Nahitaji kazi yoyote ya kusimamia biashara. Nitafanya kwa juhudi kubwa

PHR

Member
Sep 22, 2020
27
32
Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu.

Mimi ni kijana wa miaka 23 nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ya kusimamia biashara au ofisi yoyote. Ninaishi Ilala Dar es Salaam. Nitakusaidia na kufanya kazi kwa jitihada kubwa.

Mungu akubariki sana
 
Weka elimu yako,ujuzi n.k Pia jaribu kuelezea ni namna ipi utakayoitumia kufanya biashara itengeneze faida na si hasara
 
Back
Top Bottom