biashara

  1. Mark Francis

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye RAV 4 J namba D rangi bluu,kijani au silva kwa bajeti ya 9m anipm haraka tumalize biashara

    Nahitaji rav 4 J yenye rangi twajwa hapo juu
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tumeshamalizana na Biashara United, tunawafunga bao zisizopungua 3

    Yaani ushindi leo hauna shaka kabisa. Wanayanga tuhesabu Points tatu Magoli Lumbesa. Mpira pesa. Mafundis wetu wa mipangao wamekamilisha kila hatua stahiki ya kutupatia ushindi wa kishindo. Hawa Biashara ni wetu sana hawajawa na Ubishi kabisa. Mjini mipango, mjini shule.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tusiwaharibie future watoto na wadogo zetu kwa kuwashauri wasisome masomo ya biashara!!!!!!

    Nimefanya utafiti wangu mdogo na nimegundua kuwa nafasi nyingi sana za kazi zinazotoka kila siku ni za accountants, watu wa finance, HRs na Auditors. Na ni kazi ambazo zinalipa vizuri sana kulinganisha na kazi nyingine. Sasa kuna huu mtindo wa wazazi au wanafamilia kuwasukuma watoto wasome...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: tafsiri ya ndoto ya kuokota pesa na biashara ndogo.

    Habari zenu wakuu. Samahani nina jambo nimelikumbuka nikaona bora nifuatilie kuna nini nyuma yake juu ya ndoto hizi. Ama hazina maana. Nimeota usiku mmoja. Ya kwanza nimeota niko njiani natembea sehemu siifahamu hakika, nikaona noti kadhaa za efu kumi kumi hivi nikapiga chabo pembeni kama kuna...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye biashara za Generators na Solar zarejea kwa kasi ya ajabu nchini Tanzania

    Ni baada ya umeme kukata ovyo kila saa, bila mpangilio maalumu nchini, na kupelekea hasara za ovyo kwa Wananchi na kwa Taifa, hususani uharibifu mkubwa wa vyombo vitumiavyo umeme. Pia kuzorota na kudorora kwa shughuli za kiuchumi zitegemeazo umeme na kupelekea kudumaza na kushuka kwa pato la...
  7. Mtangoo

    JamiiForums Tanzania Unatumia mfumo gani kuendesha biashara yako?

    Mwaka ndio unaelekea mwisho, na ni wakati wa kufanya majumuisho. Kuna mengi ya kuangalia, lakini kwa leo tuangalie mifumo. KWA WATUMIAJI WA MIFUMO 1. Umetumia mfumo gani 2021? 2. Experience yako imekuwaje mwaka huu 2021? 3. Unadhani mfumo husika umekidhi mahitaji yako na unataka kuendelea nao...
  8. F

    JamiiForums Tanzania NI WAZI PHD NI BIASHARA TANZANIA

    Baada ya maoni mbalimbali juu ya PhD zinazotolewa kwenye vyuo vya Tanzania ni dhahiri kuwa kuna biashara nzuri kwenye eneo hilo. Hii ni aibu kwa Vyuo vyetu na kuna haja ya uchunguzi kufanyika. Naamini soon tutakua na PhD za chupi. Wasalaamu Mdau wa PhD.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo

    Hello wadau. Nimefungua duka la nguo za mtumba eneo flani.. lakin kwa sasa nimeweka vinguo t vya kitoto na kanzu za msikitini za kiume. Ila biashara ya baibui za mtumba na vinguo vyngn vya mtumba vinaend san so ikiwa kuna yyte ambae atakubali kuingia ubia na mimi katika hyo baishara na...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna familia zinauza bangi / gongo mitaani toka zamani mpaka watoto wamerithi, hili linawezekana vipi?

    Kuna nyumba zimezoeleka miaka nenda rudi kuuza bangi na gongo mitaani, hadi sasa ukienda zinaendelea, unaweza kukuta watoto ndio wanaoziendeleza baada ya wazazi wao kustaafu. cha ajabu mapolisi wapo, na tena huwa wanabadilishwa wanakuja wengine wapya. Wote tunajua kuuza huu mmea ama gongo...
  11. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Mtibwa sugar vs Biashara United: Mtibwa yafufukia Manungu

    Mechi inaendelea dk ya 80 mtibwa anaongoza 2-0 na bado anashambulia kwa kasi Sana. Magoli ya mtibwa yamefungwa na Gorge Nzigamasabo Steve 12'p Demla dk ya 62' Hii ni mechi ya kwanza mtibwa kushinda msimu huu Hii ni mechi ya kwanza kuchezwa manungu msimu huu Sasa mtibwa wamefikisha point 5...
  12. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Mwenye gari aina ya Carina Ti namba B au C tufanye biashara

    Nataftuta gari tajwa hapo juu iwe katika hali ya kuridhisha bila technical faults. Namba iwe B au C kama unayo naoma share namimi humu unipe bei kisha tutawasiliana.
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Tanzania na Kenya zakubaliana kushirikiana katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona

    Tanzania na Kenya zimekubaliana masuala mbalimbali ikiwemo kuimarisha Mpaka, kushirikiana katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona na kushirikiana kwenye Sekta ya Utalii. Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza hayo Ikulu Dar es Salaam baada ya Utiaji Saini wa Hati za Makubaliano na Ushirikiano...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna ushindani wa biashara kuna vita ya biashara

    Tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kutofautisha biashara za ushindani na biashara za vita. Biashara za ushindani ndio ideology kubwa inayopelekea nchi nyingi zilizoendelea kwa kasi. Asilimia kubwa ya biashara za ushindani ndio chachu ya kukuwa kwa ushindani kama aina mpya ya mitindo ya...
  15. Onlyobby

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya mtumba

    Habar wana jf, Naombeni muongozo kwa mwenye uwelewa wa mazingira ya Mwanza anipe mwanga ni wap naweza pata viatu vya mtumb (raba) kwa ajili ya biashara. Ningependa ufaham n wapi na lin naweza kwenda n ku point raba kali na ninatakiw niwe na mtaj kiasi gan, (unatakiwa kupoint kuanzia pair...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wenye kuhitaji kufanya biashara Ujerumani, Uswisi na Austria tuwasiliane

    Habari Wakuu. Kwa wale wenye bidhaa au huduma ambazo wanataka kuzitangaza Ujerumani, Uswizi au Austria tuwasiliane. Ninatoa huduma hiyo katika nchi hizi ambapo lugha ya Kijerumani inatumika. Matangazo ya biashara yatakuwa katika lugha ya Kijerumani. Nimefanya miaka mingi kwenye biashara ya...
  18. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuige mfano wa Uganda kuwajengea DRC barabara Ili kufungua biashara

    Hello members. Hivi karibuni nchi ya Uganda imeanza ujenzi wa barabara za kimkakati zinazolenga kukuza biashara baina yake na nchi ya DRC Congo.. Barabara hizo zinajengwa ndani ya Mipaka ya DRC kwa makubaliano maalumu na kuharakisha kukuza biashara na uchumi. Kwa mtizamo wangu ,hili ni wazo...
  19. OLS

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuhitaji vijana wajiajiri, vitabu vya masomo ya biashara na uchumi ni vichache kwa shule za Advance level

    Kwa takwimu zilizopo katika tovuti ya TAMISEMI, vitabu vya masomo ya biashara kwa wanafunzi wa Advanced Level ambayo ni Accountancy, Commerce na Economics ni vichache ukilinganisha na vitabu vya masomo mengine Kwa mwaka 2021, kulikuwa na vitabu 378 vya Accountancy, 392 vya Commerce na 4,057 vya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Biashara zipi hazina kodi

    Nipo wilayani nafanya biashara 2.moja Ni ya kununua na kuuza mifugo, hakika sijawahi lipa Kodi, 2. Biashara ya chuma chakavu hii ina usumbufu mwingi, vibali polisi , rushwa , kutishwa tishwa, nataka kuacha niambie Ni biashara nyingine ipi ipo free from tax nifanye
Back
Top Bottom