Bajeti Uganda: Jumla ya Bajeti ni zaidi ya Tsh Trillion 36. Trillion 10 kulipa madeni chechefu

Dr Restart

JF-Expert Member
Jul 15, 2021
3,293
17,133
Wagwan.

Nchi karibia zote za Afrika Mashariki zinasoma bajeti zake kwa mwaka wa fedha unaonza Julai 1, 2023.

Katika bajeti ya Serikali ya Uganda iliyosomwa leo, serikali imekusudia kutumia zaidi ya Trillion 57 za Uganda ambazo ni sawa na zaidi ya Trillion 36 za Tanzania.

Zuri lililonivutia zaidi ni kuwa zaidi ya Trillion 17 za Uganda, sawa na zaidi ya Tsh Billion 10 zitatumika kulipia madeni chochefu. Madeni yanayolazimisha nchi ya Uganda kufata matakwa ya Wamagharibi.

Mh Rais wa Uganda, Comrade Yoweri Museven ametanabaisha kuwa nchi inapaswa kukopa kwa nidhamu ama isikope kabisa.

Ikumbukwe kuwa hivi majuzi, nchi ya Uganda ilitunga sheria zinazokataza mapenzi ya jinsia moja. Na wote watakaobainika kukiona kwa adhabu kali sana.

Mikopo mingi ina masharti ya kuunga mkono mapenzi hayo ambayo ni chukizo kwa Mungu.

Serikali ya JMT, inaongeza juhudi katika kukopa na kukubaliana na wahisani.

Mungu ibariki Uganda.
 
Mbona hata Tanzania kulipa madeni ni Trilion 10
Trillion 10 ndani ya Bajeti ya kiasi gani?

Katika bajeti nzima ya Uganda, asilimia 27.7 ndiyo itatumika.

Hiyo si ishu sana, commitment ya kutokopa kabisa ama kukopa nidhamu.

Mwigulu na Samia kila siku wanajivuna hadharani kuwa wataendelea kukopa.
 
Trillion 10 ndani ya Bajeti ya kiasi gani?

Katika bajeti nzima ya Uganda, asilimia 27.7 ndiyo itatumika.

Hiyo si ishu sana, commitment ya kutokopa kabisa ama kukopa nidhamu.

Mwigulu na Samia kila siku wanajivuna hadharani kuwa wataendelea kukopa.
Wanakopa Tril 12 wanalipa Tril 10 ndo maana deni halishuki
 
Back
Top Bottom