basi

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kataeni kuonewa tena , unyonge wenu sasa basi , wala Msiogope maana Shetani hajawahi kumshinda Mungu

    Unyama mliofanyiwa dunia nzima imeona na wala hakutakuwa na mshangao wowote iwapo mtakataa kuonewa tena , mmeuawa waziwazi , mmeteswa waziwazi , mmekamatwa hovyo hovyo , mmekatwa mapanga kwa namna walivyotaka , mmebambikwa kesi nyingi za kutunga , mmefungwa bila huruma , mmenyanyaswa kwa kiwango...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kama tuliwahamasisha wananchi kujiandikisha uchaguzi wa Serikali za Mitaa basi na fomu za kugombea tuwape kwa moyo mweupe

    Niwe mkweli wanabodi, binafsi napendelea kuona vyama vyote vinasimamisha wagombea kila mtaa ili chama changu CCM kipate fursa sahihi ya kupima jinsi kinavyokubalika. Serikali imetumia nguvu kubwa kuhamasisha wananchi kujiandikisha kupiga na " kupigiwa" kura hizi haki mbili zinakwenda sawia...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Waziri Lugola amkamata dereva wa basi aliyetaka kusababisha ajali, apelekwa Polisi abiria warudishiwa nauli

    WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameyakamata magari mawili yaliyotaka kusababisha ajali kwa kufukuzana na kulazimisha kuovateki bila ya kuwa na tahadhari katika barabara kuu ya Mwanza Mara. Magari hayo ni basi lililokuwa na abiri liitwalo Manoni Safaris lenye namba za usajili...
  4. BABU KIDUDE

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu kaoa kahaba? Tumshauri basi

    Mnisamehe sana kama kuna makosa ya Kisarufi /Maana Kwenye Lugha yenu. si mwandishi mzuri sana Habari zenu Yupo Ndugu au Mdogo wangu japo si wakuzaliwa nimejuana nae toka 2004 kipindi nipo form 3 kwenye moja ya shule za jeshi jiji Dar tukiwa wanfunzi wa shule Hiyo na ni majilani mtaani...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Endapo Chadema kitapata wenyeviti walau 10 wa serikali za mitaa 24/11/2019 jijini Dsm basi chama hicho hakitakufa karibuni

    Kwa haya maandalizi ya CCM ninayoyashuhudia kila mtaa jijini Dar siamini kama Chadema na upinzani wanaweza kuambulia japo mitaa mitatu. Endapo Chadema watafanikiwa kupata walau mitaa 10 jijini Dsm nitaamini kifo cha Ufipa bado kipo mbali sana......maana si kwa maandalizi haya ya kitanda kwa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally Katibu wangu kama hiki nilichokisikia kimetokea Kawe katika Uchaguzi wa CCM ni kweli, basi kazi ipo 2020

    Kuna watu wangu (wana medani) jirani na Kawe niliwatembelea siku ya Jumapili na wakati huo nilikuwa sijui nini kinaendelea hadi pale wenyeji wangu hao waliponiambia kuwa, ilikuwa ni siku ya kura za maoni kwa wagombea wa nafasi za wenyeviti wa Serikali za Mitaa. Nakumbuka nilikuwa eneo hilo la...
  7. Tanzanianiano

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Basi from Dar es Salaam to Johannesburg

    Habari wanaJF, Nipo na plan ya kusafiri Dar -Jo'burg kwa bus. Naomba msaada kufahamu yafuatayo: Safari inachukua siku ngapi? Route ipi ni the best kati ya kupitia Lusaka au lilongwe? Nauli ni bei gani, kampuni ipi ya mabasi ipo vizuri? Na kingine chochote cha kuzingatia kwenye safari.
  8. Things Fall Apart

    JamiiForums Tanzania SUMATRA kero hii hamuioni?

    Habari wana jamvi, SUMATRA ni chombo kinachohusika kusimamia viwango katika huduma ya usafiri wa nchi kavu na majini. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa kila nikipanda daladala au mabasi ya mikoani mara unakuta nafasi kati ya siti moja hadi nyingine (mbele na nyuma) inakuwa imebanwa sana kiasi kwamba...
Back
Top Bottom