Italia: Wahamiaji 59 wafariki baada ya boti kuzama baharini

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Watoto 12 ni miongoni mwa waliopoteza maisha katika ajali hiyo huku watu wengine kadhaa wakiwa hawajulikani walipo ikiaminika ilibeba zaidi ya abiria 150.

Watu 80 wamesalimika na baadhi yao wanasema meli ilikuwa inakaribia Pwani ya Crotone eneo la Calabria.

Meli hiyo iliyotengenezwa kwa mbao iligonga mwamba na kusambaratika, ilikuwa inatokea Uturuki ikiwa na raia wa Afghanistan, Pakistan, Somalia na Iran ambao wanakimbia Nchi zao kutokana na umasikini, machafuko.
---

Italy migrant boat shipwreck: Nearly 60 killed off Calabria coast
At least 59 migrants, including 12 children, have died and dozens more are feared missing after their boat sank in rough seas off southern Italy.

The vessel broke apart while trying to land near the coastal town of Crotone in the Calabria region. Survivors said at least 150 people were aboard.
Many of them were fleeing difficult conditions, Italy's president said.

Interior Minister Matteo Piantedosi, who visited the scene, said as many as 30 people may still be missing.
A baby thought to be only a few months old was among the dead, according to Italy's Ansa news agency.

Bodies were recovered from the beach at a nearby seaside resort.

The coastguard said 80 people had been found alive, "including some who managed to reach the shore after the sinking".

The exact number of people who were on the boat when it broke apart is not clear - rescue workers told the AFP news agency that the vessel had been carrying "more than 200 people", which would mean more than 60 people unaccounted for.

The boat, which sailed from Turkey several days ago, was carrying passengers from Afghanistan, Pakistan, Somalia and Iran.

Large numbers of people fleeing conflict or poverty cross from Africa to Italy every year

The vessel is reported to have sunk after it crashed against rocks during rough weather, sparking a large search-and-rescue operation on land and at sea.

Video footage shows timber from the wreckage that had been smashed into pieces washing up on the beach, along with parts of the hull.
Survivors are seen huddled under blankets, attended to by Red Cross workers. Some have been taken to hospital.

"There had been landings but never a tragedy like this," the mayor of Cruto, Antonio Ceraso, told Rai News.

Source: BBC
 
Hawa wanatokea nchi ambazo kila ziko busy kutukana nchi za Magharibi. Kwa nini wasikimbilie Moscow? saa nyingine walinzi wa pwani wa Italy wanafanya vizuri sana, hawahaingiki nao wanatoa tu taarifa za vifo.
 
Hawa wanatokea nchi ambazo kila ziko busy kutukana nchi za Magharibi. Kwa nini wasikimbilie Moscow? saa nyingine walinzi wa pwani wa Italy wanafanya vizuri sana, hawahaingiki nao wanatoa tu taarifa za vifo...
Hizo nchi wanazotokea hao wakimbizi mfano Afghanistan, Somalia, Pakistan, Syria na hata Iran zimeharibiwa na sera za nchi za nchi za magharibi dhidi yao kama vikwazo vikali vya kiuchumi au Uvamizi wa kijeshi.....nchi za magharibi zinahusika pakubwa na maafa haya lazima ziwajibike.
 
Kwamba Alshabaab imesababishwa na West?

Kwamba mapinduzi ya 1979 Iran yalisababishwa na West?

Kwamba kuondolewa kwa Taleban 2001 ndio chanzo? Mbona wakati Karzai anatawala hatukuona wakimbizi kutoka Afghan, iweje ni baada ya Marekani kuondoka?

Pakstan inapewa misaada hadi ya kijeshi na West

Syria inaharibiwa sababu ya Iran, Russia, hao wangeacha swift action ifanyike haya yote yasingetoka
 
Kwamba mapinduzi ya 1979 Iran yalisababishwa na West?
Sera za US huko Iran zilichochea hayo.

Kwamba kuondolewa kwa Taleban 2001 ndio chanzo? Mbona wakati Karzai anatawala hatukuona wakimbizi kutoka Afghan, iweje ni baada ya Marekani kuondoka
Wakimbizi kutoka Afghanistan wapo miaka mingi tu wengi wapo Pakistan, Iran, Uturuki.....ila baada ya kuanza kuelekea west ndio kelele za uwepo wao zikazidi.

Syria inaharibiwa sababu ya Iran, Russia, hao wangeacha swift action ifanyike haya yote yasingetoka
Swift action hapo Libya tumeona matokeo yake mpaka sasa.
 
Marekani aliivamia Somalia au kuiwekea vikwazo lini??
Hizo nchi wanazotokea hao wakimbizi mfano Afghanistan, Somalia, Pakistan, Syria na hata Iran zimeharibiwa na sera za nchi za nchi za magharibi dhidi yao kama vikwazo vikali vya kiuchumi au Uvamizi wa kijeshi.....nchi za magharibi zinahusika pakubwa na maafa haya lazima ziwajibike.
 
Hizo nchi wanazotokea hao wakimbizi mfano Afghanistan, Somalia, Pakistan, Syria na hata Iran zimeharibiwa na sera za nchi za nchi za magharibi dhidi yao kama vikwazo vikali vya kiuchumi au Uvamizi wa kijeshi.....nchi za magharibi zinahusika pakubwa na maafa haya lazima ziwajibike.
Wanawajibikaje
 
Marekani aliivamia Somalia au kuiwekea vikwazo lini??
Mwaka 1993 walijaribu kumkamata mbabe wa kivita Generali Aidid operation yao ilishindwa na wao walijiondoa kabisa huko na Somalia ilitengwa na jumuiya ya kimataifa kwa miongo mingi.

Baadae aliitumia Ethiopia kuingilia kati Somalia mwaka 2006 kuondoa madarakani mahakama ya kiislamu jambo liliosababisha kuibuka kwa Alshabaab baadae.
 
Hao wamezamishwa asee.
Wazungu sio watu. Hakuna anayetaka identity yake Kama taifa ipotee.
Hebu fikiria wageni hao huwa Ni wazaaji wazuri bila utaratibu tofauti na wenyeji. Hivyo basi miaka 10 yatosha kuleta watoto laki tano kutoka kwa wazazi wahamiaji wapatao 100000 hivi?
Nani anataka hivi?
Rais wa Tunisia kasema juzi. Utambulisho wa taifa lake unatishiwa na wahamiaji weusi kutoka Kusini mwa Afrika nk. Weusi Kama Mimi na hao AU wamelaani lakini je Ni uongo? Si uongo!

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hizo nchi wanazotokea hao wakimbizi mfano Afghanistan, Somalia, Pakistan, Syria na hata Iran zimeharibiwa na sera za nchi za nchi za magharibi dhidi yao kama vikwazo vikali vya kiuchumi au Uvamizi wa kijeshi.....nchi za magharibi zinahusika pakubwa na maafa haya lazima ziwajibike.

Wewe hata ukito**wa mkeo utasingizia sera za nchi za magharibi,hovyo kabisa. Hata siku moja nchi zinazoendeshwa kidini huwa hazikariki mana viongozi hujiona miungu watu,na wananchi huishi kwa uoga na hofu tena kwa uvumilivu.
 
Kutwa kutupigia kelele nakulaani nchi zamagharibi kua nimakafiri ila kila siku wanafia njian wakikimbilia huko kula mema yanchi mbona hawakimbilii saudia
 
Back
Top Bottom