Dar Lux Arusha ni kweli basi zilizopo mpaka Jumatatu ni za 40,000? Hamko serious na kazi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Jana saa mbili usiku nilifika ofisi za Dar Lux kujua tiketi za kupeleka watu Dar leo na kesho. Mdada mmoja bila aibu akasisitiza basi zilizopo ni za 40,000 eti luxury tu..

Aisee nikachoka kabisa nikiwaza yale mabehewa yetu shida tu yako mbali from Arusha

Mamanager husika tuambieni ni kweli hamna basi chini ya 40,000 ama mmeamua kukimbiza abiria?
 
Ndo najua leo Dar lux wana bus chini ya 40,000!!.
 
Hiyo kampuni zamani sasa hivi utateseka bure, magari yapo mengi tu hapo Happy nation,Marangu,ExtraLuxury,SkyLine,HaiExpress,Mbazi,Mberesero..

Kama Extra hiyo ni spidi tuu dar unafika saa 10 na ni luxury ila uwe mtu unaependa mwendokasi kama haupendi mwendo kasi usipande Extra

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana saa mbili usiku nilifika ofisi za Dar Lux kujua tiketi za kupeleka watu Dar leo na kesho. Mdada mmoja bila aibu akasisitiza basi zilizopo ni za 40,000 eti luxury tu..

Aisee nikachoka kabisa nikiwaza yale mabehewa yetu shida tu yako mbali from Arusha

Mamanager husika tuambieni ni kweli hamna basi chini ya 40,000 ama mmeamua kukimbiza abiria?
JAMAA WAMEBET OV4.5 DAH SI KWA MANENOHAYA
 
Back
Top Bottom