biashara

  1. B

    JamiiForums Tanzania CCM yatilia mkazo kilimo biashara

    TAARIFA KWA UMMA: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo ametilia mkazo umuhimu wa Kilimo Biashara kwa kuondokana na kilimo tumbo yaani kilimo kwa ajili ya chakula pekee. Katibu Mkuu ameyasema hayo leo jumatatu tarehe 04 Aprili, 2022 jijini Dodoma katika Hafla ya...
  2. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Ligi ya NBC iko juu kuliko CAF Confederation Cup. Al-Ahly Tripoli walifungwa 2-0 na Biashara United ila wametinga robo fainali na wanaongoza kundi

    Al ahly Tripoli ilikuwa ni timu ya kwanza kufuzu robo fainali caf confederation cup mwaka huu baada ya kuichapa pyramid 1-0 kwenye mchezo wa raundi ya tano Lakini cha kushangaza Al ahly Tripoli hao hao walichezea kichapo cha bao 2-0 kwa biashara united kwenye hatua za mwanzo mwanzo na...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanikiwa kwenye biashara zako usipende kuonekana sana kwenye hizo biashara

    Hii ni siri nakupa kama unataka kufanikiwa Wafanyabiashara wengi tunapenda kuonekana kwenye biashara zetu bila sababu ndio upelekea kuishindwa au kuanguka. Wafanyabiashara wakubwa hawapendi kuonekana kwenye biashara zao kukwepa lawama au kuzoeleka na wafanyakazi na wateja. Kwa nini...
  4. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara kwa rejareja na jumla

    Habari wana jamvi, Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara jumla na rejareja, pipi Kali, big G n.k. changamoto zake, mtaji upi ni mzuri, na kwa dar wapi naweza pata mzigo kwa uhakika na njia zipi ni bora za kupata wateja wa hivi vitu.
  5. godizila

    JamiiForums Tanzania Ni eneo gani zuri kwa biashara ya Tuition Center

    Wakuu habari mimi kitaaluma ni mwalimu masomo ya sayansi (hesabu). Sasa naona njia nzuri kuweza kujikwamua ni kuwa na centre tuition, naomba mrejesho location nzuri. Niko Dar
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya Kisheria na Kifedha kwa Biashara Ndogondogo Nchini Tanzania

    Na Francis Nyonzo Sekta isiyo rasmi imeajiri 76% ya watu nchini Tanzania; 47.6% katika biashara ya jumla na rejareja, ukarabati wa magari na pikipiki, na 12.9% katika huduma za malazi na chakula. Biashara ndogondogo ni zile ambazo zina wafanyakazi chini ya watano ambazo mara nyingi...
  7. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni whole saler wa Bidhaa zifuatazo?

    Habari za wakati huu wakurugenzi? Wanahitajika Wauzaji wa Jumla wa bidhaa zifuatazo ambao wanauwezo wa kussuply mzigo wa thamni yoyote kwa bei ya Jumla.Iwapo unao uwezo wa kussuply kiasi hicho cha mzigo tafadhali tuma mawasiliano yako kwa email:masokotz@yahoo.com.Zingatia kwama ni lazima uwe ni...
  8. namimi07

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya ku-withdraw pesa kutoka kwa broker kwa njia rahisi kwenye biashara ya Forex

    Jamani habari zenu wadau? Mimi nimeweza kutengeneza faida kwenye hii biashara lakini naona kuna Namna ntafeli wakati wa kuwithdraw. Najua mtaniambia kuwa kwa nini sikuwaza hilo kabla ya kuanza? Naombeni Masada. Magwiji wa kuwithdraw/kutoa pesa kutoka kwenye account zao za forex hadi Benki/...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Meya Raibu atembelea soko leo Moshi, afanya makubwa, awanunulia wafanyabiashara vifaa vya biashara

    WAFANYANYABIASHA WA SAMAKI MOSHI WALAUMU KUCHANGISHWA FEDHA ZISIZO NA MAANA NA WAHUNI WA SOKO JIPYA LA MAILISITA, PAMOJA KUIBIWA IKIWEMO UMBALI WA ENEO HILO, WAAHIDI KURUDI SOKO LA PASUA MEYA RAIBU AWANUNULIA MAJOKOFU YA KUHIFADHIA SAMAKI Na Mwandishi Wetu Katika hali ya kustaajabu kundi la...
  10. BLUE BALAA

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuwekeza mtaji kwenye biashara ya utalii

    Mimi ni mfanya biashara wa mambo ya utalii katika malazi na ushauri wa biashara katika mambo yanayo husiana na uwekezaji katika biashara ya utalii. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii na ni msomi wa ngazi ya stashahada na shahada ya utalii na utawala wa biashara. Nimeyumba katika biashara...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi katika sehemu za biashara, moja ya sharti lisilo rasmi la leseni wanazopewa ni kufungulia TBC?

    Hapa Dodoma, nimefanya kautafiti kadogo kasiko rasimi, na nimegundua sehemu nyingi za biashara kama mabaa, migawaha, n.k, muda mwingi wanapenda ku-tune TBC na Mama anapokuwa live, basi ndio kabisa watamuonyesha mwanzo mwisho. Sio kosa na sio vibaya kufanya hivyo. Swali ni je, vituo vingine...
  12. perky

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kuanzisha biashara ya bakery Arusha

    Nina idea ya hiyo biashara soko lipo Ila mtaji changamoto mwenye uhitaji mawasiliano 0677603842
  13. luangalila

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza gesi za kupikia

    Wadau kwema? Naomba msaada kwa mwenye kufahamu biashara ya kuuza gesi za kupikia. Je, mtaji wake nikiweka kama 500,000/= Tsh unatosha? Je, vibali vya kufanyia hiyo bishara vimekaaje? Naomba msaada wadau wenye uelewa.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa nchi nyingi za Afrika utaendelea kukua kutokana na kuimarika kwa biashara kati ya China na Afrika

    Fadhili Mpunji Kila mkutano wa bunge la umma la China unapomalizika, utekelezaji wa mipango mipya ya serikali ya China huwa unaanza. Pamoja na kuwa mambo mengi yanayojadiliwa ni mambo ya ndani, mambo hayo pia huwa yanahusiana moja kwa moja na nchi za nje na yanahusu sera ya kidiplomasia ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ajira zipo kweli au ni "scam"?

    Huwa naingia majukwaa mbalimbali yanayotangaza ajira nadhani mara nyingi huwa naona kama changa la macho hakuna ukweli wowote juu ya uwepo wa ajira zilizotangazwa. Ikitokea kama kweli zipo basi kuna watu wameshapata hizo nafasi, na sie wengine tunaona machapisho tu mtandaoni lakini wenye kazi...
  16. V

    JamiiForums Tanzania Ni ipi biashara inayolipa vizuri kati ya zifuatazo?

    Kwa mtu mwenye mtaji wa Tsh. milioni 11 afanye biashara ipi kati ya zifuatavyo itakayomlipa maeneo ya Arusha? 1. Hardware(cement,white cement, gypsum biard+powder, mikanda ya gypsum+screw, paints, squire pipe,nondo) 2. Home appliances (Tv, fridge, radio, blender, rice cook) 3. Vifaa vya...
  17. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara ya kuagiza vitu China

    Habari, Nimepitia kwenye mitandao mingi kama ebay, aliexpress na mingineyo ya kuagiza vitu toka China hivyo kuwa interested na kujaribu kuanza biashara hii. Ombi langu ni ushauri/uzoefu/changamoto, ni biashara gani/bidhaa gani zinalipa kwa sasa kuanza nazo,ninatarajia kuuzia zaidi online...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia wakati wa kufungua biashara

    ACCOUNTING CONCEPTS Hizi ni sheria ambazo hutumika katika kutengeneza ripoti za kiuhasibu na kutunza mahesabu ya kibiashara. Kila kitu kina imani yake, hizi concepts ni kama imani zinazoongoza taratibu za kiuhasibu. 1. GOING ON CONCEPT. Hapa ni kuamini kuwa biashara unayoianzisha...
  19. Mr sule

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani sahihi wa kuanzisha biashara ya Nyumba au kujenga nyumba?

    Habair wanajamii Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba. Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.
  20. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa Biashara ni Wateja, tumia gharama zozote kulinda "ulio nao"

    Katika maisha ya biashara na Ujasiriamali hakuna kitu kizuri kama ukiwa na uhakika wa wateja kila siku, kuna furaha flani amaizing sana isiyoweza simulika. Mtu ana simu ya ofisi ipo busy kila wakati,wateja wanapga kuuliza bidhaa zimefika au zipo au lah,raha sana ukiwa mfanyabiashara halafu...
Back
Top Bottom