bandari

  1. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar iko bizee balaa meli ni nyingi nyingi

    Ukipita maeneo ya lango kuu la nchi yetu maeneo ya bandari hali sio hali, yaani ni shughuli mwanzo mwisho pamoja na mamlaka husika kufanya kazi usiku na mchana, meli ni nyingi hakuna mfano,yaani bandari yetu iko bize balaa, chombo kinaingia, huku kuna kingine kinatoka kingine kinapakia mzigo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu tunaomba uingilie kati vyeti vyetu Chuo cha Bandari, Tandika

    Tulimaliza Chuo tangu Nov, 2017. Ilipofika June 2018 Vyeti vikagawiwa kwa Wahitimu wote, lakini katika Vyeti vile kulikuwa na makosa ya kukosewa majina baadhi ya Wahitimu, tukaambiwa na Mkuu wa Chuo kuwa wote ambao majina yetu yalikosewa yatupasa tujiorodheshe baada ya miezi mitatu tukachukue...
  3. cheusimangala_

    JamiiForums Tanzania Bandari za Tanzania bado zitabaki kuwa suluhisho kwa waagizaji wa mafuta Afrika

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (Tanzania Ports Authority) ni shirika la umma linalofanya kazi zake chini ya Wizara ya Miundombinu. Na ina jukumu zima la kuongoza na kuendesha bandari za bahari na maziwa ya nchini Tanzania. Mamlaka hiyo ipo mjini Dar es Salaam na ni bandari mwanachama wa Jumuia...
  4. diana chumbikino

    JamiiForums Tanzania Shehena za mizigo zinavyozidi kumiminika bandari Mtwara

  5. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika

    viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika hapa nchini kwa siku 5 ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbalimbali. Viongozi wa AALCO waliokutana na Mhe. Rais Magufuli ni Rais wa AALCO...
  6. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Bandari Dar kupokea na kufungua gati namba tatu baada ya siku 10 kuanzia sasa

    kupokea na kufungua gati namba tatu baada ya siku 10 kuanzia sasa. Gati hilo ni sehemu ya magati saba yanayojengwa katika bandari hiyo na yanayotarajiwa kufunguliwa na mamlaka hiyo na hivyo kuwezesha kuhudumia tani za mizigo milioni 25 kutoka milioni 16.2 inayohudumia sasa kwa mwaka. Gati hizo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Adui mwingine Mkuu wa maendeleo ya Biashara nchini Tanzania ni huyu hapa

    Utangulizi Heko Mpendwa wetu Daktari JPM, Huu ni mchango wangu kwa Taifa langu, ambao ni imani yangu kuwa nautoa kwa muda mahususi na kwa Mtu mahususi aliyeteuliwa na Mungu kulivusha Taifa lake la Tanzania kutoka katika maisha ya ufukara, udhalili, utapeli wa kisiasa na kiuchumi na unyongwaji...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kufutwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni dharau kwa Rais Kikwete na watu wa Pwani

    Kufutwa kwa mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni ujumbe wenye taarifa kamili kwamba awamu ya tano inadharau mipango na miradi mizuri iliyoanzishwa na awamu ya 4. Lkn pia, hatua hii inaua ndoto na matumaini ya kupunguza umaskini kwa watu wa Pwani kupitia mradi huu ambao ulipambaniwa na...
  9. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushuru wa Bandari ni kiasi gani?

    Habari, Kwa utashi, uzoefu, ujuzi na hekima zenu tafadhali naomba kufahamishwa taratibu na gharama za Ushuru wa Bandari wakati wa kutoa gari kwa Port ya Dar Es Salaam. Nimejipigapiga na kuagiza kagari toka Japan ambako gharama yake ya Ushuru wa TRA kwa mujibu wa TRA Calculator ni kama 4Million...
  10. kbm

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    The Construction of the 10 billion (about Sh22 trillion) Bagamoyo Port has been suspended, The Citizen has learnt. The government wants to focus instead, on improving the capacity, performance and efficiency of the Mtwara and Dar es Salaam ports. The Minister for Works, Transport and...
Back
Top Bottom