Ijue bahari: Baharini kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa ya kutosha kuchana mbao kama utazamia

Samico Tanzania

JF-Expert Member
Feb 6, 2022
276
792
Ngoja tuambizane ukweli kuhusu bahari!

Kuna wakati unaweza hisi umejifunza yote! Kumbe unachokijua hapa duniani hakifikii hata theruthi ya theruthi ya maajabu ambayo huyajui hapa duniani!

Hata mengine ukisimuliwa unaweza fikilia ni chai!

Ukweli ni kwamba kila kitu Mungu kakibalansi!
Ukibeba ndoo ya maji nusu kichwani utaona vile yanavyocheza (yumba yumba) mithili ya kumwagika!

Lakini ukikata tawi la mti ukalitupa kwenye ndoo ya maji hayo mara moja yanatulia (hayachezi tena).

Hii ni sayansi ndogo sana kuitumia!

Bahari ni maji mengi sana, na kutokana na mzunguko wa dunia, Bila shaka mawimbi ya bahari yangekuwa ni makubwa mno!

Lakini kwa sayansi ileile ya ndoo! Chini ya bahari imo miti mikubwa na misitu mikubwa ambayo inasadikika inasaidia kupunguza kuyumba yumba kwa bahari! La sivyo fujo ya maji ingekuwa kubwa sana!
Naomba ufafanuzi kama hili ni uongo (tupingane kwa hoja)

Pia kwa ukubwa wa bahari Ilivyo Duniani, inauwezo wa kumeza vyote vya nchi kavu! (Yaani ukichukua vyoote magari, majumba, maghorofa, watu, misitu yaani makolokolo yote ya nchi kavu ukiyatosa baharini HAYAJAI!

Haya ni mastori yangu fundi umeme SAMICO, mwenye kazi tuinuane jamani nipigie 0711756341 au huko instagramu nifollow @Samico_Tanzania Sinaga bei kabisa! Natindua hata chumba kiwe kimoja.

_119663227_17.jason-decaires-taylor-sculptures-03226.jpg

MUSAN by Andrey Bizyukin53.jpg

210811132427-06b-museum-of-underwater-sculpture-ayia-napa-restricted-super-tease.jpg

7158e5903ece9defafc0d8b79159680b--green-lake-austria-forests-2.jpg
 
Ipo ni kweli kabisa ila watu hawataamini hadi washuhudie
Nilipata zari kuna kampuni nilikuwa nafanya nayo kazi ya ufundi, ilikuwa kampuni ya wajapani, tulikuwa mafundi wa kibongo wawili, kulikuwa na sherehe zao, wakatuchukua kwenye chombo kutuonesha maajabu, kuna vidumbwana kama submarine unazama chini kabisa ya bahari! Ndiko nikajionea maajabu laivuu.

Sikutamani tena kurudia kuzama! Kuna vimbwanga si mchezo! Hadi mkataba ulivyoisha tukarudi bongo sijawahi taman kabisa kujua yaliyomo yanatisha.
 
Back
Top Bottom