basi

  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa, familia, ukoo au kabila likiendelea kuwekeza kwenye elimu kwa lengo la kazi, basi mbeleni kuna anguko kubwa

    Sote ni mashahidi wadau. Zamani familia au ukoo au kabila likikazania elimu kwa lengo la kuoata mafanikio kupitia elimu njia ilikuwa imenyooka kabisa. Kuna hata makabila fani akili za darasani ziliwabeba kweli na kurundikana kwenye vitengo kwasbababu walikuwa na vyeti na sifa. Ila kwa hali...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama kuna Wiki Ngumu kwa Yanga SC basi ni hii kwani tayari Umafia umeshamalizwa huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili

    Waende kwa Tahadhari zote huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili kwani kwa Umafia ambao umefanyika huenda Wiki hii ikiwa Ngumu Kwao kwa Michezo yao. Nawaonea sana Huruma Kocha Kaze, Boss wa GSM Hersi na Mwenyekiti Msola. Kwa yaliyofanywa huko Watu watauwana.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kama ombi la Profesa Kabudi litakubaliwa huko UNESCO basi tarehe 07 Julai kila mwaka itakuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani

    Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 Julai ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani. Hili ni jambo jema, tuombe Mungu alibariki ombi hili. Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kuwa pengo halitazibika ni uongo, kumpamba mtu tu. Kama pengo la Albert Einstein lilizibika, basi pengo lolote litazibika

    Siamini kuwa hakuna pengo lisilozibika. Ni kudanganyana kumpamba mtu lakini ukweli ni kuwa kila pengo linazibika. Ukiondoka anakuja mwingine, maisha yanaendelea.
  5. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

    Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu? Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hahusiki na vifo
  6. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Kama hila ya Wazungu kupitia chanjo ni kutumaliza, basi tusitie kiburi leo, tumechelewa, tangu utotoni tumechanjwa sana na chanjo zao

    Polio, ndui, kifaduro, pepopunda, TB, nk ni chanjo ambazo wengi wetu tumechanjwa utotoni. Na huenda kupitia chanjo hizo ndiyo sababu ya kuwa hai hadi leo tunapotunisha misuli majukwaani. Halikadhalika ukienda kwa upande wa Mifugo,kuna chanjo nyingi mifugo yetu huchanjwa kukinga magonjwa...
  7. dubu

    JamiiForums Tanzania Kuna Video iliyokuwa ikionesha Polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori. Polisi wadai amekufa kwa homa ya mapafu

    Salaam wakuu, Kumekuwa na video mitandaoni ikionesha polisi/traffic wa Inyala, Mbeya wakimshusha kwa nguvu dereva wa lori na kumuangusha chini, na baada ya hapo imeripotiwa dereva huyo amefariki. Tunaomba mamlaka husika itolee majibu sintofahamu hii, na ni nini kinachopelekea matumizi ya nguvu...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mkiwasaidia Wasafi TV kwa 'Unafiki' wenu basi upesi sana muwaombe radhi itakayoambatana na 'Fidia' akina Kwanza TV na wengineo mliowafungia nyuma

    Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Innocent Lugha Bashungwa ameeleza kuhusu kufungiwa kwa Vyombo vya Habari na Wasanii na kuzungumzia kuhusu Wasafi Tv. Akiongea katika kipindi cha Clouds Fm Waziri ameeleza haya. “Kama Wizara jukumu letu la kwanza ni kusimamia nidhamu, inapotokea...
  9. May Day

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaifunga Namibia 1-0 CHAN

    Katika Mataifa ya kusini mwa Africa huwa nawahofia SA wenyewe, Zambia na Angola. Hawa waliobaki kama Botswana, Namibia, Malawi ni saizi yetu. Msumbiji wana utata kidogo lakini si kivile. ========= TANZANIA imefufua matumaini ya kwenda Robo Fainali ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Basi mlilopanda mkiona anaendesha vibaya huku akiwaambia ataongeza Spidi zaidi hadi mkome jueni Maafa yanakuja

    "Katika miaka hii mitano nitakuwa mkali ninyi, kwa sababu sihitaji kupigiwa kura wala sigombei tena Urais. Katika miaka hii watakoma wasaidizi wangu. Ambao hawahitaji kuwa mawaziri au wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya ni afadhali waachie."- Rais Dkt. @MagufuliJP mkoani Kagera. Sasa All - Rounder...
  11. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Kama humfahamu huyu jamaa basi fikra zako siyo angavu kabisa.

  12. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Serikali Hii: Kama mnawapenda vijana wahitimu wa vyuo basi ruhusuni ajira hii kwenye taasisi zenu

    Habari Tanzania! Leo nimewiwa wazo zuri sana nimeona ni busara kulileta hapa ili Serikali (mhusika mkuu) na Vijana (walengwa) kuhusu ajira mpya ya kimapinduzi kwa vijana nchi nzima. WAZO LA AJIRA Vijana waruhusiwe kupata tenda ya kufanya usafi katika taasisi za Shule za Msingi na Sekondari za...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kama hukutoka kimaisha miaka ya nyuma, hasa wafanyakazi, basi uko katika hatari ya kuchukua muda mrefu kutoka au kutotoka kabisa

    Kwa mtazamo wangu, watu ambao hawakutoka kimaisha miaka ya nyuma, hasa watumishi wa umma, kwa maana ya kujenga, kuwekeza,kununua gari/magari, n.k, hivi sasa mazingira ni magumu zaidi na inaweza kuchukua muda mrefu kutoka na kama unakaribia kustaafu, basi unaweza usiitoke kabisa huku mafao nayo...
  14. Gama

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki aagiza halmashauri kufuta mikataba ya utoaji wa chanjo iliyoingiwa baina ya halmashauri na makampuni binafsi

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi ameagiza Halmashauri zote kufuta mikataba ya utoaji wa chanjo iliyoingiwa baina ya Halmashauri na makampuni binafsi. Ametoa agizo hilo baada ya kupata malalamiko kutoka kwa wafugaji kuwa mifugo imekuwa ikivimba na mingine kufa baada ya kupewa chanjo. Aidha, mh. Waziri...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli CHADEMA hawajatumia hata shilingi moja ya ruzuku itokanayo na wabunge 19 basi wamekomaa kisiasa

    Kwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli CHADEMA haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali. Hapo CHADEMA inaweza kujitofautisha na ACT wazalendo kwa ukomavu na kujiamini. Maendeleo hayana vyama!
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kama siyo TANESCO Basi Waziri mwenye dhamana ya umeme acha kupuuza kelele za mitandao ya kijamii

    Nadhani lipo tatizo lakukatika umeme mara kwa mara hasa Dar, hii ni kwa mujibu wa wananchi wanaotumia social media. Mliopo dar mnaweza kusaidia kama Kuna ukweli ndani ya hizi habari. Lakini nichukue fursa hii kuwakumbusha Tanesco au Wizara kuchukua hatua. Kama kelele hizi zina ukweli watafute...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ukiona au kuhisi Idara nyeti ya Usalama unapambana na watu ndani basi anza kulia

    Leo nitaongea Jambo moja la ajabu kidogo. Nahili Jambo naliongea sio Kwa Nia mbaya Ila Kuwa fungua macho nakuitahadharisha serikali ikiwa kuna ukweli basi wajuwe kule tunaenda watatuumiza na watafanya watanzania wasifurahie utanzania wao na Taifa Lao. Mbinu za kiusalama ambazo naziona Kwa sasa...
  18. Millionaire Mindset

    JamiiForums Tanzania Karibu kwenye njia ya mwendokasi kuelekea utajiri na mafanikio, huku ni spidi kali kama unaogopa basi shika

    Njia ya mwendokasi ni njia spidi kali, kuingia njia hii lazima kwanza uachane na hofu, ukihofu mara nyingi utakanyaga pedali ya breki bila sababu, na spidi yako itapungua na utapitwa na kuachwa nyuma. Njia hii ina changamoto nyingi, na ndiyo maana watu wengi wanaamua kupita kwenye njia ya mguu...
  19. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imeamua Somalia ikimwaga mboga basi Kenya itamwaga Ugali

    Wiki iliyopita Somalia iliamua kufurusha Balozi wa Kenya nchini humo kwa madai kuwa Kenya ina interfere na siasa ya Somalia. Sasa kwa sababu Somalia ndio wamelianzisha basi sisi tunalipiza tu mapigo. Sasa Kenya imealika President wa Somaliland kuja Kenya on a state visit. Hakuna nchi yoyote...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kuna Mbunge ana vyeti vya "Ujanja ujanja" lakini kwa kuwa sifa ya Mbunge ni kujua KK basi watamalizana wenyewe!

    Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja. Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika. Bado najiuliza ni nani huyo? Au...
Back
Top Bottom