biashara

  1. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Day Care na shule za chekechea Arusha zimeshamiri kulikoni?

    Ggg
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwasiliana na makampuni ya kuagiza hardware toka nje ya Tanzania

    Nahitaji kuwasiliana na kampuni zilizo sajiliwa na zenye ofisi Tanzania, ambazo zina uwezo na uzoefu wa kuagiza electrical, mechanical na instrumentation equipment and parts. Kampuni iwe na uwezo uzoefu wa kuagiza baada ya kupata order toka kwangu, kusafirisha, clearance, na ku deliver...
  3. mangada

    JamiiForums Tanzania Naomba kuifahamu biashara ya uvuvi wa samaki baharini

    Wenye exprience nipeni mwongozo boti ninayo tayari na mota pamoja na net nipeni profit and loss za hii biashara Eneo la uvuvi ni Mtwara
  4. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuchimba mawe ya gypsum

    Habari Naomba kufahamu anayeijua biashara ya kuchimba mawe ya gypsum. Kwa maeneo ya kilwa au makanya. Gharama Hadi kiwandani ni kiasi gani, na faida ni kiasi gani Nawasilisha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tujadili na kuchambua: Maeneo matatu yaliyojikità katika mazungumzo ya mama na makamu wa rais wa marekani- Demokrasia, biashara & uchumi na Afya/coron

    Kama ilivyo kawaida ya wamarekani, agenda yao pendwa wanayotembea nayo duniani ni agenda ya DEMOKRASIA!! Demokrasia kama demokrasia kwa jinsi tunavyoifahamu sisi haina tatizo lolote!! Ila kwa mtazamo wa mabeberu hasa democrats wa marekani na Labour wa uingereza ni kuwa kipimo cha demokrasia ni...
  6. Mr sule

    JamiiForums Tanzania Nishauri katika biashara hii nijifunze kutoka kwako

    Habari JF Wadau Pitia hapa kama una uzoefu nishauri jambo hili. Nataka nifungue ofisi kubwa mwezi wa kumi, ambayo itakuwa imebesed kwenye maswala ya exhibition display designer industrial / project designer(ila hiii sina hakika sana) web designer Photographer Advertising & promotions manager...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara ya mtumba

    Nampango wa kuanza biashara ya kuuza mtumba (men jeans) kwa kufungua mabalo plz jeans yeyote ndugu zangu mwenye ujuzi Naomba ushauri kuhusu biashara ya hii pia naombani kwa anaejua wauzaji wa mabalo kwa Arusha
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hainan: Kijana Mwafrika anafurahia sera ya kupunguza na kusamehe ushuru ya bandari ya biashara huria ya Hainan

    Kingsford na wenzake walikuwa wakijadili mpango wa biashara katika eneo la uvumbuzi na ujasiriamali wa mtandao wa internet la Fuxing City, huko Haikou, mji mkuu wa mkoa wa Hainan. Kijana huyu kutoka Ghana alianzisha kampuni ya biashara ya kimataifa ya Kingsford ya Hainan mjini Haikou, na kuwa...
  9. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kufanya biashara ya Ngozi ya Ng'ombe Nje ya Nchi?

    Nimeleta ombi lengu huku kwenye Jukwaa hili najua huku kuna watu wengi zaidi, hebu kama umewahi kufanya hii biashara au kama una watu unawafahamu wanafanya hii kitu tafadhali naomba details, 1. Upatikanaji 2. Bei 3. Vibali Shukrani
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ngozi mbichi ya Ng'ombe nje ya nchi

    Habari za kazi, hivi mu akitaka kufanya biashara ya ngozi ya ng'ombe mbichi kwa Tanzania kwenda nje ya nchi inawezakana? Upatikanaji wake na bei zake zikoje? Natanguliza shukrani sana. Naomba kujua taarifa zifuatazo 1. Upatikanaji wa Ngozi mbichi ya Ng'ombe 2. Bei yake kwa ngozi 3. Vibali 4...
  11. Dr Msweden

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niende jeshi au niendelee na biashara zangu?

    Habari za mida? Mimi ni Daktari ,doctor of medicine nina umri wa miaka 28yrs nimejiajiri nina pharmacy moja na maabara moja na nipo mbioni kufungua dispensary na pharmacy nyingine faida ninayopata kwa siku wastani ni laki 5, hapa kati imetokea changamoto mzee aliniambia niandae CV zangu ana...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ni wabunge na wanasiasa wangapi wanajishughulisha na biashara ya mafuta?

    Juzi kati hapa niliona sehemu wamarekani wanalalamika. Wabunge wao wanajihusisha na inside trading kwenye soko la hisa. Inaonekana kwa kutumia nafasi zao wanapata taarifa nyeti zinazowawezesha kufaidika na soko la hisa. Wakata waache kujihusisha na habari za soko la hisa. Sasa hapa kwetu, hivi...
  13. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Kwa wazoefu wa biashara ya miamala

    Nimejikusanya kiasi cha kupata laki nane, kazi kibarua (dayworker) kwa sasa nimeona kujiajiri ni vena Sana. Sasa nauliza je kwa ongezeko kubwa la vibanda vya mobile money je itafaa kupambana hapo kukuza mtaji Kama kujiajiri. Je, laki nane ikizunguka vizuri inaweza toa faida Bei gani kwa...
  14. UZZIMMA

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Namna ya kutatua tatizo la kuzuiliwa kuweka matangazo facebook ukurasa wa biashara

    Jamani wataalam. Nina shida katika ukurasa wangu wa biashara wa facebook. Inaandika BOOST UNAVAILABLE katika post zote. Kiujumla upande wa matangazo AD haufanyi kazi kabisa. Naomba msaada wenu maana mimi naishi kutokana na matangazo baada ya ku-boost katika akaunti yangu ya biashara. Mtu...
  15. JF Member

    JamiiForums Tanzania Pesa za Anwani ya Makazi zimepigwa? Barua ya kuomba wafanya biashara kuchagia ya nini?

    Nimepata hii barua ninmesikitika Sana. Wakati wa uzinduzi tuliambiwa pesa ipo. Sasa hii barua ni ya Nini? Au ndio kura kwa urefu wa kamba yake? Huku namuona waziri akiwa anatembea na Choppa. Nazani tumeona. Hii barua inamaana gani kwetu wananchi?
  16. United ya Ferguson

    JamiiForums Tanzania Kariakoo na biashara zake

    1. Biashara ya jezi mfano jezi za Simba, Manchester, Arsenal, Livepoor, Yanga, Mtibwa. N.k 2. Biashara ya simu na vifaa vyake mfano simu za android na iphone 3. Biashara ya vifaa vya electronic mfano sabufa, TV, fridge, rice cooker n.k 4. Biashara ya magauni ya wanawake. Mfano magauni ya...
  17. Ramsy Dalai Lama

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi hufanya vizuri kwenye ajira lakin wana fail kusimamia biashara zao wenyewe ama hua hawaanzishi biashara zao

    Because wengi wao they don't know how to run a business in general Kuna watu ambao wako really good at what they do, and have a wealth of knowledge in their field. Na unakuta kiasi kwamba, the company they work for zinamafaniko kwasabab yao na ukute bila wao mambo hayaendi. Lakin sasa kuanzisha...
  18. Mnazinguakinoma

    JamiiForums Tanzania Wauza simu wa dar pitia hapa tufanye biashara.

    Habari za wikendi wakuu. kwa wale wafanyabiashara wa simu za jumla mimi natafuta mtu ambaye tutafanya nae biashara niwe nachukua simu kwake kwa bei ya jumla hata kama upo mkoani hasa wa iringa mjini au mafinga na makambako njoo inbox tuyajenge. Simu ndogo za batani ndo ninazotaka. Nawatakia...
  19. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Uwekezaji katika Kilimo Biashara

    Habari za wakati huu, Leo nimeona nilete mjadala mdogo ndani ya mjadala mkubwa unaohusu sekta ya Kilimo. Kabla ya kuingia katika mjadala niweke wazi kwamba mimi sio mkulima wala sio mfanya biashara inayohusu kilimo.Hata hivyo mimi ni mfuatiliaji wa masuala mbalimbali ya kilimo na Biashara na...
  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Tanzania haina wafanyabiashara wa Petroli

    Kwa mtazamo wangu Tanzania haina wafanya Biashara wa Petrol bali ina wasambazaji wa Petrol Hii ni kwa sababu, Petrol inanunuliwa kwa usimamizi wa serikali, inapangwa bei na Serikali, wasambazaji wanachukua kupeleka vituo vya mafuta kuisambaza kwa bei waliyo pangiwa na Serikali (kama MSD inavyo...
Back
Top Bottom