2017 Ilibaki kidogo tuwe sawa na wazungu, kumbe Hayati Rais wangu aliposema sisi ni donor country alikuwa ana maanisha.
Hivi kweli inakuja akilini kuomba misaada kutoka vinchi vidogo km Belgium, Netherlands au Uswis?
mfano Ebelgiji inaingia mara mbili katika hifadhi ya serous.
BELGIUM...
Ajali ya basi la Standard Coach kutokea Iringa kwenda Dar.
Saa tatu asubuhi hii imetokea ajali ya basi la Standard Coach lenye namba za usajili T543 CSF lililokuwa likitokea mkoani Iringa kwenda Dar es Salaam. Ajali imetokea maeneo ya Mikumi wilayani Kilosa eneo maarufu kama kona za Iyovi...
Nimekuwa mpenzi wa kutumia usafiri wa basi la Shabiby mimi na familia yangu kwa miaka zaidi ya mitano
Dar, Dodoma, Dodoma Arusha.
Ila leo kwa yaliyo nikuta kupitia dereva huyu, imeniuma sana
Tulikata tiketi siti namba 4 kwa ajili ya mke wangu kusafiri toka Arusha kuelekea Dodoma ni katika...
Simple logic inaniongoza hivi:
1. Kwa ugonjwa wa corona, kama kuna reservoir/hot spots/potential hotspots ambao ni unvaccinated individuals herd immunity will not be attained.
2. It follows then that in order to get herd immunity and eliminate the virus, all should be vaccinated
3. And to...
Mh Shigongo mbunge wa Buchosa ameanza kampeni ya kutatua kero za wananchi wake kwa kuwafuata popote ikiwemo ndani ya mabasi ya abiria.
Leo ameonekana ndani ya basi lililotokea Kanyara kwenda Sengerema.
Chanzo: Global Publishers
Leo nyie mikia mnielewe vizuri, kama kigezo cha kumpima straika ni magoli, Chris Kope Mutshimba Mugalu ni bonge la straika na mpeni muda atafanya vizuri zaidi.
Amefunga goli 15 za ligi, mnahitaji nini zaidi? Ni muda sasa wa Mugalu kupewa heshima yake anayostahili!
Ukiona hakuna Uhuru wa kukutana Hadi vikao vya ndani ujue Hali unarudi kuwa ngumu soon as possible.
Kuna unafuu ulianza kuonekana kwenye uchumi. Watu kuachiwa, kesi kufutwa, Wakulima kulipwa mazao ya biashara kwa keshi haswa pamba na Bei kupanda kutoka 800 kilo Hadi 1500. Ilikuwa NI dalili...
Mada tajwa yahusika
Karibu kwa mapendekezo pamoja na sifa za basi husika, kama una na contact itakua poa zaidi
Nasikia hizi basi huwa hawaanzii stendi (ubungo kwa zamani) wanaanzia mbagala. Je, ni kweli?
Kwa siku hizi sijajua kama wanaanzia mbezi au bado ni mbagala. Naomba kujuzwa...
1. Jina la Baba Mungu hutajwa mno?
2. Sura (Nyuso) za Huruma hutawala mno?
3. Waliochwa Majumbani hukumbukwa mno?
4. Kuombana Magazeti kunapungua mno?
5. Maombi ya Kuomba Kukojoa (Kuchimba Dawa) hupungua mno?
6. Abiria wengi hujifanya wamelala (tena kwa Kufumba Macho) ila Breki ya Basi...
Kama ndizo drones hizi walizotaka walete wale jamaa wakasiribwa kwelikweli basi waomnbwe msamaha haraka sana maana(siwatetei kwenye ufisadi wao ila kwa hili it was a good idea) kuna siku Kariakoo ile au magorofa marefu yatawaka moto huu mji utaungua wote maana shughuli ya juzi kariakoo...
Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni sawa na bilioni 20 na milioni tisa.
Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara...
Wadau nawasalimu kwa jina la JMT. Kazi iendelee...!
Najikita moja kwa moja kwenye mada husika, juu ya yanayoendelea huko mashuleni (shule za msingi)
Mimi nipo haoa mkoani (nausitiri), juzi nimekutana na mtendaji mmoja wa idara ya elimu wakati tukipeana dondoo za hapa na pale ndio akaanza...
Ukumbi huu ulikuwa mzuri na wa kiasi chake miaka hiyo.
Mara ikatoka amri kulivunja jengo, kupiti NHC na aliyetoa taamko ni Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wake.
Jengo lilikuwa la kihistoria na Club Bilicanas ilikuwa yavuti hata watalii kw ajili cafe yake ya Hard Rock.
Nimepita hapo leo, ni parking...
1. Kuwaanzisha Erasto Nyoni na Bernard Morrison ambao leo ndiyo Wachezaji wa Simba SC waliocheza vibaya na Kuharibu zaidi badala ya Kuwaanzisha Muzamiru Yasini na Rally Bwalya Kiufundi kumeigharimu Simba SC.
2. Kumuanzisha Clatous Chama ambaye bado Kichwa chake kimetawaliwa na Kumpoteza Mke...
Basi la Ulamaa T330 DGB likitoka Mwanza kwenda Arusha limepata ajali leo alfajiri kwa kuacha njia na kugonga nyumba eneo la Mkolani darajani Mwanza, ndani ya nyumba kulikuwa na Watu 6…. hakuna taarifa za kifo bali Majeruhi ambao wamepelekwa Butimba Hospitali.
Nimepita katika U Turn ya Shekilango kurudi Ubungo nimekutana na msululu wa mabasi ya mwendokasi mapya kabisa yakitokea njia ya Mbezi kurudi town.
Hakika Mama yangu Rais Samia matunda ya kazi yako nayaona na Mungu akulinde katika kila hatua yako.
Kuna taarifa kuwa basi la KANDAHAR toka Karagwe to Moshi limeungua huko Karagwe,
Tunaendelea kufuatilia ili kuwaletea taarifa kamili, Ila tuwaombe wenye ndugu zao ambao wamesafiri leo kutokea Karagwe na bus la kampuni ya KANDAHARI mjaribu kuwatafuta kujua hali zao!
Kwa mujibu wa website ta ATE Serikali inakusanya trilioni 17.6 kwa mwezi sawa na trilioni 211.2 kwa mwaka, yaani kwa mkwanja huu hamna wasiwasi SGR itakamilika kwa wakati na bwawa la nyerere nalo hamna shida litajengwa, nimeweka kiambatanisho hapa chini https://ate.or.tz/sites/default/files/TZA...
Kama ni kweli basi Mwarabu wa watu anajichimbia kaburi historia ya kocha klabu zetu haswa yanga kuja na wachezaji wa nchini mwake siyo nzuri, kwanza wakiwa chini ya kiwango atalazimisha kuwapanga.
Wenzao watawachukia. Wachezaji hao wataanza kulalamikia viwanja vibovu hapo itabidi wapangwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.