biashara

  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Serikali Kufanya Mapitio ya Sera za Biashara Kwa Kuziboresha Kuwezesha Sekta Binafsi Kuchangia Uzalishaji Ajira Milioni 8- Waziri, Dr. Ashatu Kijaji

    Wanabodi, Nilihudhuria hii eventi Mshindi wa kwanza wa shindano la “STARTUPPER OF THE YEAR CHALLENGE BY TOTALENERGIES, Innocent Sule (mwenye Rasta ambaye picha yake pia inaonekana ukutani) wa kiwanda cha Soma Factories Tanzania Group ambao wanatengeneza mabegi ya shule yanye taa ya solar ya...
  2. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kama biashara zilikufa na kufungwa miaka 5 iliyopita, hizi faida za mabenki zilitoka wapi?

    Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti. Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita, faida imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 300. 2018 Bilioni 64 2019 Bilioni 120 2020 Bilioni 165 2021...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jiko la gesi la biashara na mtungu wake-180,000-Bunju B

    Jiko la gesi la biashara na mtungu wake-180,000-Bunju B
  4. mr gentleman

    JamiiForums Tanzania Lema awataka wana Chadema kususia biashara za billionea wa Arusha

    Siku moja baada ya kamati kuu ya Chadema kutoka ikulu kuonana na viongozi wa CCM. Mwanasiasa wa Chadema na mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema amewataka wanachama wa Chadema kususia bidhaa za billionea Sunda.
  5. Brojust

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu juu ya biashara ya kuandika proposal inalipa 100%

    Habari za jioni wapambanaji, Nawasalimu kwa jina la jamuhuri. Mimi ni kijana mtafutaji, lakini tokea nipo chuo(Mzumbe) nilijikuta napenda tu kuandika proposal za biashara, kipindi hicho tulikuwa tunaandika wakati wa zile party za kukaribisha wanafunzi wapya maarufu kama freshers Bash. Basi...
  6. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Urusi kuiteka bandari ya Mariupol hakuna faida yeyote kwa sababu ya vikwazo vya kimataifa, haiwezi kufanya biashara yoyote

    Nchi za Magharibi zimeweka vikwazo vya kibiashara na kibandari kwa meli zote za Urusi na kutokupokea chochote au kupeleka chochote kwenye bandari zilizo chini ya Urusi. Bandari ya Mariuopol Urusi itafurahia tu kuikalia lakini ni white elephant toka siku walipoishika Haina shughuli za...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa maendeleo wa Uingereza wa “msaada kwa biashara” unaweza kuishia kuwa mkakati wa kujiaibisha

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Bibi Liz Truss alitangaza mkakati mpya wa maendeleo wa Uingereza wenye lengo la kuendana na mazingira ya sasa ya changamoto za dunia, na kuendana sana na mkakati wa Marekani. Akitangaza mkakati huo, Bibi Truss amesema Uingereza...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya bidhaa za Afrika kwa njia ya mtandao wa Internet kupanua mauzo ya bidhaa za Afrika nchini China

    Fadhili Mpunji Mwezi Aprili mwaka huu shughuli nyingi ya mauzo bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet ilifanyika nchini China. Wateja wa miji mbalimbali ya China walitumia muda wao kwenye simu na kompyuta zao, wakitazama, kusikiliza, kuchagua na kununua bidhaa mbalimbali kutoka nchi za...
  9. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

    Ni vigumu kuamini lakini ndio ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa...
  10. big dreamer

    JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani kwa kipindi hiki cha mwezi 1 kwa mtaji huu

    Wasalaam wakuu,,, UTANGULIZI (kama mvivu sio lazima maelezo aya) Mimi ni kibarua ktk secta flan ya kawaida sana,sasa nina likizo ya mwezi na nusu,nina ka akiba kangu kama 1m ambaya mwanzo lipanga ninunue madirisha na milango nikapachike kwenye kibanda changu mbagala chamanzi,lakin hyo pesa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Eneo la Biashara ya chakula linatafutwa Dar es Salaam

    Habari! Linatafutwa eneo katika mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuweka biashara ya Restaurant. Eneo liwe na population nzuri,watu wa kipato cha kati na juu na linalofikika kwa urahisi. Sehemu yeyote katika mkoa wa Dar es salaam itafaa ili mradi kuwe na potential ya biashara hiyo. Kama...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania TRA madhara yenu kwa biashara ya utalii yatachukuwa mda mrefu kurekebishwa na huenda yasirekebishike kabisa

    TRA Arusha mnakumbuka kesi hii Mfanyabiashara wa usafirishaji na ukawala wa watalii alilipwa malipo ya mbele na watalii. Kabla ya watalii kufika likaja janga la Corona. Watalii wakafuta safari . Mfanyabiashara kwa uungwana akawarudishia wateja wake pesa zao zote ukiondoa gharama za banki. TRA...
  13. Mavurunza

    JamiiForums Tanzania Wallet ya Remitano watoa zawadi ya $5 kwa Watanzania wanao support biashara yao

    Kila mara Remitano imekuwa ikithamini na kushukuru watumiaji wake waaminifu na wanao support bidhaa na huduma zao, hasa wale wanaopendekeza bidhaa na huduma zao kwa marafiki. Kwa kutambua hilo Remitano wamekuja na zawadi kwa Watanzania kwa kila mtumiaji mpya utakayemualika na akakamilisha...
  14. Mtenzeli

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani

    Habari wadau, Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitu vya nyumbani. Naomba kufahamu makadirio ya mtaji, changamoto na uzuri wa biashara, na mahitaji yote ili kufungua biashara hii. Location ni kigamboni NB; Duka la kisasa(mfano wa mini supermarket). asanteni
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Wanahabari 50 wa Tanzania kujifunza kuandika habari za fedha na biashara

    Taasisi ya Bloomberg Media Initiative Africa (BMIA) imetangaza kuanza kwa awamu ya pili ya programu ya mafunzo ya uandishi wa habari za fedha (FJT) kwa waandishi wa Tanzania. Mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha waandishi wa habari wa fedha na biashara kuandika habari za kina zinazohusu sekta...
  16. aise

    JamiiForums Tanzania Hii hapa biashara ya mtaji wa 5000 itakayokupa 150000 kwa mwezi

    Kwakweli mama anaupiga mwingi sana kuelelekea golini kwake. Kama hauna kazi, na unashinda kijiweni. Na hauna mtaji wa maelfu ya pesa. Chukua sahani kubwa hapo nyumbani (yanaitwa masinia ya kupakulia ubwabwa wa kula watu wengi), au deli au chochote, chukua na kisu. Chukua na maji kwenye...
  17. Mtego wa Noti

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mchanga mikoa ya pwani

    Igweeeee!!!...Naamini wote humu ndani mko salama. Kuna hii biashara ya kuuza mchanga ambayo watu wameanza kuvutiwa nayo ambapo wananunua mashamba yenye mchanga na kuanza kuuza mchanga. Kwa ambao wameshaijaribisha hii biashara ina changamoto zipi? Nataka nianze kusaka maeneo ya kuwekeza kwenye...
  18. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?

    Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara? Unakuta katandika mtandio /kanga analala chini eneo la biashara Credit to 6Was9
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

    Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye? Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka akuache siku za usoni. Kwasabb unampa uwezo wa kiuchumi ili asimame peke yake. Mwanamke ili atulie kwenye...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara ya nyumba ya wageni

    Hii biashara ina faida sana, ukiwa na vyumba 10 kwa 20,000 chumba kimoja na vyote vikapata wateja, una uhakika wa 200,000 kwa siku. Nyumba hizi hustiri wengi wenye uwezo wa kati na wa chini. Wale wasio kudumu hoteli kuanzia 100,000 kwa siku. Changamoto moja kubwa ni ustaarabu, watu wengi...
Back
Top Bottom