bandari

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya Mkataba wa miaka 100 ya ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam kwa DP World?

    Wakuu, kuna tetesi zinasambaa kuwa baadhi ya Wabunge wamelipwa fedha ili kuupigia kura ya ndiyo mkataba huo wenye utata. Pia inatumika nguvu kubwa kuonesha vigezo vyote vimefuatwa ambapo kwa sasa kuna wanaoitwa Wadau wameitwa kwaajili ya kujadili kwa haraka halafu itaingizwa kwenye maelezo ya...
  2. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia ukwasi waliokuwa nao wafanyakazi wa bandari na ufanisi ni mdogo ni bora bandari ipewe mwekezaji

    Mod nakuomba huu uzi usiunganishe Ukiangalia hapa duniani management ni tatizo kubwa tuliokua nao waafrika sehemu yeyote katika nchi za kiafrika watu wanapigania matumbo yao na sio uhai na ufanisi wa taasisi au kampuni husika. Ukiangalia ukwasi waliokua nao wafanyakazi wa bandari binafsi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za serikali kuichagua kampuni kutoka Dubai kufanya kazi bandari ya Dar es Salaam

    Bunge la Jamhuri ya Tanzania mwaka huu linatarajia kujadili na kupitisha mkataba wa Kiserikali kati ya Tanzania na Dubai kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam, Hili litaweka mazingira ya kufanyika kwa taratibu nyingine, ikiwamo mkataba wa makubaliano, kabla ya kuanza kwa sura mpya ya...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Bunge lakaribisha maoni, kuhusu mapendekezo ya kuridhia makubaliano mkataba kati ya Tanzania na kampuni ya Saudia kuendesha bandari Dar es Salaam

    Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Mindombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kluchumi...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Cecil David Mwambe - Wawekezaji Mradi wa LNG badala ya Kutumia Bandari ya Dar es Salaam Watumie Bandari ⛵ na Uwanja wa Ndege wa Mtwara na Lindi

    MHE. CECIL MWAMBE - MRADI WA LNG WAWEKEZAJI WATUMIE BANDARI NA UWANJA WA NDEGE WA MTWARA NA LINDI BADALA YA DAR ES SALAAM Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Mhe. Cecil David Mwambe wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Nishati amesema ni vyema wawekezaji wa mradi wa LNG badala ya kutumia Bandari ya Dar...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Bandari inauzwa kwa waarabu, Gesi LNG inauzwa kwa uingereza, Mbowe, Lissu, Zitto mko wapi kupaza sauti?

    Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Zambia yaipongeza Tanzania kwa maboresho bandari ya Dar es Salaam

    Waziri wa Uchukuzi na Usafirishaji wa Serikali ya Zambia Mhe. Frank Tayali ameipongeza Serikali ya Tanzania na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania-TPA kwa maboresho makubwa ya kimiundombinu yanayotekelezwa katika Bandari ya Dar es Salaam. Akizungumza wakati akifungua Kongamano la...
  8. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Ndoto yatimia: Serikali kupitia TPA kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanzia mwaka huu wa 2023/24

    Habari ndugu Wadau.. Baada ya siasa na saga nyingi ,hatimaye Serikali ya awamu ya 6 imesema itaanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo mwaka huu wa Fedha wa 2023/24 ambapo ujenzi wake utasimamiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA.. Ile ndoto Sasa inaenda kuwa kweli ambapo Tanzania itapata Bandari...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Faida za Kubinafsisha Bandari ya Dar es Salaam ni Nyingi. Lakini Changamoto Tatu (3) Zinapaswa Kudhibitiwa Ili Tuweze Nufaika Zaidi

    UTANGULIZI Bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni moja ya bandari kubwa na muhimu zaidi barani Afrika, imekuwa chanzo cha fursa na maendeleo kwa Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na mazungumzo kuhusu ubinafsishaji wa bandari hii ili kuongeza ufanisi, kupanua huduma, na kuchochea ukuaji wa uchumi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbarawa ataja sababu za kubinafsisha bandari zetu kwa wageni

    Ushirikishwaji wa Sekta Binafsi Katika Shughuli za Uendelezaji na Uendeshaji wa Bandari 229. Mheshimiwa Spika, Ushirikishaji wa Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari zilianza kuchukuliwa na Serikali mwishoni mwa miaka ya 1990 kupitia Tume ya Kurekebisha Mashirika yaUmma...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Jimbo la Hai, wanamuuliza Mbunge wao. Je, hoja ya kubinafsishwa bandari ya Dar amekubaliana nayo?

    Kumetokea mkusanyiko mkubwa huko Jimbo la Hai, wakitaka mbunge wao ainyeshe wazi msimamo wake kuhusu hoja iliyoko Bungeni kitaka Bandari ya Dar ibinafsishiwe Dubai. Wananchi hao wametoa kauli moja kuwa iwapo mbunge Huyo atapitisha hoja ya kukubali Kuchukuliwa na wageni bandari ya Dar, ambako...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

    MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII" Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari? Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa. Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Zanzibar yabinafsishwa kwa kampuni ya kigeni, wazalendo wahoji

    Chama cha ACT Wazalendo kimehoji juu ya mchakato uliotumika kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuipatia Kampuni kuendesha shughuli za bandari ya Malindi Zanzibar Katibu wa habari na uenezi ACT Wazalendo Salum Bimani, amehoji hatua hiyo wakati wa mkutano wa hadhara wa chama hicho...
  14. Charles piere

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja bandari kavu kwala

    Kiwanja kipo karibu na mnada wa mifugo na bandari ya kwala Ukubwa mita 64 x70 Bei milioni 3.5 Contact 0678804442 Eneo ni langu sihitaji dalali
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Bandari ya Mtwara Waleta Matokeo Chanya

    UWEKEZAJI BANDARI YA MTWARA WALETA MATOKEO CHANYA Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi ( Sekta ya Uchukuzi) Mhe. Atupele Mwakibete, amesema uwekezaji wa zaidi ya shillings bilioni 157.8 uliowekwa katika maboresho ya Bandari ya mtwara umeanza kuleta matokeo kwani kumekua na ongezeko la shehena na...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya bandari yanavyovutia wateja wapya

    MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), imeendelea kufanya maboresho makubwa katika Bandari ya Dar es Salaam. Maboresho hayo yamechangia kuongeza ufanisi ikiwa ni pamoja na ongezeko la meli, shehena na kuvutia wateja wapya zikiwemo nchi jirani. Akizungumza, Mkurugenzi wa Bandari Mrisho Mrisho...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mhe. Atupele Mwakibete Awaagiza TPA Bandari Kwala Ianze Kazi

    NAIBU WAZIRI, MHE. ATUPELE MWAKIBETE AWAAGIZA TPA BANDARI KWALA IANZE KAZI Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Sekta ya Uchukuzi Mhe. Atupele Fredy Mwakibete ameiagiza mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA) kuhakikisha inaanza kutoa huduma kwa kutumia Bandari Kavu kwa kuanza na Bandari ya...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Eti unajenga bandari ya Karema Ili upunguze Malori Tunduma, kwa Jiografia ipi hiyo?

    Hawa wanaopanga na kufanya hii miradi Huwa wanajua wanachokifanya au wanakurupuka tuu? Yaani Mizigo Mingi inayopita Tunduma inaenda DRC(Lubumbashi), Zambia na Zimbabwe ambako route Yao fupi ni via Tunduma.. Sasa inawezekanaje mizigo itoke Dar iende Karema then ivuke Ziwa itafute Barabara ndio...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wizara yamshukuru Rais Samia Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa

    Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Profesa Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi Bilioni 266.7 kugharamia ujenzi wa mradi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko mkoani Lindi. Profesa Shemdoe amesema bandari hiyo ya uvuvi ikikamilika itakuwa msaada...
  20. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Uhujumu wa Bandari yetu

    Kuna hujuma ya kupunguza mapato ya nchi dhidi ya sheria tata za pollice wetu, baada ya hizi ajali za mara kwa mara police wameweka sheria hizi gari za IT kutokubeba mtu zaidi ya dereva tu. Sasa unakuta mtu anakuja kuchukua gari yake, hapohapo afanye shopping, aje na mkewe au mtoto wake, atakua...
Back
Top Bottom