baharini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nitamdharau zaidi mwana Simba SC yoyote anayejidanganya kuwa leo Mtoto atampiga Baba Bustanini Kwake Baharini

    Kama Sisi wenyewe tu (Simba SC) wale tuliokuwa tukidhani ni Watoto wetu Wapendwa wataweza Kutulegezea tukikutana nao lakini Wote wanatudindia tu huku wakitukosakosa Kutufunga na mara nyingine Marefa huwa wanatubeba tusije Kuadhirika ndiyo leo tumuombee Mtoto Mnafiki aweze Kumpiga Baba yake...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mikoa saba kupata mvua kuanzia leo usiku

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Lindi, Mtwara, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia pamoja na Uguja na Pemba yatapata mvua nyepesi kuanzia leo saa 3:00 usiku. "Angalizo la mawimbi makubwa yanayofikia mita mbili limetolewa kwa...
  3. Yohimbe bark

    JamiiForums Tanzania Ni kweli biashara za ziwani au baharini na madini bila uchawi hautoboi?

    Habari wakuu, hivi ni kweli biashara hizi bila ndumba hutoboi? Sisi wengine tupo kati kwa Mungu kama hatupo na kwenye ndumba ni weupe kabisa ila ndio hivyo tunaforce hivyo hivyo. Mimi nimeanza biashara za ziwani ila mambo ninayoambiwa hadi naogopa, wanasema watu wamekuja na mitaji yao wamepotea...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dada zetu tafadhali hata kama mnapenda Kuogelea, tafadhali msiogelee Baharini mkijijua mpo Mwezini ( Period ) sawa?

    Kuna Mwenzenu mmoja kafanywa vibaya ( narudia tena kusema kafanywa vibaya ) na Dophin ( Pomboo ) baada ya Kuthubutu kwenda Kuogolea Baharini huku akiwa katika Siku zake ( Hedhini ) na kakipata alichokipata. Video yake iko ina trend itafuteni kwani Kimaadili siwezi Kuiweka hapa. Na wataalam wa...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wa Kawe Tanzania analndwa kwakuwa anakula na aliye Bungeni, wa Fedha, Juha wa Arusha na ni Mganga pia wa Queen Sheeba wa Baharini

    Lamor Whitehead, mhubiri wa New York, Marekani, maarufu kutokana na maisha yake ya kifahari, amekutwa na hatia kwa makosa ya kutumia nafasi yake kama kiongozi wa dini kuwalaghai watu pesa ili kugharamia maisha yake ya kifahari. Maafisa wanasema alitumia pesa za waumini wake kununua vitu...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ndege yapata ajali baharini offshore

    Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore.
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ukungu baharini

    Ukungu unaotokea juu ya maji kwa kawaida hujulikana kama ukungu wa baharini au ukungu wa ziwa. Inatokea wakati hewa ya joto na unyevu inapita juu ya maji baridi zaidi. Ukungu wa bahari au ziwa unaweza kutokea juu ya Bahari ya Atlantiki na Pasifiki, Ghuba ya Mexico, Maziwa Makuu na miili mingine...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Zifahamu nyaya za baharini na mtandao wake katika mabara

    Kebo za chini ya bahari, pia hujulikana kama nyaya za mawasiliano za chini ya bahari, ni nyaya za nyuzi-optic zinazowekwa kwenye sakafu ya bahari na zinazotumiwa kusambaza data kati ya mabara. Kebo hizi ndizo uti wa mgongo wa mtandao wa kimataifa, unaobeba wingi wa mawasiliano ya kimataifa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ikitokea hitilafu au uvamizi wa cable za mawasiliano(internet) baharini tuna backup kama nchi?

    Leo imeripotiwa kuwepo kwa kukatika kwa mawasiliano lililotokana na hitilafu baharini unapopita mkonga wetu wa Taifa. Mitaandao yote ya mawasiliano imekuwa down kwa muda kiasi na hadi sasa network bado inasumbua.Hali hii imenifanya nijiulize je tuna backup za internet nje ya mfumo uliopita...
  11. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Teknolojia( Nature of offshore geotechnical engineering) ya uchimbaji mafuta na gesi unavotumika baharini.

    Nature of offshore geotechnical engineering ni utaalamu unaohusiana na uchunguzi na uhandisi wa vifaa vya ardhi chini ya bahari. Maana yake, inazingatia sifa za ardhi, tabia za udongo, mchanga, na miamba chini ya bahari, pamoja na mazingira ya bahari kama mawimbi, mkondo, na athari za mchanga...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kusema Maji ya mafuriko ya Rufiji yatafutiwe njia ya kwenda baharini, si kumtukana Rais. Wananchi wanateseka

    Tunashukuru Serikali ya Tanzania kwa kuyoa Tan 300 za unga, mchele na maharage kwa watu wa Rufiji japo ambazo zimefika na kuonekana kwa macho ni Tan 32. Labda hizo tani nyingine bado zipo njiani. Huko Rufiji Serikali imepeleka tan 100 za maharage, tani 100 za mchele na tani 100 za maharage...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Gari lazama baharini Zanzibar

    Gari lazama baharini Zanzibar Gari aina Mitsubish canter imedondoka baharini katika bandari ya Malindi Zanzibar katika harakati za upakuaji wa mizigo kikosi cha zima moto na uokozi pamoja na Jeshi la Polisi linaendelea zoezi la uokoaji
  14. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Daraja lazamishwa baharini huko Baltimore- Marekani

    Daraja kubwa la Francis Scott Key Bridge lenye urefu maili 1.6 huko Baltimore limegongwa na meli ya mizigo na kizamishwa baharini kabisa huku malori na magari madogo yakizama baharinii The moment Francis Scott Key Bridge in Baltimore collapsed after a cargo ship struck it in the early hours of...
  15. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA endeleeni kuzindua magorofa na kuchinja mbuzi chama kikiendelea kutota baharini

    Nimesoma bandiko la Martin Maranja Masese kada wa CHADEMA, akitudorishia minyama na idadi ya mbuzi waliochinjwa kwenye uzinduzi wa nyumba au kasri ya Jacob kama wao wanavyotanabaisha. Ni ushamba tu Karne hii mtu mzima kukaa mtandaoni kujivunia nyumba ya aliyojenga mwenzako. Kila mtu anaweza...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu wateja wa mazao ya baharini

    Habarini ndugu, naomba kufahamu kampuni au wateja wakubwa wa mazao ya baharini kama vile mwani, jongoo bahari, wachakataji wa samaki, mikoko, Seashell nk. Kiujumla nahitaji kufahamu wale wote ambao wapo kwenye value chain hiyo. Ahsanteni.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Marekani, Irani na Urusi wafanya mazoezi ya pamoja ya majeshi ya baharini

    Sisi mashabiki tunadhani wenzetu wanawaza kupigana tu, kumbe sometimes wanakaa pamoja na kufanya vitu pamoja. Mwezi february mwaka huu majeshi ya marekani, urusi na Iran yalifanya mazoezi ya pamoja katika bahari ya hindi. Mazoezi hayo yalikuwa hosted na India. Unaweza kupata taarifa hizo...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mwili wa kijana aliejirusha baharini umeonekana

    Kijana aliyejitosa baharini katika Meli ya Zanzibar III, mwili wake umepatikana maeneo ya Tumbatu. Daktari Mkuu msaidizi wa Hospitali ya Kivunge Kaskazini Unguja Dkt Tamim Hamad akiri kupokea mwili wa Mahmoud Mwalim akiejirusha baharini akiwa amefariki. "Leo majira ya saa 10 jioni tumepokea...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri Bahari Zanzibar Shekha Ahmed Mohamed, amekiri kupokea taarifa za kujirusha baharini kwa kijana huyo Mahmoud Mwalim Saleh ‘30’ wakati akiwa kwenye Boti ya Zanzibar 3 iliyokua ikitokea Pemba kurejea Zanzibar Tukio hilo limetokea majira ya saa 4:30 asubuhi...
  20. Felix Mwakyembe

    JamiiForums Tanzania Kesho ya Nishati yetu Tanzania ipo baharini (Sehemu ya Pili)

    Soma Sehemu ya Kwanza hapa: Kesho ya nishati yetu Tanzania ipo baharini (Sehemu ya Kwanza) Nini kifanyike: Umeme wa upepo ni moja kati ya vyanzo anuwai vya nishati mbadala vilivyopo, na ambavyo havijatumika kutatua tatizo la umeme nchini. Wakati mahitaji yakiogezeka maradufu, ni Dhahiri kwamba...
Back
Top Bottom