Wamejaribu kutumia kila kete kunusulu ulaji wao lakini wapi! Mama Yuko strong kwenye uwekezaji Huwa hayumbishwi kabisa.
Wamejaribu kumtumi Shivji akahit lkini upepo umeshakata.
Wamemtumi slaa naye kaenda na maji.
Wamewatumia lisu na viongozi wa dini hasa zile dini kubwa zinazopitisha magendo...
Mkataba wa bandari waaibua Wazee wa Baraza la Ushauri.
==
Wazee wamesema mjadala wa bandari utatugawa kutokana na namna unavyoendeshwa. Mzee mmoja wa Dar amesema hakuna anayepinga mpango huo au anayeshuku uwezo wa kifedha wa wawekezaji hao bali hawakubaliani na baadhi ya vipengele vya mkataba...
Naam, ni DP World Luanda Port.
Bandari ya Luanda ni moja ya bandari kubwa nchini Angola kati ya bandari zake zikiwemo za Lobito na Benguela ambazo zipo pembezoni mwa bahari ya Atlantic.
Lakini serikali ya Angola kwa kuona ufanisi mdogo uso na tija kwa uchumi wake ikaamua kutafuta mzabuni ambae...
"Hii biashara ya Rais wetu na maswaiba zake wa Dubai imekataliwa na watu wengi sana wenye akili na ambao hawajahongwa.
"Bandari zetu zimeuzwa zote zilizopo na zitakazokuwepo.
"Hao watu wanaotetea ndio wanatetea kuuzwa kwa bandari zetu, jibu ni nini, hawana akili au wamehongwa.
"Tusiruhusu...
Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?
Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.
Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
bandari
dp world
hapo
jakaya kikwete
kikwete
kinana
kuhusu
kusema
kwani
mkono
msimamo
mstaafu
mzee
mzee kikwete
rais
rais mstaafu
rais mstaafu kikwete
world
Hakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mpaka kutusi.
Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni uvunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka...
Binafsi Imani Yangu kwenu haikuwahi kuwa na Shaka. Ukimya wenu kwenye suala hili la bandari bila kujali nafasi mlizopewa unadhibitisha kuwa hamko tofauti na watanzania wengi wanaotetea matumbo Yao.
Haijalishi mnazo nafasi gani kwenye hii serikali. Ukimya wenu ni majibu tosha kuwa tuliwaweka...
Suala la Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri wa Tanzania na DP World umejadiliwa sana na wananchi kuhusu changamot zote zilizopo kwenye mkataba huo.
Huku nje wengi wa wananchi ni waelewa sana wengine ni Maprofesa, PhDs na nakadhalika wameishauri Serikali uupitie tena mkataba huu kwa...
Akina Nshala na ushindi wa Pyrrhic
Ezekiel Kamwaga
Wakili Rugemeleza Nshala. Picha kwa hisani ya Katiba TV
Na Ezekiel Kamwaga
MARA nyingi huwa nafanya rejea kupitia maandishi ya hayati Profesa Samuel Huntington wa Marekani. Katika kitabu chake cha mwaka 1993, The Third Wave...
Kuna mjadala nimeukuta mahali watu wanahoji kwanini Mfanyabiashara Maarufu Mohamed Dewji maarufu MO na Mfanyabashiara Maarufu Gharib Mohamed Maarufu GSM ambao ndiyo wadau wakubwa wa bandari kuingiza mizigo nchini kwamba mbona hawajasema chochote kuhusu mjadala wa DP Wold kuhusu Bandari.
Mimi...
Wana Bodi,
Salaam, naomba kufahamu msimamo au Kauli au Tamko la Kamati Kuu ya CCM kuhusu mgogoro unaoendelea wa bandari, tunakumbuka mgogoro wa ufisadi mkubwa zaidi ya Trilioni 30 uliobanishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG ya mwaka 2021-2022 Kamati Kuu ya CCM Taifa...
"Na hivi ndivyo tunavyoweza kutambua wazi kati ya walio watoto wa Mungu na walio watoto wa shetani.
Mtu ye yote asiyetenda lililo haki si wa Mungu; wala asiyempenda ndugu yake si wa Mungu."
(1 Yohana 3:10)
KWANZA, Nimekubali kuwa ndugu hujuana vizuri wakati wa matatizo na migogoro.
Hata...
Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi, kati au umrefu.
Pia soma >
Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi...
bandari
dp world
kitila mkumbo
kukamilisha
kuondoa
kwenda
lawama
mali
mipango
mkumbo
ubinafsishaji
uuzwaji
uwaziri
watanganyika
wazanzibari
waziri
world
1. Madhumuni (vision) na malengo (objectives) mazuri ya Rais wetu, ambayo aliyatangaza wazi hadharani, yalikuwa ni kuifanya bandari ya DSM kuwa ya kiwango cha mwendo kasi, cha kisasa na cha viwango vya kimataifa (international standards) kama zilivyo bandari hususani zile za Singapore na Taiwan...
Ndugu zetu wana mama, tuhurumieni wanaume wenu japo mtubakizie hiyo bandari jamani!
Aina ya mateso, shuruba na mahangaiko tuyapatayo yote ni kwa ajili ya kuwasomesha wanenu ili waje wapate ujuzi na mbinu za kuendesha na kusimamia RASILIMALI zetu. Ya nini mnataka kuzitapanya RASILIMALI zetu wa...
Kwanza itambulike kwamba SIO KWELI kwamba Watanzania hatutaki wawekezaji kutoka nje wala hatutaki kubinafsisha mifumo yetu ya uendeshaji. La ubinafsishaji unaruhusiwa Tanzania ndo maana huko Nyamango, Kahama n.k kuna wawekezaji kutoka nje.
Lakini pia katika uwekezaji huo tulionao mfano huko...
Zanzibar hamuisikii ikiongelewa kwa kuwa yanayofanyika Zanziba sasa hivi ni tayari wapo hatua za utendaji. Mikataba imefikia hatua za kibiashara, siyo IGA tena.
Mikataba ya Kibiashara hatuwezi kuivujisha sisi lakini kwa kuwa wenyewe watendaji wamewachia, sasa hatuna "obligations" za " Non...
Moderators Kama mtaona inafaa tuwaache wanajamii forums ambao ndio platform kubwa kupitia zote hapa Tanzania members wake waamue Kama ndio au hapana ili kutoa sauti ya pamoja kwa jambi hili lililogawa taifa na kuzua maswali mengi bila majibu,
Tupige kura hapa kauona uungaaju mkono wa saula la...
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya itaanza kusikiliza maombi ya kupinga mkataba uwekezaji wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai kupitia Kampuni DP World baada ya kupokea majibu ya Serikali.
Katika maombi hayo ya kikatiba, waleta maombi wanaitaka Serikali kuieleza mahakama sababu za kile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.