Marekani: Tume ya Biashara yaitaka Facebook iuze WhatsApp na Instagram

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Tume ya Biashara ya Marekani ambayo inahusika na kudhibiti ushindani wa kibiashara imefungua mashtaka dhidi ya Facebook kwa kujimilikisha (Monopolize) soko la mtandao kinyume cha sheria.

Shauri hilo limeitaka Facebook iuze Instagram na WhatsApp ambapo awali shauri hilo lilitupiliwa mbali na mahakama

Facebook inalaumiwa kutumia mfumo wa ‘kununua na kuzika’ ili kuua ushindani wa kibiashara

=====

US regulator the Federal Trade Commission (FTC) has refiled its competition case against Facebook, accusing it of illegally maintaining monopoly power and again asking for it to sell off both Instagram and WhatsApp.

The regulator had suffered a setback earlier this year when a federal judge threw out its lawsuit against the company.

At 80 pages, the new complaint is significantly longer than the original, 53-page complaint and includes additional data and evidence intended to support the FTC's contention that Facebook is a monopolist. An expanded portion of the complaint argues that Facebook dominates the US personal social networking market.

'Illegal buy or bury scheme'
The FTC accused Facebook of an "illegal buy or bury scheme to crush competition" in the headline to its complaint.

In a tweet, Facebook said it was reviewing the agency's amended complaint and would have more to say soon.

The high-profile case represents one of the most significant challenges the agency has brought against a tech company in decades, and is being closely watched as Washington aims to tackle the growing market power of big tech companies.

In its new complaint, the agency once again asked the court to order Facebook to sell Instagram, which it bought in 2012 for $1bn (€842m), and WhatsApp, which it bought in 2014 for $19bn (€16bn).

It also asked the court to require Facebook to obtain prior approval for acquisitions in the future and to cease all anticompetitive behaviour.

"Despite causing significant customer dissatisfaction, Facebook has enjoyed enormous profits for an extended period of time suggesting both that it has monopoly power and that its personal social networking rivals are not able to overcome entry barriers and challenge its dominance," the amended complaint said.

The amended complaint comes after Judge James Boasberg of the US District Court for the District of Columbia said in June that the FTC's original complaint filed in December failed to provide evidence that Facebook had monopoly power in the social-networking market.
Microsoft to raise software prices

Meanwhile, Microsoft said it will raise prices as much as 20% for a bundle of software called Microsoft 365 that includes popular apps like Teams and Outlook. The increases will take effect within six months, Microsoft said in a blog post.

The Microsoft 365 suite is the cornerstone of the company's productivity and business process segment, which had sales of $53.9bn in its most recent fiscal year, about a third of Microsoft's overall $168bn sales.

The increases will affect commercial customers and are the first since Microsoft rolled out the service a decade ago.

Jared Spataro, corporate vice president for Microsoft 365, said the company has added two dozen apps to the suite since it launched.

"This updated pricing reflects the increased value we have delivered to our customers over the past 10 years," Mr Spataro said in the post.

Microsoft said it was not changing prices for the consumer or education versions of the software. Shares of Microsoft hit a record high.
 
Haya mambo yashawatokea wengi Rockefeller (Standard Oil); Microsoft Corp.

In short hizi anti-trust laws zinajaribu kuhakikisha kwamba Kampuni moja haimiliki soko, hivyo kuleta uwezekano wa kupanga bei na kumpunguzia mlaji choices
 
Wafanye hivyo kwa Google pia. Marekani nchi ya ajabu sana nilitegemea uamuzi huu ungetolewa kipindi cha Trump lakini umekuja kutolewa kipindi cha Biden.
 
Haya mambo yashawatokea wengi Rockefeller (Standard Oil); Microsoft Corp....

In short hizi anti-trust laws zinajaribu kuhakikisha kwamba Kampuni moja haimiliki soko, hivyo kuleta uwezekano wa kupanga bei na kumpunguzia mlaji choices
Kwakweli hili jambo la msingi Sana
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hakuna kesi hapo....
Instagram na Whatsapp zisingekuwa hivi zilivyo sasa bila Big pocket,strong network effect na Technologies za Facebook

Whatsapp imenunuliwa kwa mabillion ya dollar... But Facebook wakaheshimu mkataba wa kuifanya iwe free of ads... Sidhani kama kuna chochote Facebook inapata kutoka whatsapp
 
Yaani Facebook walipoinunua whatsapp wakaondoa baadhi ya feature za marobot walinikera sana,bora imilikiwe na mtu mwengine
Nalog off
 
Hakuna kesi hapo....
Instagram na Whatsapp zisingekuwa hivi zilivyo sasa bila Big pocket,strong network effect na Technologies za Facebook

Whatsapp imenunuliwa kwa mabillion ya dollar... But Facebook wakaheshimu mkataba wa kuifanya iwe free of ads... Sidhani kama kuna chochote Facebook inapata kutoka whatsapp
Kwa iyo unadhani anafanya biashara kichaa bila faida!?,ungejua chart zako ndio zinamtengenezea pesa
 
Hakuna kesi hapo....
Instagram na Whatsapp zisingekuwa hivi zilivyo sasa bila Big pocket,strong network effect na Technologies za Facebook

Whatsapp imenunuliwa kwa mabillion ya dollar... But Facebook wakaheshimu mkataba wa kuifanya iwe free of ads... Sidhani kama kuna chochote Facebook inapata kutoka whatsapp
Faida ni kubwa sana,wanauza taarifa kwa makampuni makubwa,vyombo vya usalama,wanasiasa nk
 
Kwahio wameona dogo Mark anapiga sana hela online😅😅😅
Hiyo sio sababu, tatizo hamsomi mkaelewa. Watu wanaamini ktk Principles of Free Market Economy wakati wao FB wanauua kwa kuleta ukiritimba wa kibiashara ili watambe wao tu.

Please be informed accordingly.
 
Kwahio kufanya Acquisiton ya Brand zinazofanya vizuri sokoni hairuhusiwi sikuhizi? Mfano nikitaka ninunue brand ya Azam na hela ninazo pamoja na METL kwa hapa bongo nitaonekana na monopolize
 
Hakuna kesi hapo....
Instagram na Whatsapp zisingekuwa hivi zilivyo sasa bila Big pocket,strong network effect na Technologies za Facebook

Whatsapp imenunuliwa kwa mabillion ya dollar... But Facebook wakaheshimu mkataba wa kuifanya iwe free of ads... Sidhani kama kuna chochote Facebook inapata kutoka whatsapp
Alipata data za watumiaji na hakina kitu chenye thamani kama data dunia ya leo.
Hebu fikiri kama whatsapp pay ingeanza kuafanya kaz ni watu wangapi wangeitumia maana karibu watumiaje wote wa whatsapp wangeitumia
 
Kwahio kufanya Acquisiton ya Brand zinazofanya vizuri sokoni hairuhusiwi sikuhizi? Mfano nikitaka ninunue brand ya Azam na hela ninazo pamoja na METL kwa hapa bongo nitaonekana na monopolize
Hili jambo halijaanza leo kwa Marekani, limeanza zamani. Wanalenga kuzuia monopoly.
Microsoft pia alishakumbana na hili na ndiyo maana bilgates aliipa kampuni ya apple pesa wakati inakaribia kufa, wakati huo alikuwa ana kesi mahakamani na hilo la kuipa apple pesa ilikuwa njia ya kujifanya anajali ushindani
 
Kwahio kufanya Acquisiton ya Brand zinazofanya vizuri sokoni hairuhusiwi sikuhizi? Mfano nikitaka ninunue brand ya Azam na hela ninazo pamoja na METL kwa hapa bongo nitaonekana na monopolize
Kama unanunua kwa nia ya kuidumaza ni kosa.
 
Kusema ukweli mie hata sijaelewa

Hayo mambo ya kununua na kuzika ndio nini, kwamba wanaua wateja au
Ata amazon waliwahi mshitaki kuwa anaua makampuni madogo madogo yani kimfano mfanyabiashara wa amazon amebuni maybe speaker zake afu zikafanya vizuri sokoni kwakua amazon wanarekodi ya mauzo hayo wanainunua kampuni hiyo isiwe mshindani na ukikataa ndiyo inakuja hiyo bury scheme unakuta wanazalisha speaker zile zile kama zako ila zao wanaziita maybe Amazon speaker na kwakua wao ndiyo monopoly kwenye soko la mtandao watauza sana kuliko wewe matokeo yake wanazika kampuni yako
 
Ni njia ya kudhibiti ushindani, biashara yoyote inayochipua yenye muelekeo wa kuleta ushindani na biashara yako, unafanya kila. Namna uinunue ili kulinda biashara yako.
Hiyo sio sababu, tatizo hamsomi mkaelewa. Watu wanaamini ktk Principles of Free Market Economy wakati wao FB wanauua kwa kuleta ukiritimba wa kibiashara ili watambe wao tu.

Please be informed accordingly.
Facebook waliichungulia Instant Messanger inavyokuja wakaona itawawekea kiwingu, wakainunua kwa shilingi trillioni tatu plus wakai embed kwenye Facebook
 
Back
Top Bottom