Ukisikie serikali imelala ndo hivi sasa.
Waziri wa biashara haonekani wakati wafanya biashara wameunguliwa soko lao badara yake anaenda TAMISEMI.
Hivi TAMISEMI wao kila sehemu wapo?. Si watakuwa wanaishia kutoa matamko tu kazi hazifanyiki?
Jamani,
Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu?
Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje?
Je, nitapataje zile kemikali za kufua bila maji? (DRY CLEANING?)
Mambo vipi wanajamvi?
Nimewaza Mara kadhaa kuhusu bidhaa zinazoletwa sokoni na Bwana Chibu Dangote kwa nini hazidumu katika soko?
Chibu ni kijana mpambanaji mwenye uchu wa mafanikio makubwa na amethubutu kuwekeza ndani na nje ya Muziki wake, ametoa ajira kwa vijana kadhaa. Lakini swali moja...
Kwa kuzingatia yakua machinga na wafanya biashara ndogo ndogo nao huchangia katika pato la Taifa na la kwao moja kwa moja, ni vema kufikiria na kuweka njia nzuri ambayo itawafanya waendelee kutumia maeneo hayo kwa shughuri zao za kiuchumi.
Mfano, unakuta migambo na askari wa jiji wakipambana...
Habari wakuu, naamini mko salama kabisa.
Naomba msaada wa kimawazo na ushauri katika kufungua / kufanya biashara ya Barbershop (Saloon ya kiume) kiukweli sijawahi fanya kabisa hii biashara hapo awali lakini ninapenda niifanye, ila kama mjuavyo biashara yoyote ile kabla haujaifanya ni vyema...
Kuna kitu nimekiona miongoni mwetu sisi waswahili, ambacho sio salama kabisa katika kuendesha miradi yetu ya kibiashara. Hii unaweza kuwa ndio sababu kubwa sana ya biashara nyingi kufa kifo cha mende hasa pale zinapoanza kuchangamka tu.
Jana nilipita mahali kupata lunch majira ya...
Salaam!
Kama ilivyo kwa kiumbe chochote kiwe hai au kisicho hai inafikia kipindi kinahitaji new energy au mbinu mbadala kuweza kutoka pale kilipo na kusogea sehemu nyingine. Vivo hivyo kwa biashara.
Hivyo basi, Mfanyabiashara hata wa mtaji wa shilingi laki 1 unapaswa uwe na mpango wa muda...
Miaka zaidi ya 10 iliyopita Serikali ya Jamhuri ilikuwa inapambana kuboresha mazingira ya kufanya biashara nchini. Report ya world bank wakati ule ili rank Tanzania 121 kwa mazingira magumu zaidi ya kufanya biashara TPSF na wadau wake kupitia doing business Roadmap wakapambana mno. Kwa tathmini...
Habari wadau, ninahitaji mfanyabiashara wa asali au mfugaji wa nyuki ambae ana vibali stahiki vya kuuza na kusafirisha maana nina wafanyabiashara wapo kenya wanasafirisha asali kwenda dubai n.K, hvyo nahtaji mtu wa kushirikiana nae soko tayari lipo ila mim sina mtaji na utaalam wa kuitambua...
Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao;
1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi
2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi
3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155'' shs 400,000/= kwa ngozi
4- koboko 255'' to 400'' shs 600,000/= kwa ngozi
5-moma 100'' to 200'' shs 300,000/= kwa ngozi...
Muheshimiwa SSH na raisi wangu najua upo kwenye majukumu mazito ya kujenga taifa.
Hata hivyo kutokana na watendaji toka taasisi za Elimu ya juu kutanguliza nadharia kwenye utendaji mfano maandiko na machapisho badala ya kuboresha mifumo na kutumia rasilimali na nguvu wanazozikuta kwenye sehemu...
Wakuu Hari ya Mwaka Mpya
Naitaji Eneo la kununua Kwa ajili ya kufanyia Biashara,
Eneo liwe karibu kabisa na Barabarani,
Napenda Sana chanika, kama ni chanika mwisho au sehemu yoyote sio nje ya chanika
Mimi Niko Dar so mwenye eneo kama Hilo ambae analiuza please naomba unidm Kwa maelezo zaidi...
Wakuu Hari ya Mwaka Mpya
Naitaji Eneo la kununu Kwa ajili ya kufanyia Biashara,
Eneo liwe karibu kabisa na Barabarani,
Napenda Sana chanika, kama ni chanika mwisho au sehemu yoyote sio nje ya chanika
Mimi Niko Dar so mwenye eneo kama Hilo ambae analiuza please naomba unidm Kwa maelezo zaidi
HABARI WANA JAMII WEZANGU NAAMINI TUMEAZA VIZURI MWAKA 2022.KIUKWELI NAPENDA SANA NANA FURAIA UWEPO WA WADAU ASA KWENYE SECTA YA UCHUMI .NINAWAZO LA BIASHARA NAKWAKIASI NAIFANYA LAKINI MPAKA OFISI NIMEFANIKIWA KUFUNGUA LAKINI KIUKWELI NAZIDIWA NAWATEJA NA MTAJI WANGU BADO AUTOSHI KWAANAYEITAJI...
Mfano umepanga Kukutana na mtu ambaye humjui sura kwa jambo la msingi Stend ya Mabus ya Magufuli,Mbezi.
Baada ya kupanga kuwa mtakutana pale, ghafla ukapoteza simu na namba yake huijui.
Kwakua tayari mlikuwa mmepanga kuonana unaamua kwenda tu.
Baada ya kufika, unakuta kuna watu wengi...
Wapendwa sana wanaJF, habari za asubuhi...
Siku chache zijazo nimefikiria kuanzisha biashara ya kuuza soda za chupa na za kopo (take away) kwa bei ya jumla na rejareja.
Mwenye uzoefu na biashara hii naomba anijuze kuhusu mtaji, faida na changamoto za biashara hii. Aidha kama kuna maujanja...
Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.