Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mkoani Mtwara imepokea meli mbili zilizoshusha mtambo wa kupakulia mizigo mizito bandarini. Mitambo hiyo inauwezo wa kwenda chini ndani ya maji kwa zaidi ya mita 45, meli zilizoleta mitambo hiyo zimetoka Ireland na Dubai (UAE)
Mtambo huo utasaidia kuongeza kasi...
Jamani kwema
Hayati Magufuli alikuwa ana mapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyohusu maslahi ya taifa alikuwa mkali kupitiliza, alijitahidi kuboresha miondombinu kila idara majini (bandari zote), nchi kavu na angani
Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli 😢😢😢😢...
Kumekuwepo na madai kuwa Serikali imesitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya Kushindwana na mwekezaji.
Hapo awali Serikali ilifufua mazungumzo na mwekezaji kuhusu ujenzi wa Bandari hiyo ila mazungumzo hayakwenda sawa.
Hayo yamesemwa na Waziri Prof. Makame Mbarawa
NB. Kwenye suala na...
SERIKALI imeanza mchakato wa kutafuta mwekezaji mpya kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo baada ya mazungumzo na mwekezaji wa awali kutokufikiwa mwafaka na hatimaye kujitoa.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa.
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, alisema...
Uboreshwaji wa bandari ya Mtwara umefanya kuongezeka kwa biashara ya makaa ya mawe kutoka Kusini mwa Tanzania na kuipa Bandari ya Mtwara ambayo ni ya 3 kwa ukubwa nchini maisha mapya.
Uwekezaji wa kimkakati wa serikali katika uboreshaji wa Bandari ya Mtwara umegeuza bandari hiyo kuwa tegemeo la...
Na Marato Sinda, Dar es Salaam
Kampuni ya Kimataifa ya huduma ya Kontena Tanzania (TICTS) inadaiwa kushindwa kutekeleza makujukumu yake na wadau wa sekta za biashara na usafirishaji ambao wameitaka serikali kutoipa mkabata mpya kampuni hiyo kwa kushindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo...
Habari za mchana wadau,
Basi bhana, jana nikiwa ndani ya treni kama kawaida nikielekea home. Basi bhana ghafla nikaskia taarifa ya habari kutoka Idhaa ya Kiswahili sauti ya Japan, nikaskia mtangazaji akisema "Dar-es Salaam, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametengua nafasi ya bosi wa...
Kumekuwa na matatizo mengi sana yanayohusu Bandari zetu na hasa ya Dar es Salaam. Awamu ya Tano ilimteua Injinia Kakoko kuongoza Bandari na matokeo yake kila mmoja wetu aliona.
Injinia Kakoko aliongeza mapato ya Bandari zaidi ya mara kumi. Ni vema Injinia Kakoko akarudishwa tena pale na kwa...
Ukusanyaji wa mapato katika Bandari ya Dar es Salaam umekuwa ni changamoto tangu taifa letu lipate uhuru, tatizo hili limesababisha kufanyika mabadiliko ya wakurugenzi wa bandari (TPA) kila inapobidi kufanya hivyo tukidhani kwamba ndio dawa ya kutibu tatizo hilo.
Lakini kwa wakati mwingine...
Kuna trend ya wahuni kutaka marudio ya kubinafsisha mali na mashirika ya taifa halafu wanakula dili na wawekezaji feki kupora mali za umma kama walivyofanya awamu ya Mkapa.
Mama wengi hatumuamini kutokana na utashi wake kupapatikia wafanyabiashara binafsi na uwekezaji wa nje bila kuona tija...
Amani iwe nanyi
Leo Rais wa JMT amemtumbua Mkurugenzi wa Bandari Ndug Erick Hamis.
Pamoja na kumtumbua Rais Samia amelalamika juu ya efficiency ya Mamlaka yetu ya Bandari na kusema kuwa Mamlaka hii ingekuwa inafanya kazi vizuri ingeweza kuchangia hata nusu ya mapato ya Bajeti yetu. Ni kweli...
Kwa wale wahenga na wajuvi wa hizi mambo huyu mwamba aliyeitawala Zaire kwa mkono wa chuma alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi?
Nakumbuka huyu mwamba zilikuwa haziivi kabisa na mzee Nyerere pamoja na mzee Museven sasa aliwezaje kupitishia siraha zake hapo bandari ya Dar
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeeleza kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza Mpango Mkakati wa miaka mitano (5) (2021/22 – 2025/26), unaolenga kuboresha bandari zote za Tanzania ikiwemo Bandari ya Mtwara.
Imeelezwa kuwa kupitia mkakati huo Serikali...
Habari wapendwa!
Naombwa kujuzwa ndugu zangu,
Mimi ni mtumishi wa umma yaani ni afisa mtendaji kijiji, nina diploma ya maendelo ya jamii lengo langu nisome short course pale chuo cha Bandari kwa lengo kile cheti kinisaidie kutoka halmashauri kwenda kule tpa vp hili jambo linawezekana? Na ipi...
Kwa mtazamo wangu nilipenda Sana dunia ipate machungu Kama wananchi wa Ukraine wanavyopata machungu ,Jambo moja ambalo dunia haitambui tatizo lingekwisha kitambo Sana endapo Ukraine ingeamua kujikalia kimya kwenye majumba yao na siyo kutunisha misuli na misuli hawana wanategemea support ya watu...
Urusi imesema kuanzia sasa meli zitakazopenda kwenda na kuondoka bandari za bahari nyeusi zilizokuwa za Ukraine ni ruhusa kufanya hivyo na zitapatiwa kila aina ya ulinzi ili zibaki salama.
Hayo yamesemwa na wizara ya ulinzi ya Urusi wakati ikiwa imefanikiwa kuzishika bandari hizo muhimu kwa...
Habari ndugu Wana jamiii forum! Poleni kwa waliofanya interview ya operation officer TPA, naomba mwenye kulikumbuka vizuri swali la mwisho paper ya operation officer anipe please
Ofisi ya raisi Zelensky mjini Kiyv imesema inasubiri makombora hayo aina ya MLRS haraka kutoka Marekani ili kazi ianze.
Office of the President: Ukraine itself will unblock the Black Sea if it receives MLRS systems
Baada ya DRC kuingia rasmi EAC , mataifa makubwa katika Jumuiya hii Uganda Kenya na Tanzania,yanaendelea kupambana kukamata fursa ili kushika soko la nchi hii yenye watu zaidi ya Milioni 100
Wakati Uganda akijenga Barabara kuingia majimbo ya kaskazini mwa Congo, Kenya anafungua Ofisi Mombasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.