Bajeti za Afrika Mashariki

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Clipboard01.jpg

East African Community (EAC) countries expect overall national government spending to rise in the upcoming financial year (July 1 to June 30).
 
Burundi na Congo nao?. Au wao sio East Africa? Halafu hio ya Tanzania ni ya Tanganyika. Zanzibar wana yao😂
 
View attachment 2660047

East African Community (EAC) countries expect overall national government spending to rise in the upcoming financial year (July 1 to June 30).
Enzi za Raisi Uhuru Kenya ndio mlikua na Budget kubwa yani ilikua unajumlisha ya Tz ug na Rwanda na chenchi inabaki...nashangaa sahivi gape lina zidi kupungua ,iyo Budget ya Tz miaka mitatu mbele itakua imshawakaribia kabisa

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Tuta... huu wimbo duh...
 
View attachment 2660047

East African Community (EAC) countries expect overall national government spending to rise in the upcoming financial year (July 1 to June 30).

Huge tentative budget kwa ground Nothing to show, a typical cundustan madness . Hapo dola bilioni ngapi zinatakiwa kutoka Jamhuri ya Uchina?
 
Eti bandari imefanyaje sheikh...
 
Tunajadili bajeti yenu hewa unahamia kwenye bandari

Halafu sikujua udini umekolea kiasi hicho, yaani unamskliza mlalahoi anavyojadili hoja na kukubali bandari ichukuliwe kisa ameshikiliwa akili kidini.
 
Back
Top Bottom