Habari;
Leo nimeona niwashirikishe watu fursa,Wakati nikielezea hii FURSA niweke angalizo kwamba "UKIITIWA FURSA UJUE WEWE NI FURSA" so kama hutaki kuwa fursa basi wewe hii fursa haitakufaa.Baada ya kutoa anagalizo basi niende moja kwa moja kwenye mada ya msingi.
Kama sehemu ya majukumu yangu...