bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto, Ludovic Utouh, Kipanya, Rosemary Mwakitwange, Aidan Eyakuze katika Mjadala wa Uwajibikaji na Bajeti ya 2023/24

    Leo Juni 19, 2023, Taasisi ya The Chanzo imeandaa tukio lilipewa jina la #TheChanzoSpecials, ambapo kunatarajiwa kuwa na mijadala mbalimbali itakayowakutanisha Wadau tofautitofauti. Tukio hili linalenga kujadili masuala matatu muhimu, kwanza tufanye nini ili kujenga tamaduni ya uwajibikaji...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Bajeti za Nchi za Afrika Mashariki Zinatupa Picha Gani

    Juni 15, 2023 ilikuwa siku ya bajeti kwa nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo nchi za Tanzania, Kenya, Uganda , Rwanda, Burundi, DRC na Sudan Kusini ziliwasilisha makadirio ya bajeti zao kwa mwaka wa fedha 2023/24 Tanzania Katika bajeti yake, Tanzania imezingatia kuwekeza zaidi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Bajeti haijajibu changamoto za watu

    ACT Wazalendo wamefanya uchambuzi wa Bajeti Kuu iliyosomwa siku ya Alhamisi June 15, 2023, uchambuzi uliowasilishwa na Msemaji wa Sekta ya Fedha na Uchumi ACT Wazalendo Esther Thomas na Naibu wake Juma Hamad jana tarehe Juni 17, 2023. Wakati akihitimisha zoezi hilo Zitto Kabwe alisema hayo ndio...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bajeti za Afrika Mashariki

    East African Community (EAC) countries expect overall national government spending to rise in the upcoming financial year (July 1 to June 30). https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/business/eac-finance-ministers-table-2023-24-budgets-4272350
  5. Ileje

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya mchakato wa katiba mpya iko wapi?

    Nimefuatilia hotuba yako ya bajeti ya 2023/24 lakini sikumbuki kusikia bajeti kwa ajili ya mchakato wa katiba mpya, je mchakato huo utafanyika kwa kutumia kifungu gani cha fedha? Wananchi wanasubiri kwa hamu kubwa kuanza kwa mchakato huo ili hatimaye tupate katiba ya wananchi.
  6. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Bajeti yangu ya mwisho ya Tanganyika

  7. J

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya Wadau wa Twitter Spaces ya JamiiForums kuhusu Bajeti Kuu ya Serikali iliyosomwa 15/06/2023

    Bajeti Kuu ya Serikali 2023/2024 imesomwa leo Juni 15, 2023. Baada ya tukio hili tutakuwa na Mjadala Maalumu kujadili iwapo Bajeti hiyo inagusa mahitaji na hali halisi ya maisha ikilinganishwa na Bajeti ya 2022/23 Usikose kujiunga nasi katika Mjadala huu pamoja na Wataalamu wa Uchumi, Juni 16...
  8. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Bajeti Uganda: Jumla ya Bajeti ni zaidi ya Tsh Trillion 36. Trillion 10 kulipa madeni chechefu

    Wagwan. Nchi karibia zote za Afrika Mashariki zinasoma bajeti zake kwa mwaka wa fedha unaonza Julai 1, 2023. Katika bajeti ya Serikali ya Uganda iliyosomwa leo, serikali imekusudia kutumia zaidi ya Trillion 57 za Uganda ambazo ni sawa na zaidi ya Trillion 36 za Tanzania. Zuri lililonivutia...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Bajeti yapendekeza kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege, injini...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Bajeti yapendekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 20% kwenye mashine za Kamari

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 20% kwenye mashine za Kamari zinazoingizwa...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mambo tarajiwa bajeti ya serikali mwaka wa fedha 2023/24

    Serikali inasoma baieti vake ya mwaka wa fedha 2023/2024 leo. Bajeti hivo ni ya majumuisho itaonyesha makadirio ya jumla ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha ujao. Majumuisho yanatokana bajeti za kisekta ambazo kwa kiasi kikubwa ndiyo zinabeba mipan-go inayotaraiiwa kutekelezwa na Serikali...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24 kugharimu Tsh. Trilioni 44.39

    Fuatilia Mjadala wa Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24, leo Juni 15, 2023 itakayosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Hivi Bajeti ya kukarabati viwanja vitano vya michezo tuliyopewa kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 22/23 iliishia wapi?

    Salaam ndugu zangu, Katika bajeti ya Wizara ya Michezo mwaka jana walieleza kuwapo kwa mpango wa kuboresha viwanja vikubwa vitano vya michezo kwa kuviwekea nyasi bandia. Soma: Dkt. Mwigulu Nchemba: Viwanja vitano vya michezo vitawekwa nyasi bandia Jambo hili limeishia wapi? Au ndiyo mambo ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kwanini isitoe elimu kwa Watanzania wote kabla ya kuingia kwenye hii Mikataba?

    Jamani nina swali ambalo nadhani hata wabunge wetu wangejiuliza kabla ya kupitisha hili jambo. Na wasiangalie wao wanaishi sasa waangalie na watoto na wajukuu wajao wataishi vipi huko baadae. Maswali: (1) Kama kila siku tunaambiwa tunategemea sana mapato ya bandari. Sasa kama bandari inapigwa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi pesa za magoli ya Simba na Yanga zilipitishwa kwenye bajeti ipi?

    Je, tuseme Tanzania tuna pesa nyingi ambazo hazina matumizi yoyote ?
  16. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Bunge la bajeti kuisha Kuna jambo litatokea

    Wenye macho wameona na wenye kuzijuwa Siri wamezielewa ila some thing will happen after bunge la budget kuisha. Stay tune. Uzi umeisha. Code nimetupia baharini. Jogoo kashawika. Moderator ikifika mwez wa nane uzii huu ufutwe kama hakuna jambo litatokea. Pointe to remember Aug2023 Mabadiliko ya...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuna haja kuwa na Ofisi ya Maadili ya Viongozi wa Umma?

    Suala la maadili ya viongozi limekuwa ni changamoto. Uwepo wa ofisi ya maadili ya viongozi wa umma ni jambo linalopaswa kuendana na nidhamu za viongozi kiutendaji na kimaadili. Ripoti za CAG nyingi zilizopita zomeonesha ukiukwaji mkubwa wa uadilifu wa viongozi katika ngazi husika. Imeonekana...
  18. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania SoC03 Bajeti za posho na mashangingi, kodi za vocha zitumike kuwezesha wahitimu wa vyuo na nguvu kazi wasio na ajira

    Ujuzi na uzoefu vimekuwa kikwazo kwa vijana (hasa wahitimu wa vyuo) kuajiriwa.Japo kuna mikakati ya kuwakomboa kiuchumi kupitia uwekezaji na miradi ya maendeleo. Bado ajira zinazozalishwa hazikidhi mahitaji ya soko la ajira nchini. Hivyo kupelekea wengi wao kuwa wazururaji mitaani. Serikali...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini bajeti ya Waziri Mchengerwa haina kelele za rushwa kama wizara ya Makamba?

    Bajeti ya Waziri Mohamed Mchengerwa imewasilishwa bungeni leo hadi sasa hakuna kelele zozote za rushwa kwa wabunge kama ilivyokuwa kwa wizara ya nishati. Heko wizara ya maliasili kwa kuendesha mambo yenu kwa uwazi na kuacha wabunge waichambue bajeti yenu kwa manufaa ya watanzania sio wenzenu wa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini wabunge wengi wamesusia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati? Wengi hawapo

    Naangalia Bunge lipo tupu. Viti vingi havina watu. Hadi wabunge wameomba iangaliwe akidi kama imetimia. Spika kadai linafanyiwa kazi.
Back
Top Bottom