bandari

  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia teua wanawake kuwa watendaji wakuu wa TRA na Bandari ili kuleta ufanisi

    TRA na Bandari ndiyo roho za uchumi, wanaume ni wezi sana. Kama unataka mambo yanyooke pale wajaribu wanawake Wizara ya ujenzi na uchukuzi, TRA na Bandari, utaona nafuu kubwa itakavyopatikana. Wanaume wana ujasiri wa kijinga kabisa. Wizara ya ujenzi weka watu kama Stella Manyanya na wenzake...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Bagamoyo hiyooo inakuja, ama tuikatae sasa au tuipokee milele!

    Bila kumumunya maneno, serikali ya awamu ya sita imedhamiria kwa 100% kuhakikisha mkataba ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo unatekelezwa mara moja, serikali imejipanga kuhakikisha hilo linafanikiwa kwa haraka iwezekano. Bila kusimamia upande wowote katika hili kwenye mada hii, ninapenda...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Bandari; Hii ndio ahadi ya CCM Kwa wananchi

    Usafiri wa Majini Kwa kushirikiana na sekta binafsi, kuendelea kuboresha huduma za uchukuzi katika Bandari za mwambao kwa kufanya yatuatayo:- (a) Kuanza ujenzi wa gati Na. 13 na 14 katika Bandari ya Dar es Salaam; (b) Kukamilisha uboreshaji wa gati Na. 1 – 7 ili kuimarisha utoaji wa huduma...
  4. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Comrades, msiwe na wasi Bandari ya Bagamoyo haitajengwa hata kama Serikali ikitaka hivyo

    Huo ndio ukweli comrades, ni kama tu Mji wa Kigamboni na USA, hata Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na sababu ni KUU ni Moja, hakuna PESA za huo mradi, China hawafund tena miradi mikubwa kama hiyo kwa sababu wana economic crisis inakuja. Hivyo comrades, tulieni hakuna kitakachofanyika, wataweka...
  5. Stroke

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, usijenge Bandari ya Bagamoyo utaiua nchi kabisa

    Nipende kumuomba CDF amshauri Rais asijenge Bandari ya Bagamoyo kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kuliua Taifa Kabisa. Nimemuomba CDF kwani yeye ndiye mkuu wa majeshi ya Ulinzi, na ulinzi ni pamoja na kuangalia uhai wa Taifa, sio kwa mtutu wa Bunduki tu na mizinga bali hata kwa ushauri wenye...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye amjibu Mangula, ni Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

    Salaam Wakuu, Baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula kuzungumzia Bandari ya Bagamoyo kwamba haipo kwenye ilani, Mbunge wa Mtama Moses Nnauye(CCM) ameibuka na kusema kwamba kuna miladi mingi imetekelezwa ambago haikuwa kwenye ilani. Mangula alisema...
  7. Memento

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti CCM, Mzee Mangula: Bagamoyo tuliahidi kujenga Gati sio Bandari

    Mzee Mangula anasema kwenye ilani ya CCM 2020-25 hawakuahidi bandari ya bagamoyo bali waliahidi ghati tu. Hivyo anashangaa mjadala wa ujenzi wa bandari bagamoyo unatoka wapi. Mzee Mangula hapa nadhani wa kumuuliza zaidi ni mwenyekiti wake ambae alisema ana habari njema kuwa wamefufua...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama mnaipenda bandari ya Bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza bandari ya Dar es Salaam

    Ni ushauri tu, Sipendi ujuaji sana wa kusoma kwenye makaratasi ila huwa napenda kuchakachua ubongo wangu, Kama kweli mnaipenda bandari ya Bagamoyo ni bora tungejenga kwa hela zetu tunazoingiza bandari ya Dar es Salaam.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali endelezeni Bandari ya Tanga hakuna haja ya Bandari mpya

    Serikali inatakiwa kuwekeza na kuendeleza bandari ya Tanga badala ya kujenga bandari mpya isiyo na ulazima na kuingiza nchi kwenye madeni yasiyo ya msingi kwa manufaa ya viongozi wachache. Bandari ya Tanga tayari kuna uwekezaji mkubwa unakuja na pesa za kampuni ya Total ya ufaransa ambayo...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mimi napinga ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa sababu hizi

    China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha. Tukiwa na bandari ya...
  11. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Bagamoyo: Waziri Mwambe asema Wachina walisema Dar hadi Pangani, na sio Mtwara hadi Tanga

    SERIKALI YAMKANA HAYATI MAGUFULI Waziri Mwambe amesema haya ''Kuna jambo niliweke sawa ilisemwa kuwa wachina walisema kusiendelezwe bandari yoyote kutoka Mtwara hadi Tanga,sio kweli. Hayo maneno sijui yalitoka wapi, kilichosemwa ni kwamba kuanzia Dar es Salaam hadi Pangani kusiendelezwe...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwambe: Mazungumzo ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo kuanza rasmi

    Waziri wa uwekezaji Mr. Mwambe amesema hakuna mkataba wowote uliosainiwa hapo awali kuhusu bandari ya Bagamoyo zaidi ya minutes tu za vikao. Mwambe amesema serikali itaanza rasmi mazungumzo na Oman na China ikiwa na maagizo ya Rais Samia baada ya kuwa amezipitia nyaraka zote. Chanzo: ITV...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bandari Bagamoyo, wananchi 9800 kulipwa fidia

    Hatimaye ule mradi mkubwa wa Bagamoyo kurejewa, tiyari wananchi wamelipwa fidia kupisha mradi. Hekta 9,800 ni za mradi Eneo Maalum la Kiuchumi Bagamoyo, hekta 3,000 ni uwekezaji wa Bandari ya Bagamoyo, Hekta 6,800 zilizobaki tayari hekta 2,600 zimelipiwa fidia kwa ajili ya uwekezaji na Mamlaka...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Mwinyi; Bandari ya Zanzibar unaiua kwa haya mambo unayoyafanya

    Mheshimiwa wakati unaingia madarakani , wazanzibari wengi nyoyo zetu zilifarijika kwa jinsi ulivoanza kuchapa kazi. Ziara yako ya bandarini iliibua matumaini kwamba yajayo ni neema tupu. Mwaka mmoja sasa tokea ushike madaraka , hakuna kilichobadilika zaidi ya kuongezeka kwa usumbufu wa utitiri...
  15. Stroke

    JamiiForums Tanzania Dhuluma za Wakenya kwa bandari yetu

    Wakuu, Wakenya wanaiua bandari yetu kimya kimya. Hivi karibuni makampuni kadhaa hapa Tanzania yameanza kupeleka bidhaa zao Bandari ya Mombasa baada ya nafasi za shipping line maarufu ya Maersk kukosekana kabisa hapa nchini. Msafirishaji akiangalia nafasi za kuexport mzigo kwa hapa nchini...
  16. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba ujue siyo kila kitu ni cha kubinafisisha

    Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha kubinafisishwa kwa masilahi mapana ya taifa. Umeme Bandari Reli Viwanja vya ndege Mbuga etc Baba wa taifa Mwl Nyerere kwenye hotuba yake moja mwaka 1995 alikemea vikali akili ya kuchukua mali ya uma na...
  17. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Mbarawa amepokea Behewa mpya 44 za mizigo za Shirika la Reli Tanzania

    Mwanzo | TRC Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amepokea Behewa mpya 44 za mizigo za Shirika la Reli Tanzania – TRC zilizonunuliwa kupitia Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP, bandarini jijini Dar es Salaam Oktoba 06, 2021. Behewa hizo zitatumika kusafirisha mizigo...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ole Nasha kufariki ni wakati wa Mkataba wa bandari ya Bagamoyo kuwa wazi

    Waziri Ole Nasha ndiye aliyekuwa waziri ambaye kapewa majukumu ya ufuatiliaji wa mkataba wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo wenye makadirio ya thamani $10B. Watanzania wengi ni lazima tujiulize huyu waziri kijana kuondoka katika mazingira haya akiwa katikati ya mkataba mkubwa hivi. Kwa kutoa...
  19. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka: Tumeahidi ajira milioni 8 kwenye Ilani ya CCM, tumetoa Tshs 157.8 Bilioni kwa ajili ya ukarabati wa bandari ya Mtwara

    Nawasalimu kwa jina la JMT, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa za mashina na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la sensa ya watu na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania CCM yashusha maelekezo mazito bandari ya Mtwara

    CCM YASHUSHA MAELEKEZO MAZITO BANDARI YA MTWARA Ijumaa Sept 17, 2021. "Pamoja na uwekezaji huu mkubwa wa takribani bilioni 158.8 za kuboresha bandari hii ya Mtwara ni ajabu haitoi huduma kama ilivyokusudiwa" shaka Mwenezi Taifa "Sababu ikiwa ni urasimu na hata hujuma zinazofanywa na baadhi...
Back
Top Bottom