Yuko wapi yule dereva "Giriki" wa basi la Tawaqal?

Mara ya mwisho nilipanda basi la Tawaqal nikitokea mkoani Ruvuma lakini kwa sasa ni muda mrefu Tawaqal zimeachana na route hiyo.

Nauliza Wahenga wale wa " Watu wa safari" huyu nguli wa barabarani dereva Giriki yuko wapi siku hizi?

Kazi Iendelee

cc: Bujibuji
Daah we jamaa umenifanya nimekumbuka mbali sana, enzi za akina Scandinavia, Ruvuma line, Tawaqal, Zainabu bus, safari ilikuwa fupi sana enzi hizo pamoja na kwamba muda wa kupanda na kushuka kitonga ulikuwa unakaribiana kutokana na hali upana wa barabara Kuwa mdogo johnthebaptist

Ukiachana na enzi za akina kiswele
 
Mara ya mwisho nilipanda basi la Tawaqal nikitokea mkoani Ruvuma lakini kwa sasa ni muda mrefu Tawaqal zimeachana na route hiyo.

Nauliza Wahenga wale wa " Watu wa safari" huyu nguli wa barabarani dereva Giriki yuko wapi siku hizi?

Kazi Iendelee

cc: Bujibuji
Yule bwana alinitoa Mbeya saa 2 asbuhi na kunifikisha Dar saa 10 jioni, nilishilikia siti mwanzo hadi mwisho
 
Daah we jamaa umenifanya nimekumbuka mbali sana, enzi za akina Scandinavia, Ruvuma line, Tawaqal, Zainabu bus, safari ilikuwa fupi sana enzi hizo pamoja na kwamba muda wa kupanda na kushuka kitonga ulikuwa unakaribiana kutokana na hali upana wa barabara Kuwa mdogo@johnthebaptist

Ukiachana na enzi za akina kiswele
Safina umesahau
 
Picha ngoja nimuombe mshana jr maana kwa zile mbinu zake lazima anazo!
Huyu Giriki nasikia alikuwa anatabia ya kuwaingiza wenzake chaka hasa wanaposhuka mlima Kitonga, yaani akishuka anamzuga wa nyuma yake kwa taa ili aone mlima mdogo mwisho wa siku wanyuma yake anashindwa kukontro gari anapata ajali' hii ni kweli au uzushi tu?
 
Back
Top Bottom