Wana Bodi,
Salaam, naomba kufahamu msimamo au Kauli au Tamko la Kamati Kuu ya CCM kuhusu mgogoro unaoendelea wa bandari, tunakumbuka mgogoro wa ufisadi mkubwa zaidi ya Trilioni 30 uliobanishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG ya mwaka 2021-2022 Kamati Kuu ya CCM Taifa ilitoa tamko kuhusu suala hilo.
Kwanini suala la Bandari hadi sasa Chama kilichopewa dhamana na wananchi kuongoza taifa kiko kimya kulikoni.
Lakini Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete kwanini yuko kimya suala hili, tunakumbuka Mwalimu Baba wa Taifa wakati wa utawala wa Mzee Mwinyi na Mkapa kulipotokea jambo lolote tete au gumu kwenye umma alikuwa akiitisha mkutano wa waandishi wa habari na kutoa mtazamo wake au uelekea kuhusu suala husika
Kwanini Mstaafu Kikwete yuko kimya kwenye suala hili ambalo ukilitazama ni kama litafikia mwisho mbaya, tunaona maoni ya wananchi wengi kwenye vijiwe vya kahawa, kwenye madaladala, kwenye mastendi, kwenye mabaa, makazini na hata kwenye nyumba za ibada na kwenye mitandao ndio usimeme na wengine waliitisha maandamano na wengine wakachukua njia ya kwenda mahakamani ili kutafuta hatma ya suala hili.
Chama cha Mapinduzi kina wajibu wa kuitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa kutoa msimamo kuhusu suala hili la Bandari.