baharini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Felix Mwakyembe

    JamiiForums Tanzania Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini (Sehemu ya Kwanza)

    Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini Miongoni mwa ajenda kuu kwenye Mkutano wa 28 wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi (COP 28) pale Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu, ilikuwa nishati safi. Mkutano wa mwaka huu ulioanza Novemba 30, ulihitimishwa siku ya Jumanne...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tukivujishiwa video za wale waliokuwa wanaokotwa kwenye mifuko ya Sandarusi baharini hali itakuwaje?

    Kwa Uzi huu haina maana kwamba naunga Mkono Hamas, bali najaribu kuoanisha reaction ya Watanzania juu ya kutekwa na kuuawa kwa Mtanzania huko Israel na mamia ya watanzania waliookotwa Baharini na kusingiziwa kuwa Wahamiaji haramu. Sipati picha ikiwa video za Wahanga wale tangu walipodakwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Meli ya kivita ya USA yafukuzwa baharini na jeshi maji la Iran

    Jeshi la wanamaji la Irani limeiamuru meli ya kivita ya Marekani iliyobeba ndege za kivita zaidi ya 20 iondoke karibu na eneo la bahari la Iran na pia ishushe chini helcopter yake ya kivita ambayo ilikua ikifanya doria baharini. Baada ya ubishi kidogo,wakatii amri. Tazama tukio Zima la...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mbona watu hawatafuti madini baharini

    Pembezoni mwa mito naona watu wanachimba Vito wanachimba mchanga na kuusafisha hii inamaanisha kwamba madini mengi yanapita kupitia mito na mito inaelekea baharini si maanake baharini Kuna vipande vingi vya madini Sasa mbona hawachimbi mchanga uliolala kwenye sakafu za baharini je technology ya...
  5. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Meli za Mazayuni zimelipuliwa baharini (video clip)

    Wayemeni walisema hawataki kabisa meli za mazayuni ikatize kwenye sehemu wanazozifikia, yaani wasizione kabisa kwenye bahari yao au ya karibu yao, mpaka wawache kabisa kuwauwa na kuwatesa Wapalestina bila ya sababu yoyote. Baada ya kuiteka meli moja wiki iliyopita sasa wameripua nyingine tatu...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Israel kutumia mbinu za Misri, Kujaza maji ya Baharini kwenye mashimo yote walimojificha Hamas

    Mkakati uliopo baada ya kukoswa njia mbadala ya kuwafumua mashimoni Hamas, IDF wamekuja na mkakayi wa kupump maji ya baharini kwenye mahandaki na tunnels za hamas huko gaza. Njia hii iliwahi kutumiwa na Misri huko sinai kwa haohao Hamas. Walikuwa na mahandaki wakipitisha magendo ya silaha na...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Japan kumwaga maji taka ya nyukilia baharini kwasababisha hasira kubwa ya jamii ya kimataifa

    Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan imetangaza kuwa imemaliza awamu ya kwanza ya kumwaga maji taka ya nyuklia baharini, na awamu ya pili inatarajiwa kuanza hivi karibuni. Tangu Japan ilipoanza kumwaga maji taka ya nyukilia baharini, kitendo hiki kimesababisha hasira kubwa ya jamii ya kimataifa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania China yasema vizuizi vya kuagiza vyakula vya baharini kutoka Japan ni muhimu na vya haki

    Hivi karibuni, Japan ilianza kumwaga maji taka ya nyuklia baharini kutokea kituo cha nyuklia cha Fukushima. Hatua hii ya Japan imelalamikiwa sana na Wajapan wenyewe pamoja na jamii ya kimataifa, lakini serikali ya Japan imeamua kuziba masikio na kuendelea na kitendo hicho ambacho ni hatari si tu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Visiwa na nchi zinazopakana na bahari zaingiwa na taharuki baada ya Japan kumwaga majitaka yenye sumu ya nyuklia baharini

    Hivi majuzi Japan ilianza kuyaachilia maji taka yanayotoka kwenye kituo cha nyuklia cha Fukushima na kuyamwaga kwenye baharini ya Pasifiki, licha ya kwamba nchi zake nyingi jirani zilionesha wasiwasi mkubwa juu ya hatua hii, na hata kupinga kitendo hicho. Japan inadai kwamba eti maji haya...
  10. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Yona alitoswa baharini; je, sisi tunashindwa nini?

    Ndugu zangu kwa namna ambavyo mambo yana kwenda kwenye huu mjadala wa hili dubwana dp, Niukweli usiyo pingika kuwa mbele yetu kuna tufani kubwa Dalili za mvua ni mawingu na panapofuka Moshi ujuwe chini kuna moto, katika jambo hili kuna watu waliojaliwa kuona mbali na wakayaona haya kuwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Katika laini za simu Milioni 61 zilizopo nchini, ni milioni 33 pekee ndizo hutumia Internet

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Hafla ya Uzinduzi wa Mkongo wa Mawasiliano wa Baharini (Submarine Cable) wa 2 Afrika na Teknolojia ya Mawasiliano ya Kasi ya 5G ya Airtel tarehe 10 Agosti, 2023 Mbezi Beach Tanki Bovu - Kituo cha 5G ya Airtel...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha Kenya, Mama ajirusha baharini na mtoto

    Ugumu wa maisha Kenya, mwanamke ajirusha kutoka kwenye ferry baharini akiwa na mtoto!!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Japan yapuuza maslahi ya nchi nyingine kwa mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyuklia baharini

    Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan hivi karibuni imeanza kazi ya majaribio ya mitambo ya kupeleka maji machafu ya nyuklia baharini. Baada ya kumalizika kwa majaribio hayo, Japan inatarajia kuanza rasmi mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyukilia kwenye bahari ya Pasifiki. Mwaka 2011...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Boti yenye watalii yawaka moto Baharini

    Waokoaji Nchini Misri wanawatafuta Watalii watatu wa Uingereza ambao hawajulikani walipo baada ya moto kuzuka kwenye Boti waliyokuwa wakisafiria baharini nchini Misri jana Jumapili. Vyombo vya habari vya Misri vimesema Boti hiyo ya Watalii ilikuwa imebeba jumla ya Watu 27 huku miongoni mwao ni...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Bora ushamba siwezi kumla papa mzima na nyama yake, hata wakati wa kuvua baharini simgeuzi

    Hello Hello JF katika maisha yangu naogopa kumla papa na nyama yake na ikitokea nikienda kuvua baharini simgeuzi naacha nyavu iamue naogopa sana, wengine kazi ya uvuvi hatujazoea. Papa tumpe Uhuru wake hasa mabawa yake yaendelee kubaki intact pasipo choko choko za wavuvi. Karibuni wavuvi...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Watu 34 wapotelea baharini wakivuka kwenda Ulaya

    Waliopotea ni wahamiaji kutoka Afrika ikidaiwa boti yao iliyokuwa ikitokea Tunisia kuzama baharini ikiwa ni ajali ya tano ya boti ndani ya siku mbili, watu saba wakithibitika kupoteza maisha na wengine 67 hawajulikani walipo. Mamlaka zinaamini boti hiyo ilikuwa inaelekea Italia, wakati huohuo...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Italia: Wahamiaji 59 wafariki baada ya boti kuzama baharini

    Watoto 12 ni miongoni mwa waliopoteza maisha katika ajali hiyo huku watu wengine kadhaa wakiwa hawajulikani walipo ikiaminika ilibeba zaidi ya abiria 150. Watu 80 wamesalimika na baadhi yao wanasema meli ilikuwa inakaribia Pwani ya Crotone eneo la Calabria. Meli hiyo iliyotengenezwa kwa mbao...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ijue bahari: Baharini kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa ya kutosha kuchana mbao kama utazamia

    Ngoja tuambizane ukweli kuhusu bahari! Kuna wakati unaweza hisi umejifunza yote! Kumbe unachokijua hapa duniani hakifikii hata theruthi ya theruthi ya maajabu ambayo huyajui hapa duniani! Hata mengine ukisimuliwa unaweza fikilia ni chai! Ukweli ni kwamba kila kitu Mungu kakibalansi! Ukibeba...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Bora tukose umeme na Maji kuliko watu kupotea na kuokotwa kwenye Viroba baharini Coco Beach

    Salaam Wakuu, Nape Nnauye aliwahi kusema "Bahari imetulia, Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi". Kuna utawala uligubikwa na Sintofahamu ya Watu kupotea, kufa, kubambikiziwa kesi. Utawala uliteneza kundi la watu wasiojulikana ambao kazi yao ilikuwa kumshughulikia yoyote atakayekuwa na Mawazo mbadala...
  20. W

    JamiiForums Tanzania TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa, yadondosha makontena baharini

    TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa * Yadondosha makontena matatu baharini * Meli zashindwa kushusha mafuta bandarini kwa siku kadhaa KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imeisababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha...
Back
Top Bottom