Nimeingia getto muda sio mrefu, nikaona ngoja niweke mawingu fm nisikilize michezo extra..Nakuta ndo kwanza kipindi kinaanza...Moja ya mechi walioiongelea ni game ya Namungo na Raja casablanca na Namungo amepigwa sijajua goli ngapi.
Hoja za wachambuzi wa mawingu fm wanasema NAMUNGO imebebwa na...
UKIWEZA TOFAUTISHA HAYA BASI UMEKOMAA NA UTAKUWA UMEFANIKIWA
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
1. UHAI Vs Uzima
Uhai independent Variable
Uzima ni dependent Variable
Unaweza ukawa hai lakini usiwe Mzima
Lakini huwezi kuwa Mzima bila uhai.
Uhai unahusu kuishi kwa ujumla, uzima ni mahususi kwa kuwa...
Mambo mengine yanayoendelea bungeni ni ya kitoto sana na lazima yakemewe kwakweli.
Anasimama mbunge anasema SGR itatumia miaka 81 kukamilika hivyo haitufai.
Anasimama mwingine anasema Umeme wa maji ni hasara kwa taifa kwa sababu umepitwa na wakati.
Tukumbuke kuwa hii miradi miwili pekee...
Nchi za Tanzania, Angola na Congo DRC ni nchi muhimu katika mstakabali mapinduzi ya viwanda barani Ulaya na Marekani.
Mwaka 2020 Uingereza walitangaza kuachana na magari yatumiayo mafuta ya diseli na petroli kufikia mwaka 2030 na wameazimia kuanza kutengeneza magari zaidi yatumiayo betri.
Hata...
MTAWALA AZIBAYE MIDOMO WATU NI MBAYA KAMA SHETANI
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Mtu yeyote anayependa kuziba watu midomo wasimseme jua huyo ni kama shetani, hivyo ndivyo andiko hili ninavyoanza nalo.
Shetani ndio anapenda mambo ya sirini, kuficha ficha, kuziba watu midomo wasiseme mabaya yake...
Ile dharau aliyomuonesha Mkuu wa Mkoa, akiachwa serikalini mjue tunaeleke kubaya! Time will tell! Inavyoonekana mama anaogopa kuwagusa waliokuwa wapendwa wa Jiwe.
Na ndio walikuwa watesaji, wauaji, majambazi etc etc.
1. Heri James
2. Ole SABAYA
3. Jery Muro
4. Ali Hapi
5. Chalamila mkuu wa mkoa wa Mbeya
6. Cipirian Msiba
7. Makonda
8. Mbunge Msukuma
9Spika NDUGAI
Enzi za jiwe hawa jamaa walikuwa na siasa za chuki kweli
#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakae mguu sawa, wakae tayari.
NB:
Kwa kusaidia niwataje tu vifutu ili kumraisishia Rais wetu kazi...
@farmersdesk_tanzania
KABLA UJANZA KUFUGA KUKU TAMBUA MBEGU BORA YA KUFUGA🐓
MBEGU BORA YA KUKU
KABLA hujaanzisha mradi wa ufugaji kuku, ni lazima utafute aina ya mbegu bora itakayo kuongezea kipato.
Kumbuka kuna aina nyingi za kuku na ni aina zuri zote. Ila kila mfugaji huwa na malengo sasa hayo...
Tunasoma mitandaoni kuwa kuna watu hivi sasa wanashikiliwa, watu ambao wanatajwa kuwa karibu na mtangulizi wa Mama yetu kwa tuhuma mbalimbali. Whistleblower wetu kule Twitter licha ya kumtaja jina mtuhumiwa, kaweka mpaka picha yake sambamba na tuhuma zinazomkabili huku akidai mtu huyo...
Kwa mjibu wa TCRA, mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021.
Pia mitandao itawatarifu watumiaji wake mabadiliko hayo.
Baadhi ya mitandao unachanganya taarifa hizo kwa mfano rejea hapa.
Vodacom Tanzania
Habari, kuendelea kutoa huduma bora zaidi tutafanya marekebisho kwenye vifurushi...
ACT Wazalendo imesema watashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe kujaza nafasi ya mbunge iliyo wazi baada ya mbunge wa awali kufariki dunia.
Katibu mkuu wa ACT Wazalendo mh Shaibu amesema kuna tetesi kuwa Zitto Kabwe anataka kugombea lakini wao kama chama Zitto hajawaambia kama ana nia...
Wasalaam wapendwa!
Kila mara humu mtu ukisoma vizuri comments za kila mada huwezi kupita bila kukutana na neno UNAFKI. Hili neno linasemwa kulingana na sisi wenyewe tulivyo na vitabia vyetu.
Hivi Tundu Lissu kabla haijapigwa risasi akachungulia kaburi na kurudi tuwahi kusikia akiitwa msaliti...
Wasalaam wanajukwaa!
Siku wakati Rais mpya Mama Samia Suluhu anaapishwa kua Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alisisitiza turudi kuungana kua taifa moja na tuzidi kupenda tusahau yaliyopita na tugange yajayo.
Ndugu yetu Mwigulu Nchemba naye jina lake linatajwa kiasi flani katika wale...
Kama kiongozi wa nchi hayupo tayari kukosolewa akiwa hai, basi ni salama zaidi akifa tumkosoe.
Mambo haya hayakuwa sawa wakati wa hayati JPM:
1. Haki
2. Uhuru
3. Ajira zenye usawa
4. Maendeleo ya watu
5. Kodi za ajabuajabu tena za uongo.
Akiwa hai, ukisema tu kuhusu kimojawapo hapo juu...
Awali ya yote niwape Pole sana Watz wenzangu kwa msiba huu mkubwa wa kuondokewa na Mkuu wa nchi Dr.John Joseph Pombe Magufuli. Mungu amweke mahali panapostahili kwa yale aliyotenda hapa duniani.
Marehemu alikuwa hataki kusikia habari ya Katiba Mpya akidai hicho hakikuwa kipaumbele chake wakti...
WAPI ALIPO RAIS WETU?
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimeitaka serikali ya nchi hiyo kujitokeza na kueleza alipo rais John Magufuli na hali magufuli na yuko katika hali gani.
Kauli ya Chadema inakuja wakati ambapo kuna siutafahamu juu ya alipo rais Magufuli.
Mara ya mwisho...
Sasa hivi hakuna maadili ya kazi katika taasisi za mawasiliano, na hili halizungumzwi na wahusika.
Ni vyepesi sana kuibiwa simu na sim card zikiwemo, na Kibaya zaidi ukichelewa kurenew ndani ya masaa matano tu, basi hautakuta pesa zako tena ndani ya sim card husika.
Namna ya kushitaki ni...
Ni jambo jema kuwashuhudia wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii wakiwasili jijini Mbeya kikazi kwa kutumia basi la Shabiby.
Mmeonesha mfano mzuri wa kubana matumizi tofauti na mabunge yaliyopita ambayo yalitumia zaidi ndege na magari madogo ya gharama.
Pongezi zimwendee Spika Ndugai na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.