bandari

  1. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wananchi wajitokeza kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari

    Wananchi wamejitokeza katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari iliyofunguliwa na wanasheria Boniface Mwabukusi na mwenzake Philip Mwakilima, wakisema mkataba huo hauna maslahi kwa Taifa na haujashirikisha maoni ya Watanzania ili...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Bandari: Ni Wakati sahihi sasa Watanzania wa hali zote kuwekeza kwenye Bandari yao ili kuleta Mantiki kwenye umiliki wao

    Kinadharia, rasilimali za Tanzania, ikiwemo bandari, ni mali ya wananchi (umma) wa Tanzania. Kiuhalisia, mwenye maamuzi ya kuhusu lolote linaloweza kufanyika kwenye bandari ni Rais wa JMT. Kutokana na huu mjadala unaoendelea sasa, pengine ni wakati muafaka Watanzania wakaanza kuwekeza kidogo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Bunge la Amerika lilivyomzuia Rais wao kuridhia DP World kuendesha shughuli za bandari zao

    Mwaka 2006 DP World ya Dubai ilinunua kandarasi ya kuendesha shughuli za Bandari sita za Marekani. Wabunge wa chama tawala na upinzani kwa pamoja waliopinga DPW kupewa kazi hiyo. Wananchi nao walipinga 3:1 katika kura za maoni. Bunge likapitisha muswada wa Sheria kuzuia kampuni za kigeni...
  4. B

    JamiiForums Tanzania LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

    Hoja hupingwa kwa hoja: Bandari zote bara zimeuzwa! Kama ni kwa manufaa yetu, kwa nini siyo za Zenji?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kwa Rais Samia: Namna ya Kulimaliza Suala la Bandari kisiasa

    Mimi nikiwa Kada wa dhati wa CCM namshauri Mheshimiwa Rais afanye mambo yafuatayo kulimaliza jambo hili kisiasa; 1. Awatumbue Mhe.Waziri wa Ujenzi,Katibu Mkuu wa Ujenzi,Mkurugenzi wa TPA na wengine wote waliohusika kumshauri vibaya kuhusiana na jambo hili. 2. Ahutubie Taifa akieleza jinsi...
  6. mambio

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji bandari. Mwenye masikio na asikie

    Kumbe kunawaliojaribu kuishauri serikali. Mambo ni mengi muda mchache. Kula chuma hichoo!
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia ameuza bandari zetu zote zilizopo na zitakazokuwepo

    MKUTANO WA TUNDU LISSU, MBOPO, KAWE. "Samia ameuza bandari zote zilizopo na zitakazokuwepo, ametukosea sana" "Nimeshuhudia vitu vingi vya hovyo lakini sijawahi kushuhudia, mkataba wa hovyo kama huu, sijui huyu Mama anashauriwa na nani" "Mkataba huu haurekebishiki, ni wa kuufuta tu hakuna...
  8. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Video | Serikali ya Djibouti yavunja mkataba na DP World kuhusu uendeshaji wa bandari ya Doraleh

    Muhtsari Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba Serikali ya Djibouti...
  9. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Wapambe siku zijazo: Rais Samia ni jembe ameukataa mkataba wa bandari

    NAPE: "Tukiwaambia Rais yupo kwa ajili ya maslahi ya umma muwe mnaelewa. Rasmi amekaa upande wa Wananchi na ameamrisha huo mkataba usimamishwe kwanza. Samia, oyeee!" GERSON MSIGWA: "Niliwaambia tokea mwanzo Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan ni msikivu na katika hili nalo kawasikia Wananchi...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Bandari yetu imegeuka proganda ya kisiasa ,na itaondoka na wengi

    Nimefuatilia kwa takribani wiki ya tatu Sasa na nimeona jinsi ambavyo swala Hili nyeti la bandari litakavyoondoka na wengi na vingi pia...kwa Sasa tayari swala la katiba mpya limesahaulika...tume huru ya uchaguzi haizingumzwi Tena . Wanasiasa wote wamehamishia vita Yao bandarini ...mahusiano ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Tanzania ilikopa fedha World Bank kuendeleza bandari, DP World anakuja kutumia fedha hizo kufanya kazi ambayo Tanzania imeikopea fedha WB-SOMA

    Hii ni kutoka report ya Worl Bank .................................BY MARIA SARUNGI Muhimu kuhusu DPW na mradi wa Benki ya Dunia Pesa za mkopo wa @WorldBankAfrica zimetumika (na kukamilika) 👉🏽 kupanua na kuimarisha Gati 1-7 na kujenga gati mpya Gerezani 👉🏽kupanua mlango wa bandari hadi Gati...
  12. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Ogopa Teknolojia: Nimeweka mkataba wa bandari kwenye Chat-GPT, Imejibu kwamba bandari zitakuwa za DP World Milele!

    Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia), Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika wa bunge Tulia Ackson na msemaji Gerson Msigwa... Upande wa pili ndio hawa wanaofanya ishu itrend...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bandari haziwezi kuendeshwa kimuungano

    Akijibu maswali ya wadau kuhusu suala la Bandari kuwa la Muungano lakini mkataba wa DPW ni wa Tanzania Bara, msemaji wa TASAC amesema suala la bandari haliwezi kuendeshwa kimuungano imeshashindikana Akijibu swali kwenye Clubhouse amesema, suala Zanzibar haihitaji uwekezaji kwa wakati huu kwa...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu zote hizi tuangalie tulipojikwaa ili tusonge mbele kuokoa taifa letu.

    si kila mtu anaweza kuwa kiongozi, na wote hatuwezi kuwa viongozi lakini kiongozi mzuri ni yule mwenye haiba ya (stewarship) kutunza rasilimali za watu wake, lakini pia kukubali kukosolewa na kuwa tayari kutumia karama za wengine na kuchanganya na zake ili aweze kusaidia watu anaowaongoza...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CCM, kwa mtaji wa ukakasi wa suala la Bandari, kaeni mguu sawa kung'olewa!

    Suala la Bandari linajadiliwa kwa marefu na mapana kila kona ya nchi. Maandamano ya vyama vya upinzani yameshaanza mikoani kupinga suala zima la ubinafsishaji/uuzwaji/ukodishaji, au hata kuigawa bure Bandari yetu na nyingine Tanzania. Tukubali tusikubali, serikali ya CCM imeingia mkenge mkubwa...
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Manara amepotosha, Bandari ya Dar ilikuwepo siku zote, Mreno na Muarabu wameikuta

    Kuna upotoshaji mkubwa umefanywa na Manara ukishabikiwa na madalali wa kugawa bandari zetu kwa muarabu. Kuweka kumbukumbu za kihistoria sawa hapa JF nitaweka ufafanuzi kumjibu Manara. 1. Bandari ya Dar imekuwepo karne nyingi sana kabla ya wavamizi wageni kutoka sehemu mbali mbali duniani kuja...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kukosa credibility kwa tuliokuwa tunawapa kusimamia bandari yetu destiny yake ndio haya DP

    Kwa muda mrefu watanzania wachache walio pewa dhamana ya kuisimamia bandari yetu kuu ya Dar es salaam walikula bila kunawa, mizigo ya watu ilipotea, enzi za uwaziri wa mwakyembe kontena nzima ya vitenge ilidhibitika kupotea kontena ya mama kutoka zambia, waziri alitoa masaa kontena ikapatikana...
  18. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wetu wauchunguze huu Mkataba wa Bandari. Kama Mkataba ni too generuos for DP World,wafanye marekebisho.

    Halafu tutaumaliza huu ubishi. Kwa sababu ubishi sasa hivi ni whether Rais anapaswa kujiuzulu au Mkataba unahitaji marekebisho kidogo. Mi nadhani Mkataba unahitaji slight alterations,halafu wananchi watakuwa appeased. Hasa huo muda mrefu wa Mkataba ni tatizo kubwa kwa wengi.
  19. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tusiingize udini, suala la bandari ni urithi wa Watanzania

    TUSIINGIZE UDINI, SUALA LA BANDARI NI URITHI WA WATANZANIA Watu wanakuja na hoja za Uarabu, Uislamu na Ukristo hizi ni hoja binafsi na sisi Watanzania hatuna hizi kasumba za udini wala ukabila, ni vijihoja vinavyotaka kututoa kwenye reli tuache kudai mkataba wenye tija kwa Watanzania, hizi hoja...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

    Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Back
Top Bottom