Ikiwa Yona alitoswa baharini; je, sisi tunashindwa nini?

Akabi kemanya

JF-Expert Member
Oct 26, 2021
226
346
Ndugu zangu kwa namna ambavyo mambo yana kwenda kwenye huu mjadala wa hili dubwana dp, Niukweli usiyo pingika kuwa mbele yetu kuna tufani kubwa

Dalili za mvua ni mawingu na panapofuka Moshi ujuwe chini kuna moto, katika jambo hili kuna watu waliojaliwa kuona mbali na wakayaona haya kuwa yatatokea wakatahadharisha.

Mapema kuwa mkataba huu ni dubwana lisilo faa hata kidogo kulikaribisha ndani kwa bahati mbaya walio toa maono hayo wakaonekana niwapinzani wasiotaka mafanikio ya mama.

Na hii nikwa sababu waliotoa maono haya kisiasa wanaitikadi za upinzani na ndiomaana maoni yao yaligeuzwa kuwa mtaji wa ukanda na udini jambo ambalo lilipelekea bunge letu kuupitisha.

Mkataba huo kwa kishindo kama njia ya kuwanyamanzisha watu waliogundua kasoro zilizopo ndani ya mkataba huo.

Hawa kujuwa kuwa kitondo cha kuupitisha mkataba huo ilikuwa ni sawa na kuuzima moto kwa kuumwagia petrori kitu ambacho ni hatari sana kwa usalama na amani ya nchi yetu.

Sasa leo sote ni mashahidi TEC baraza la maaskofu Tanzania wametowa waraka mzito tena wenye msimamo mkali jp ya leo sote ni mashuhuda waraka huo umesomwa nchi nzima kwenye makanisa.

Kituambacho kimeamsha upya tena kwa sura mpya ya huu njadara hofu yangu ni kwamba sasa hata wale wasiofuatilia maswala ya kisiasa na wale wasiopenda hata kusikiliza taarifa za habari kwa kupitia makanisa leo.

Wameyajuwa hata ambayo yalifunikwa kwa shuka nyeusi leo yamewekwa wazi, sasa ikiwa mambo haya leo yamefika hapa kesho tusishangae tukisia ubeti usiyo tamanisha hata kusikiliza.

Ushauri wangu kwa mama hata kama uliingizwa chaka na wajanja bila kujuwa kwa hali ilipofikia iri uiponye nchi tafadhari huu ndio wakati muafaka wa kulitosa baharini hilo dubwana kama Yona alivyo toswa baharini na bahari ikatatulia.
 
Yaaani nawaambiaje. Hata muanzishe nyuzi 100 kwa siku. Ushauri wangu kwenu kunyweni maji mlale.

Serikali imeshafanya maamuzi ya kuongeza ufanisi bandarini na wala hairudi nyuma na haitorudi nyuma.

Kwa nyie mliozoea kuiba bandarini tafuteni tu kazi za kufanya na syndicate zenu
 
Unateseka ukiwa wapi?
 
Afadhali ya ugonjwa maana ukiwa mgonjwa unaweza jikinga kuzuia wengine wasipatwe lakini ukiwa MJINGA unakua hujui kama mjinga
 
Waambie na wenzako. Tafuteni shughuli ya kufanya. Ule wizi wenu mliokuwa mnaufanya bandarini ndo mwisho wake
 
Back
Top Bottom