MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,484
20,436
Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?

Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.

Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
 
Tatizo sio mkataba pekee wala maridhiano.

Tatizo wananchi hawana tena imani na viongozi wao hasa kiongozi mkuu wa nchi. Ikipigwa kura leo hii ya kutokuwa na imani naye, utakubaliana nami!

Mbaya zaidi wakongwe wengi wanaoaminiwa na wananchi wamekaa kimya.
 
Naunga mkono hoja
 
Unadhani Samia kaamua yeye kufanya hayo?

Hapo jamaa ashachukua 10% ya huo mkataba, katulia zake tuli.
 
Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?

Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.

Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
Akiongea mtaanza yeye ndo mshika remote. Akikaa kimya mnaleta maneno

Nchi hii tatizo la afya ya akili ni kubwa sana kwa kweli
 
Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?

Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.

Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
msimamo gani tena unauuliza usioujua.
 
Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?

Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.

Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
Ukumsikia Rostam Aziz majuzi?huo ndiyo msimamo wa Ufalme wa Msoga.
 
Tatizo sio mkataba pekee wala maridhiano.

Tatizo wananchi hawana tena imani na viongozi wao hasa kiongozi mkuu wa nchi. Ikipigwa kura leo hii ya kutokuwa na imani naye, utakubaliana nami!

Mbaya zaidi wakongwe wengi wanaoaminiwa na wananchi wamekaa kimya.
Acha kujidanganya. Samia hadi 2030 hilo halina mjadala utake usitake.
 
Back
Top Bottom