tarehe fulani (Promissory Notes). Kwa wabongo ni sumu usijaribu huwa hawajali muda!
Hii kitu imenisababishia headaches mpaka sasa nimekwama. Kuna watu nimewauzia mali wakalipia Advance ila kumalizia mikia ndio imekuwa shughuli.
Tunasumbuana mpaka nafikiria...
Habari za kazi wapambanaji mimi ni mkazi wa Dodoma mjini nilipoanza mwaka 2020 nliandaa mpango wa kufungua saloon ya kusuka ifikapo mwezi March mwaka huu lakin ilipofika huo mwezi ikawa kumeingiliana na mambo ya Corona hali ikawa sio nzuri nikahofia sananhasa kwa biashara ambayo inaanza nilipata...
Mimi ni Kijana mwenye bachelor yangu ya IT lakini nimeamua kujikita kwenye biashara ya ununuzi wa mazao kama soya, ufuta na mahindi kwa kipindi hiki cha mavuno kutokana na kuwa na uzoefu na biashara hii kwa muda mrefu sababu nimekulia mazingira ya kijijini.
Lengo langu nipate mtu atakayekuwa...
Napatikana( Simanjiro) mji mdogo wa Orkesumet natafuta mtu mwenye mtaji tufanye biashara ya mazao kipindi hiki cha mavuno, mazao ya Mahindi na Maharage. Mawasiliano zaidi ni 0688057418 na 0757057873
Zunguka duniani kote!
Biashara ya ukahaba ipo tangu enzi za mitume!
Hata Yesu mwenyewe katika pitapita zake mtaani Aliwahi kukutana na kisa Cha kahaba! , Ni pale kahaba alipo busu miguu ya Yesu na kumfuta kwa nywele zake,...Ni pale alipowaambia wale sungusungu
...."Ambae hajawahi kutenda...
Mkuu wa wilaya ya Gairo amemtuhumu mwenyekiti wa CCM wa wilaya kwamba amehongwa gari na mbunge Ahmed Shabiby ili wambebe kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya amewataka Takukuru wamshughulikie mwenyekiti huyo.
Naye mwenyekiti wa CCM amesema gari hilo hajahongwa na Shabiby kama inavyodaiwa bali...
Mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini mh Patrobas Katambi amesema biashara ya ukahaba imeshamiri wilayani kwake na wanunuzi wakuu wa Huduma hiyo ni wabunge na zaidi wa upinzani.
Katambi amesema kuanzia sasa hawatawakamata makahaba pekee bali pamoja na wateja wao. Amedai kuwa anazo namba za magari ya...
It’s highly unusual for a 20 year+ established Stock Exchange to have a trading volume of 0 - a whole trading day without a single share being traded. Not even a cent! One for the financial history
Wakuu wenye uzoefu na ambao mko ndani ya hii biashara naombeni insights za jinsi ambavyo mna handle clients kuanzia step ya kuwalipisha pesa hadi mnapomaliza biashara husika.
Kikubwa nataka kujua nini kinaendelea baada ya kumpata mteja, ni kwamba ana deposit hela kwenye acc. ya kampuni kwanza...
Habarini za majukumu!
Naomba kufahamu masoko nafuu ya vifaa vya kielektronik vya mtumba mfano TV, Laptops nk.
Nataka nianze kufanya biashara ya vifaa vya kielektronik vya mtumba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.