kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,371
- 7,141
Kuna trend ya wahuni kutaka marudio ya kubinafsisha mali na mashirika ya taifa halafu wanakula dili na wawekezaji feki kupora mali za umma kama walivyofanya awamu ya Mkapa.
Mama wengi hatumuamini kutokana na utashi wake kupapatikia wafanyabiashara binafsi na uwekezaji wa nje bila kuona tija kwa maendeleo ya watanzania.
Tangu aingie tumeona anafikiri kushirikisha watu binafsi kwenye mashirika ya umma bila kuona hatari ya ubabaishaji na utapeli wa wawekezaji wababaishaj.
Alipokuwa anamtumbua CEO wa bandari ametaja kwamba anakwamisha wawekezaji kama sababu kubwa.
Hapo naona ni maagizo ceo mpya awasikilize wahuni wanaojidai kutaka kuwekeza wakati nia yao ni kuja kuidumaza bandari.
Sera yetu tangu zamani ni kuhakikisha sekta muhimili za uchumi kama bandari reli mawasiliano etc zinabakia mikononi kwa umma na pia kua na mamlaka imara za kudhibiti uchumu wa taifa.
Nina mashaka na uelewa wa mama wa mambo ya uchumi. Yafaa washauri wawe na uzalendo kumuongoza vizuri.