Eliya Konzo

Senior Member
Dec 9, 2012
100
56
AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE.
ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA:

  • NAKALA YA TIN CERTIFICATE
  • NAKALA YA KITAMBULISHO
  • BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA MMILIKI (*OMBA MFANO)

KAMA SEHEMU YA HUDUMA TUNAKUPELEKEA MPAKA TRA

[EDIT]
TRA ndio watapitisha ombi lako kabla hujaanza kutumia hivyo ni vizuri uwe umefanyiwa au umefanya makadirio ya kodi na unalipa au umeahidi kulipa.

240573377_372022187754977_391034581021199161_n.jpg

239437248_372017507755445_1946388517785372504_n.jpg

239698002_372019544421908_995944875179231592_n.jpg

Sambamba na EFD za kawaida sasa wafanyabiashara wanaweza pia kutumia kompyuta, Point ya Uuzaji (POS), SIMU na mashine yoyote inayofaa inayoweza kuunganisha kwenye mfumo wa EFDMS kwa kusudi la kutuma taarifa za kodi bila kupata EFD mpya.

Setup nayopendekeza kama tayari una smartphone ni hii... Inaghalimu laki tatu tu na unaweza lipa baada ya kupewa huduma uzuri ni mteja hawezi to fautisha risiti zake na za mashine na risiti zake zinatambulika na TRA

SOMA ZAIDI: Simu Janja kama Mashine ya EFD - Nafuu kubwa kwa wajasiliamali na wafanya biashara.
 
Zinawafaa sana... Gharama inategemea na mtu anatumiaje na kama tayari anavifaa vingine kama simu... Gharama za mfumo ni elfu 50 kwa mwaka mtu ana option pia ya kulipa one time fee ya laki 4 tu
So kwa hyo ili risiti itoke itahitajika kuwa na printer?
 
We twende tartiiibu !mbona kama sijaelewa??
Gharama elfu 50 kwa mwaka , si ndio? Hii laki 4 one time fee ni kitu gani?
Si bora ninunue efd machine kwa 580000, with no strings attached?
 
Hapa unaweza pata PDF File au ukaituma kama picha.... Mteja wako kama hajaelimika anaweza kukulazimisha uwe na printer ila mwingine unamtumia tu na inakubalika na TRA
 
We twende tartiiibu !mbona kama sijaelewa??
Gharama elfu 50 kwa mwaka , si ndio? Hii laki 4 one time fee ni kitu gani?
Si bora ninunue efd machine kwa 580000, with no strings attached?
Aisee,yani hii inatakiwa iwe one time tu na ni elfu ama kupungua,ulipe laki4 na printer ununue.Daaah
 
Hii inafanya kazi kama EFD ila ni vitu viwili tofauti... Hii huna haja ya kudili na mashine nyingine unatumia tu simu yako au komputer na hatuna gharama zilizojificha za kufanya repair
 
Imehalalishwa na TRA kwa ajili ya kutoa Stakabadhi za manunuzi na malipo ya huduma?

Yaani TRA wanaweza kuitumia ili kukadiria kiasi cha kodi?
 
Aisee,yani hii inatakiwa iwe one time tu na ni elfu ama kupungua,ulipe laki4 na printer ununue.Daaah
Unachosema ni kweli ila gharama za kutengeneza na kutoa hiki kitu zimepelekea tupange hizo bei... Hata hivyo tuna mawazo ya ktoa toleo la bure kwa ajiri ya watu kama wewe amabalo tutalijaza matangazo kulipia gharama za uendeshaji... Tufatilia huku https://www.facebook.com/pos255 ili uwe wa kwanza kulipata likitoka.
 
Imehalalishwa na TRA kwa ajili ya kutoa Stakabadhi za manunuzi na malipo ya huduma?

Yaani TRA wanaweza kuitumia ili kukadiria kiasi cha kodi?
Ndio huwezi kutumia huu mfumo bila TRA kuruhusu... Hata hivyo nakusihi ukaconfirm kwenye mkoa wako wa kodi wewe mwenyewe sababu mimi sio msemaji wao.
 
AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE.
ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA:

  • NAKALA YA TIN CERTIFICATE YA BIASHARA
  • BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA MMILIKI

JITENGENEZEE BARUA KWA KUTEMBELEA TOVUTI YETU, TUANDIKIE TUKUHUDUMIE
UNAWEZA ANZA NA SIMU ULIYONAYO KISHA UKANUNUA VIFAA VINGINE BAADAE.

240573377_372022187754977_391034581021199161_n.jpg

239437248_372017507755445_1946388517785372504_n.jpg

239698002_372019544421908_995944875179231592_n.jpg

Hongereni sana. Nilitoa hili wazo siku za nyuma. Kinachokera ni kwamba badala ya TRA kuja na hiyo application, wameruhusu (?) watu binafsi kutengeneza apps hiyo ndio maana mnatutaka kulipa hiyo shs 50,000 kwa mwezi au 400,000 kama one-time fee. Kwa hiyo tunalipia tena kama EFD machine tu.

We twende tartiiibu !mbona kama sijaelewa??
Gharama elfu 50 kwa mwaka , si ndio? Hii laki 4 one time fee ni kitu gani?
Si bora ninunue efd machine kwa 580000, with no strings attached?
Elimika na wewe hiyo mashine unayonunua unamnufaisha nani na hii hapa unamnufaisha mtanzania mwenzako na kijana akapata elimu ajira hakuna amejiongeza.
Yeye amekuambia kuwa waweza lipa laki nne mazima mkuu.ama 50k kwa mwaka so uchague wewe
 
Hongereni sana. Nilitoa hili wazo siku za nyuma. Kinachokera ni kwamba badala ya TRA kuja na hiyo application, wameruhusu (?) watu binafsi kutengeneza apps hiyo ndio maana mnatutaka kulipa hiyo shs 50,000 kwa mwezi au 400,000 kama one-time fee. Kwa hiyo tunalipia tena kama EFD machine tu.
Ndio TRA wanatoa VFD bure kabisa kama ulivyoshauri wewe hawajawahi sumbua wala kuweka vikwazo vyovyote kwa walipa kodi VFD yangu ya kwanza nimeipata mwaka 2018.

Sasa VFD inakuwezesha kutumia kifaa chochote kulipa kodi iwe pampu ya mafuta, simu yako, magari ya kukodisha luku. Mageti ya tozo na vending mashine. Nadhani mpaka sasa utakua umetumia bila kujijua hasa kama umenunua kitu mtadaoni.

TRA wanatoa ila ni ngumu kwa wao kufikia kila aina ya kifaaa kama tunavyofanya watu binafsi. kumbuka lengo la VFD ni kufanya kazi na mifumo ambayo ingetoa risiti za kawaida na kuifanya itoe risiti halali ambayo ni mingi mno.

ZRB ya zanzibar na TRA wanatoa pia moja kwa moja kwenye vifaa walivyochagua pia ndio maana hujaoa tofauti sababu kwa mwananchi wa kawaida anchoona ni kapata machine ile ile. Kwa makampuni makubwa yametumia VFD bure toka 2018.

Nashukuru kama ulikua mmoja ya watu waliotoa wazo ila nasikitika unaona 50 kwa mwaka ni nyingi.

Nadhani Machine unazolipia laki 5 nyingi hazifikishi miaka 4 bila matengenezo makubwa kitu kinachokufanya uwe umelipia zaidi ya laki kwa mwaka ila nadhani hujui hesabu au hujawahi miliki hata hizo mashine pia.

Kifupi ni TRA wanatoa huduma bure na kuiona 50 kwa mwaka ni pesa kubwa kwa mtu anayewezesha utumie huduma hiyo kiganjani mwako ni ufinyu mkubwa sana wa fikra hasa kwa mtu alienaedai alitoa wazo.

Nawasilisha.

NB: Ikitokea TRA wametoa bure mpaka hatua ya mwisho, yani wamekuwekea mpaka kwenye simu yako basi usirudi hapa kusema uliniambia... we jua wao wametoa pesa nyingi zaidi nyuma ya pazia(ulizolipa kodi), wamekuondolea uhuru wa kuchagua na wanatumia muda mwingi zaidi amabo wangetumia kukupa huduma nyingine sababu hukutoa elfu 50... Kingine nakumbuka niliwahi sikia wanatoa EFD bure wala hazilipi ushuru bandarini vipi hilo linaendaje huko mtaani?.
 
Wapi nimesema 50,000 nyingi then ku conclude kuwa nina ufinyu mkubwa wa fikra? Nafikiri ni heri ujikite tu kwenye technical side, sales/marketing waachie wengine. Hata hivyo, mpe mtu yeyote option ya ku download bure app, badala ya kulipa 50k, uone kama hatakimbilia bure, other factors constant.

TRA hawatoi EFD machine bure. Baniani mbaya kiatu chake bora. Nitakuwa mteja wenu soon.
 
Back
Top Bottom