bandari

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Rais Samia, mjadala wa Bandari umefungwa RASMI

    Wajumbe, Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji. Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

    Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee. Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya...
  3. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Ninaomba nijibiwe, Waziri Mbarawa anao uhalali wa kushiriki maamuzi yanayoihusu bandari? (Kisheria)

    Nimefuatilia mjadala ulioandaliwa na serikali leo. Msemaji mmoja mwenye mlengo wa kiserikali alisema na naomba nimnukuu "Kasomeni katiba masuala ya viwanda na uwekezaji sio miongoni mwa mambo ya muungano" mwisho wa kumnukuu. Kauli hii inaonyesha dhahili ilivyo ngumu kwa mmatumbi kutoka...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Inashangaza mpaka Mkurugenzi wa Bandari anasema tunafanya kwa hasara na bado Mbarawa yuko ofisini

    Mbowe ameyasema katika mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari akieleza juu ya Maazimio ya Kamati Kuu juu ya DP World kwamba, katika watu wanaoamini kuwa anatakiwa kujiuzulu ni Mbarawa. Na kusema inashangaza mpaka Mkurugenzi wa bandari anasema jamani sisi tunafanya hasara sana, na bado Mbarawa...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa: Tukipata muwekezaji mahiri bandarini, 67% ya bajeti itatoka bandari ya Dar na kuacha kutembeza bakuli

    Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar. Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hospitali ya Rufaa Shinyanga haina mochwari

    HOSPITALI mpya ya Rufani mkoani Shinyanga iliyopo Mwawaza Manispaa ya Shinyanga haina jengo la kuhifadhia Maiti, pamoja na kukabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari bingwa. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk. Yudas Ndugile amebainisha hayo jana kwenye ziara ya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu...
  7. CT0007

    JamiiForums Tanzania DP World walipatikanaje kama hatukuona tenda ikitangazwa?

    Kuhusu bandari mimi siungi mkono ubinafsishaji wake hata kidogo! Ibinafsishwe ili sisi tufanye nini? Kwani uendeshaji wake unagharimu nini ambacho hatukimudu kama nchi? Mbona ATCL inapewa ndege mpya na serikali na bado inapata hasara ila haibinafdishwi? Bandari inaingiza hasara gani mpaka...
  8. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Asilimia 90 ya watanzania tumeshagundua kwamba hawa viongozi wamehongwa kwa ajili ya bandari

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu,,, hapa nchini kwetu ukiwa mtu makini, mwenyekujitambua, mwenye uwezo wa kudhibiti mihemko, mwenye mawazo na akili iliyohuru bila kukontroliwa na mtu mungine ambae ataitumia akili yako kwa faida yake na familia yake huku akikuacha wewe ukidhalilika...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

    Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—. .
  10. U

    JamiiForums Tanzania Video: Dakika 31 za Askofu Benson Bagonza - KKKT - Dayosisi ya Karagwe akitoa maoni yake mkataba wa bandari zetu

    Kwa ujumla ujumbe wake ni "Rushwa ndani ya serikali ndiyo sababu ya kwanini tunalumbana kama taifa leo kwa sababu ya mkataba huu" Mtazame na kumsikiliza mwanzo mwisho kwenye video hii👇👇👇👇👇👇👇👇
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Wanaopinga mkataba wa bandari wana mdomo. Msiwasikilize wanaohubiri ubaguzi

    Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu, Huwezi kuwa unabisha kila...
  12. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Kwanini DPW Wameamua Kuchua Bandari za Tanzania, Kenya na Msumbiji kwa Wakati moja. Hii ndiyo sababu.....!!

    Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
  13. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

    Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa anazungumza na waandishi wa habari Muda huu kuhusu sakata la Bandari na uwekezaji wa DP World. === Kuna watu wanatumika kwa maslahi yao binafsi kumuondoa kwenye reli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye utendaji wake wa kazi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tumewasikia watu wote, nini hitimisho la mjadala wa Bandari?

    Mjadala wa Bandari umeteka mitandao yote iwe Instagramu, Jamii Forums, Youtube, Twitter, Facebook na mitandao mingine, pia mjadala mkali kwenye vijiwe vya kahawa, mitaani na maeneo mbalimbali yanayokutanisha watu kila mtu akiongea la kwake. Tumeshamsikia Waziri Profesa Mbarawa, Tumemsikia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mary Chatanda amtuhumu Mzee Joseph Butiku kuwa amehongwa kupinga mkataba wa Bandari

    Mjumbe wa kamati kuu ya CCM, Dk. Mary Chatanda amemshambulia vikali mwenyekiti wa taasisi ya Mwalimu Nyerere, mzee Joseph Butiku kwamba anajivunjia heshima na kudai amezungumza mambo ya ajabu katika kipindi cha dakika 45 na kumtuhumu kuwa sijui kahongwa kupinga mkataba wa bandari. Pia soma...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

    SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake. "Wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka...
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia aanza ziara ya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya faida za mkataba wa bandari

    SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wanaosema bandari imeuzwa wanavikosea heshima vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama

    Ni wazi kuwa mjadala kuhusu bandari ulianza vizuri na kuleta radha kwelikweli lakini ghafla uliharibika baada ya kuvamiwa na wanasiasa na watu ambao waliingiza hisia ambazo hazileti afya katika umoja wetu wa kitaifa. Ushiriki wa sector binafsi katika uzalishaji na utoaji huduma sio Jambo geni...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sakata la BANDARI ZETU na DPW linataka kuliingiza Taifa kwenye umwagaji wa damu!?

    Cancer inapojitokeza mguuni ujue ilishasambaa sehemu kubwa ya huo mguu .. Mtu anapoumwa malaria huo ni mchakato wa zaidi ya wiki tangu siku alipoumwa na umbu mwenye vimelea! Sakata la bandari zetu na Dpw sio la jana wala la juzi lina zaidi ya mwaka! Limekuja kuwa wazi baada ya hatua za...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Watanzania, huu ni wakati wa kufunga na kuliombea Taifa. Mkataba wa Bandari zetu ni mlango usiopendeza kwa haya yanayoendelea

    Amani iwe kwenu Watanzania Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeainisha wazi kwamba serikali haina dini na imeenda mbali zaidi kwa kutoa hakikisho lenye ulinzi wa Kikatiba wa Uhuru wa Kuabudu. Ingawa kiutekelezaji wake unahitaji ithibati ya serikali isiyojiingiza kwenye masuala ya...
Back
Top Bottom