Jamani naomba kuuliza, hivi katika bajeti ya Wizara ya Fedha, kuna kodi imeongezwa kwenye pombe/ bia etc? Maana leo kuna bar wamepandisha bei, wengine hapana. Nini hasa katika hili?
Please Serikali hii kitu ndio ondoa stress, iacheni kwa bei affordable, la sivyo tutakufa mapema muishie kutawala...
Bajeti imeingilia maisha ya watu ambayo tayari ni magumu kuwahi kutokea katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita.
Bajeti imeweka kodi katika bidhaa ambazo bei zake ni kero kubwa kwa wananchi kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru;
1. Kupandisha kodi ya mafuta kwa hali ya mafuta ilivyo sasa ni...
Bunge la Bajeti limekwisha leo tuweke orodha na mawaziri na wabunge walifanya vizuri Bunge hili.
Mawaziri
1. Juma Aweso
2. Innocent Bashungwa
3. Angela Kairuki
4. Kapteni Mkuchika
UPANDE wa Wabunge
1. Tabasamu
2. Msukuma
3. Kingu
4. Mnyeti
5. Prof. Mkumbo
Wengine tuendelee.
Nina laptop yangu ni core i5 - 7th gen, Ram ni 8 gb - ddr4, storage ni 1 TB - Hdd.
laptop yangu ina vyumba viwili vya ram, chumba kimoja kwa sasa hakifanyi kazi kwahio natumia ram moja tu yenye 8GB, zamani zilikuwa nafasi mbili jumla ya ram ilikuwa 16 gb.
nimeona speed ya pc imepungua si kama...
Licha ya wabunge na wadau kwa wiki nzima kubainisha maumivu yanayoweza kujitokeza kutokana na nyongeza ya ushuru na tozo kwenye bidhaa muhimu, Serikali imetetea tozo hizo na bunge kuamua ziendelee.
Bidhaa ambazo zitakumbana na kodi hizo ni petroli, dizeli, saruji, mafuta ya kula, ngano na...
Nimeshangaa sana kuona viongozi bila ata chembe ya aibu wanaudanganya umma, bajeti ya klabu kwa mwaka 2023/2024 imepitishwa kwenye mkutano mkuu ni bilioni 13, lakini maajabu ya musa yanajitokeza leo bwana CEO kajula anawadanganya wabunge eti bajeti wametenga bilioni 24!!!??? Baada ya yanga...
Hii bajeti ya kwanza kupitishwa bungeni na jamii nzima kukaa kimya bila kuiweka kwenye agenda ya siku
Miaka yote tumezoea siku kama ya leo kunakua na mijadala mizito ya kada mbalimbali lakini mwaka huu hali imekuwa tofauti. Hali hii siyo nzuri kwa mustakabali wa kesho wa nchi yetu. Yawezekana...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UCHAMBUZI WA BAJETI KUU YA SERIKALI YA MWAKA 2023/2024 ULIOFANYWA NA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA, MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) DODOMA TAREHE 25 JUNI 2023
1. UTANGULIZI
Ndugu Waandishi wa Habari, nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutujalia afya njema...
UWAJIBIKAJI KATIKA BAJETI YA NCHI NA KATIKA WIZARA .
UTANGULIZI
Uwajibikaji ni wajibu wa kutekeleza majukumu yako na kuhusika katika hatua na maamuzi unayofanya. Ni hali ya kuwajibika kwa matendo yako, matokeo ya vitendo vyako, na athari zake kwa wengine. Uwajibikaji unahusisha kuchukua...
MHE. JAFARI WAMBURA AISHAURI SERIKALI KUTENGA FEDHA ZA KUTOSHA KWAAJILI YA TUME YA TAIFA YA MATUMIZI BORA YA ARDHI NCHINI
Mbunge wa Jimbo la Rorya Mhe. Jafari Chege Wambura tarehe 22 Juni 2023 amechangia hotuba ya Bajeti ya Serikali Kuu kwa mwaka 2023-2024 bungeni jijini Dodoma
"Namshukuru...
Nimemsikia bungeni Mbunge Subira Mgalu akimshambulia ndani ya Bunge, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka kuwa anapotosha umma kuhusu suala la DP World wakati akichangia Bajeti Kuu ya Serikali.
Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Subira Mgalu alikosea kumzunguzia Prof Tibaijuka au kuzungumzia suala la...
Uwasilishwaji wa bajeti ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2023/2024 umesababisha hisia tofauti miongoni mwa sekta mbalimbali za uchumi. Ingawa bajeti hiyo inajumuisha hatua kadhaa zinazolenga kukuza uchumi na uwekezaji, pia kuna mambo ambayo yana haja ya uchunguzi na uhakiki zaidi.
Moja ya maeneo...
MHDANIEL SILLO - TAARIFA YA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MWAKA WA FEDHA 2023-2024
Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge Mhe. Daniel Barani Sillo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini akiwasilisha taarifa ya bajeti kuhusu hali ya Uchumi kwa mwaka 2022; Mpango wa maendeleo ya Taifa kwa...
Leo Juni 19, 2023, Taasisi ya The Chanzo imeandaa tukio lilipewa jina la #TheChanzoSpecials, ambapo kunatarajiwa kuwa na mijadala mbalimbali itakayowakutanisha Wadau tofautitofauti.
Tukio hili linalenga kujadili masuala matatu muhimu, kwanza tufanye nini ili kujenga tamaduni ya uwajibikaji...
Juni 15, 2023 ilikuwa siku ya bajeti kwa nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki ambapo nchi za Tanzania, Kenya, Uganda , Rwanda, Burundi, DRC na Sudan Kusini ziliwasilisha makadirio ya bajeti zao kwa mwaka wa fedha 2023/24
Tanzania
Katika bajeti yake, Tanzania imezingatia kuwekeza zaidi...
ACT Wazalendo wamefanya uchambuzi wa Bajeti Kuu iliyosomwa siku ya Alhamisi June 15, 2023, uchambuzi uliowasilishwa na Msemaji wa Sekta ya Fedha na Uchumi ACT Wazalendo Esther Thomas na Naibu wake Juma Hamad jana tarehe Juni 17, 2023.
Wakati akihitimisha zoezi hilo Zitto Kabwe alisema hayo ndio...
East African Community (EAC) countries expect overall national government spending to rise in the upcoming financial year (July 1 to June 30).
https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/news/business/eac-finance-ministers-table-2023-24-budgets-4272350
Nimefuatilia hotuba yako ya bajeti ya 2023/24 lakini sikumbuki kusikia bajeti kwa ajili ya mchakato wa katiba mpya, je mchakato huo utafanyika kwa kutumia kifungu gani cha fedha?
Wananchi wanasubiri kwa hamu kubwa kuanza kwa mchakato huo ili hatimaye tupate katiba ya wananchi.
Bajeti Kuu ya Serikali 2023/2024 imesomwa leo Juni 15, 2023. Baada ya tukio hili tutakuwa na Mjadala Maalumu kujadili iwapo Bajeti hiyo inagusa mahitaji na hali halisi ya maisha ikilinganishwa na Bajeti ya 2022/23
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala huu pamoja na Wataalamu wa Uchumi, Juni 16...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.