LOYAL AMANI
New Member
- Jul 13, 2021
- 1
- 10
Habari wanajamii.
Mwaka jana mwezi wa Desemba nilikuwa naangalia filamu iliyotafsiriwa na Ahmada Abdulrahman maarufu kama Dj Mark nikajiuliza inashindikana nini kuingiza sauti za Kiswahili kama wanavyofanya Azam tv kwenye tamthilia zao kama Sultan, Jamai raja na Kufli. Jibu ni kwamba gharama ya copyright ni kubwa sana.
Baada ya kufanya utafiti nikakutana na scientific paper inaelezea jinsi ya kuandika program ya kutoa sauti za waigizaji kwenye movie zilizopo kwenye website ya netflix ili kubaki na music&effects track unayoweza kuiwekea sauti za kiswahili.
Kwa kuifata hiyo scientific paper nimeiandika program ya kutoa sauti na kubaki na music & effects track.
Hivi sasa ninatafuta wadau wa kufanya nao biashara hii watakaoweza kugharamikia hardware za studio kama Pc, sound card, na mic pamoja na gharama za uendeshaji kama kulipa voice actors na watendaji wengine watakaohitajika.
Plan yangu ni kuziuza movie zilizotafsiriwa kwa CD kariakoo kama wanavyofanya wanaotafsiri kwa voice over kama Dj Mark, Murphy na wengineo.
Nimeongea na buni hub pale tume ya sayansi kuhusu kuitumia office space yao kwa ajili ya studio kipindi cha mwanzoni.
Niko tayari pia kuchangia mtaji katika hii project.
Ninapatikana kwa namba 0689281120; piga simu au text muda wowote ule kama uko interested kujua zaidi kuhusu business projections au kama una swali ungependa nikuelezee zaidi.
Natanguliza shukrani