biashara

  1. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?

    Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara? Unakuta katandika mtandio /kanga analala chini eneo la biashara Credit to 6Was9
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

    Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye? Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka akuache siku za usoni. Kwasabb unampa uwezo wa kiuchumi ili asimame peke yake. Mwanamke ili atulie kwenye...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara ya nyumba ya wageni

    Hii biashara ina faida sana, ukiwa na vyumba 10 kwa 20,000 chumba kimoja na vyote vikapata wateja, una uhakika wa 200,000 kwa siku. Nyumba hizi hustiri wengi wenye uwezo wa kati na wa chini. Wale wasio kudumu hoteli kuanzia 100,000 kwa siku. Changamoto moja kubwa ni ustaarabu, watu wengi...
  4. Mparee2

    JamiiForums Tanzania NSSF kusitisha huduma ya matibabu ya mwanachama kutoka Shirika binafsi baada ya kustaafu haiingii akilini

    Kwenye maadhimisho ya Mei Mosi nilisikia kitu cha ajabu sana kwenye risala ambacho naamini Muheshimiwa Rais hakukisikia vizuri kwani hakukitolea maoni yake. Hivi inaingia akilini eti mfanyakazi wa shirika binafsi (Private) aliyekuwa anachangia michango yake kikamilifu huko NHIF akistaafu...
  5. Mr HQ

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri Kuhusu Biashara ya Kukodisha CD za Movies

    Habari Ndugu Zangu Naimani Wote Ni Wazima Wa Afya.🙏 Ndugu Zangu Nimepata Wazo La Kufanya Biashara Ya Library Yani Kuban Movies Kwa empty CD Na Music Pia Kuuza Flash Na Memory Card Pia Kuuza Vifaa Vidogo Vidogo Vya Simu Kama Vile Earphones, Makava Ya Simu Na Chaji. Kwani Mtaji Ninao...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mafuta kumevuruga biashara yetu ya mbogamboga

    Kijana wangu alitafuta ajira kwa miezi sita baada ya kumaliza chuo. Mwisho tuliamua kuingia katika kilimo cha mboga mboga. Shamba ni la urithi la ekari tatu, tulikodi trekta kung’oa visiki. Tulichimba kisima na kununua simtank la litre 3,000 pamoja na pump yake. Ilibidi kujenga kibanda na...
  7. n-propanol

    JamiiForums Tanzania Fursa za Biashara Uganda

    Habari wadau. Poleni kwa majukumu. Kwa wale wanaoijua Uganda, naomba kujuzwa fursa zipi za Biashara zinazopatikana kule. Asanteni
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza vyombo vya kupikia kwa 400k as capital inawezekana?

    I hope Wote wazima na walio wagonjwa Mungu awape Tumaini jipya wapate kupona na kurejea katika Majukumu yao Amina🙏 Tuje katika wazo Mimi Ni kijana 24Yrs naishi Dsm kwa sasa hivi nimepata wazo la kuanza kuuza Vyombo vya kupikia kwa capital ya 400k tu . Nahitaji kujua starting point Mimi...
  9. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

    Mkinga anaweza kuanza biashara ya kuuza maji ya kandoro tu, mtaji elfu 15. Baada ya Mwaka unakuta anamiliki kiwanda cha Maji Huko Boko mtaji milioni 50😂😂😅😅😅 Usiniulize kafikaje huko, hawa watu wana miujiza sana kwenye biashara na kamwe hawatoi siri
  10. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Maturubai

    Mzoefu na hii biashara jamani nataka nianze,nipo location ambayo nahisi naweza kuanzisha; 1.Yanapatikana wapi kwa bei ya Jumla hapa Mwz au Dar. 2.Bei gani yanauzwa? 3.Utaratibu wa kukodisha upoje kwa wazoefu. 4.Pesa ninayo ya kutosha labda nipate uzoefu na changamoto za biashara haswa kwa wateja...
  11. Bossprota

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Biashara ya Ufundi Simu

    Habari Wadau! Mimi ni kijana mtafutaji wa hali ya chini kwanza niseme jamii forums n8 sehemu iliyonifanya nipate wazo hili ambalo naweza sema lime badilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa! Mnano mwaka jana mwezi wa 9 nilifanikiwa kupata uzi hapa jf wenye ushauri juu ya biashara ya ufundi simu...
  12. mgt software

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unajua kuwa wanaohujumu Kilimo ni hizi Benki za Biashara?

    Wana Jf Nimefanya sana harakati za kilimo chenye tija ili kuinua pato la taifa pamoja nami mwenyewe kupata fedha za kujikimu. Nilichokutana nacho ni kile buraha buraha za vijana wa benk wasio na ujuzi wowowte kuhusu kilimo. Katika kilimo kuna mazao ya muda mrefu kama michikichi, embe...
  13. DOKEZO

    JamiiForums Tanzania Biashara - faida pande zote kwako na kwangu ndani ya miezi mitatu

    Habari, Iko hivi: Nina gari yangu Toyota Wish ambayo nimekuwa nikiitumia katika biashara ya Taxi mtandao( Uber,Bolt,Ping,Tantaxi,Little ride). Nilipata changamoto ya ghafla ya kifamilia na sikuwa na akiba ya pesa ikabidi niweke bondi hiyo gari.Gari inadaiwa Tsh 1,600,000/=.Nimepambana...
  14. Ibrahim daud

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Freezer nzuri kwa watu wa biashara ina mwezi tu

    Ina mwezi mmoja Lita 250 Price : 700k Kinondoni DSM 0718909429
  15. Interest

    JamiiForums Tanzania Kuna 'misinformation' inaendelea kuhusu Uber/Bolt kufunga biashara Tanzania..

    Sababu za tishio la kufunga biashara kwa makampuni haya sio sababu halisi kama wengi wanavyozipokea. Ukisoma statements zao, zimeandikwa kimkakati kwamba LATRA wameongeza new charges ya 15%. Seriously?!. Sio kweli kwamba Serikali imeweka kodi mpya ya 15%. Uhalisia ni kuwa LATRA wamewataka Uber...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Radio za kidini na Matangazo ya Biashara

    Kwanini redio hizi nazo zinahusika kwenye Matangazo haya ambayo mengi ni ya uongo-uongo? Mfano:"Aaa! jirani unahangaika bure, dawa ni moja tu!(anaitaja) zingine zote fake!
  17. BintiTee

    JamiiForums Tanzania Majengo ya Biashara ya shirika la nyumba Tanzania(NHC)

    Habari wa JF Poleni na majukumu Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu,hivi mtu binafsi anaweza kumiliki hizi nyumba za biashara kama frame kutoka NHC na kupangishia wengine kama mmiliki moja kwa moja au ni lazima zibaki kwa shirika na wewe unakuwa tuu kama middle man. Asante kwa kufahamishwa...
  18. wadray

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kubadili eneo la biashara

    Habari ndugu zanguni, naombeni msaaada wa kiufahamu hivi ikiwa unataka kuhamisha biashara yako kutoka mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine lakini biashara ni ileile na ni ndani ya wilaya na mkoa huohuo, Je kuna haja ya kwenda TRA na HALMASHAURI kwa ajili ya kubadili location ya biashara au unasubiri...
  19. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi wachaga pekee ndio mnaweza biashara ya bar au nyumba za starehe?

    Wadau sijui hii kama ni mimi tu nimeliona kuna hili la bar na nyumba za starehe kama clubs na vingine yaani asilimia 70 ya hivi vitu wamiliki ni wachaga yaani kila bar utasikia hiyo ya Kimaro sijui mara sijui Mushi mara sijui Lyimo hivi kuna Siri gani kwenye hili naomba nisieleweke vibaya...
  20. mathsjery

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Jipatie tovuti na mifumo ya biashara ama taasisi kwa bei poa

    Nb; bei iliyopo kwenye tangazo ni bei elekezi. Pia tunafundisha programming language za web app na Android. PHP, PYTHON, JS, JAVA, KOTLIN. LARAVEL, FLASK, REACR. Kwa bei za mafunzo itategemea na unachotKa, Location mwanza , remotely tunafanya kwa uaminifu kabisa. Maswali pm ipo wazi
Back
Top Bottom