Habari,
Nafikiria kumfungulia mdogo wangu biashara ya Bajaji ili apate kitu cha kufanya ila sijui biashara hiyo sana.
Je, biashara ya kuendesha Bajaji inalipa? Kwa siku mtu anaweza pata kiasi gani?
Bei ya Bajaji mpya kiasi gani? Iliyo tumika kiasi gani?
Kingi chochote nijue?
Asante sana
UTANGULIZI
Wakuu; hivi karibuni Waziri wa Fedha Dr Mpango alialika watu kutoa maoni yao kuhusu mambo wanayoyaona kuwa ni kikwazo (au vikwazo) kwao katika kufanya biashara na akaahidi kuwa serikali itayafanyia kazi maoni hayo. Ni kwa sababu ya wito huo (najua watu wa serikali hupitia hapa) natoa...
Kuna kabiashara ka mkopo kameanzishwa na kampuni ya Vodacom, wanacharge riba pamoja na processing fee.
Swali nililojiuliza ni mbona sipati message za mgawanyo wa hayo mapato kwa serikali kama vile wanavyotutumia ukinunua voucher?
You have received an overdraft of TZS.10,107.00 You will be...
Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo...
Salaam waungwana, ndugu zangu nina wazo la kutaka kufungua biashara ya kuuza mabegi aina zote yaani mabegi makubwa ya nguo, saizi ya kati, ya mgongoni na hand bags za wadada. naomba mnisaidie mawazo kwenye mambo yafuatayo:-
- Chimbo la kupata mabegi makubwa yale ya nguo kwa jumla hapa dar...
Habari wadau!
Hope mko poa kabisa, na kwa neema za Mungu tunatumai atatuvusha mwaka salama, kwa wale ambao ni wagonjwa na wenye shida mbalimbali, basi ni maombi yangu kwa Mungu wa Mbinguni akuponye na kukupatia wepesi kwa yale unayopitia.
Teknolojia inakuwa kwa kasi sana, na kila siku mambo...
Habari wana jamvi,
Naomba ushauri nataka kwenda uganda kuleta nguo za mitumba, pochi na viatu pamoja na vipodozi napenda kujua cha kufanya maana ndo nataka kuanza ikiwemo accomodation nikiwa uganda,je huku Tanzania nitaziuzaje, mtaji kwa mzigo wa kwanza uwe shingapi vip usafiri,Ushuru na TRA...
Nipo Geita kiutafutaji kwa miaka 6 sasa. Mwaka 2017 kuliibuka machimbo jirani na ninapoishi.
Kama utakuwa una ABCs za uchimbaji mdogo wa dhahabu, kuna mashimo mafupi (sesa) na marefu (Rongo).
Hayo machimbo yalilenga sesa yaanI ni kuchimba ft 15-20 unakuwa ushapata udongo wenye dhahabu...
MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII
Habari ndugu zangi ,
Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki...
Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
Monitoring system maalumu zinazotumia muunganiko wa camera zenye nguvu zinazokuwezesha kusimamia biashara zote zilizo sehemu yoyote, popote ulipo utaweza kupokea picha za matukio yote katika maduka yako, migahawa yako, salon zako, yaan sehem yoyote unapohitaji kusimamia ukiwa haupo.
Sasa...
Mimi nadhani ni sehemu za kuuza vitu vingi vingi kwa bei nafuu kiasi. Mimi naamini ukiamua kukomaa na minada unaweza toka na hela nzuri sana tu.
Nadhani kuna mikoa na mikoa yenye minada mizuri, nyie vijana ambao hamjui mfanye nini fanyeni biashara za vyombo vile vya bei ya chini.
Jana nilienda...
Wakuu salaam,
Kwa ambaye ana ufahamu na hii biashara, naomba muongozo na sio kwa kutumia gari ni kwa kutumia trecta.
Naomba mchanganuo na kwa kifuli nini cha kuanzia.
Sina kampuni.
Serikali ya Zambia imehalalisha kilimo cha bangi kwa sababu za kiuchumi na tiba.
Kwa hatua hiyo, taifa hilo linakuwa la hivi karibuni kabisa katika kuridhia matumizi ya bangi. Kwa mujibu wa taarifa ya msemaji mkuu wa serikali ya Zambia, Dora Siliya, idhini ya kufanya biashara ya bangi...
Fanya biashara yako kijanja na kisasa zaidi. Tuna Software ya:
1. Shule: kuanzia nursery hadi Chuo.
Ina vipengele vinne Academic, Library, Account na Payroll
Taarifa za usajili wa mwanafunzi, kutunza rekodi ya majaribio/mitahani, kutoa ripoti, kutunza kumbukumbu ya...
Habari,
Wengi wameenda Business school, wamesoma uchumi, wamesoma marketing na wengine wamefanya mpaka PhD katika maeneo ya biashara lakini bado wanapokuja katika real life situation wanajikuta wakikwama katika biashara nakujikuta wakikata tamaa. Ni ukweli usiopingika kwamba ili uweze kufanya...
Watu wengi tumekuwa tukilalamika kuhusu kukosa mitaji ya kufanya biashara na kutuwezesha kujiajiri. Ukosefu wa mitaji umekuwa ni kilio cha vijana, wazee, walemavu, wakina mama na kila mtu. Hata mimi ni mmoja wa hao ambao nilifikiri kwamba nahitaji mtaji ili niweze kutimiza malengo yangu.
Katika...
Tabia ni nini:Tabia ni mambo au matendo ya kimazoea ambayo unaweza kuyafanya au kutokuyafanya bila kutafakari,kuhofia au kujali matokeo yake.Ni utaratibu uliozoeleka na kukubalika kwa mtu mwenyewe kutokana na mazoea aliyojijengea.Tabia inaweza kuwa nzuri au mbaya katika muktadha fulani na...
Ndugu wapendwa mimi ni kijana mwenye uchu wa maendeleo,ninapatikana Dar es salaam nataka nifungue office ya kutengeneza alluminium,Mm si fundi bali nataka kuajiri mafundi na niwalipe kulingana na kazi.Napenda kujua vifaa vinavyohitajika,mtaji wa kuanzia,upatikanaji wake,soko la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.