AKAJIFUNGA VAZI LAKE, AKAJITUPA BAHARINI.
Bwana Yesu asifiwe.
Ulishawahi kulitafakari kwa ukaribu lile tukio, ambalo Bwana Yesu aliwatokea wanafunzi wake kwa sura nyingine, walipokuwa baharini wanavua?. Utaona muda wote aliokuwa anazungumza nao wasimtambue Petro alikuwa uchi, Lakini Yohana...
Mkuu wa wilaya ya Ilala Ngw'ilabuzu Ndatwa Ludigija ametahadharisha Wananchi wa Dar kwamba Wasinunue mafuta ya kwenye Madumu.
Kasema Pwani ya Dar kuna Meli inamwaga mafuta, fukwe zote zimejaa mafuta ambayo bado haijafahamika, hivyo watu wanachota na kwenda kuuza Mtaani. Mafuta haya yanaweza...
Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh)
Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki Onyango, Beki Tshabalala, Viungo Mkude na Kanoute na Washambuliaji Morrison na Sakho wakionyesha...
Tanzania tuna eneo la mwambao wa bahari kutoka Kaskazini mpaka Kusini lenye urefu upatao 1084km, idadi ya vyombo vya uvuvi upande wa Bahari ya Hindi ni pungufu ya vilivyo ziwa Victoria.
Ripoti ya mwaka 2019 ilionyesha bidhaa za uvuvi Kutoka baharini zilizopelekwa nje ya nchi ilikuwa ni Tani 5...
Watu 9 wamefariki dunia na wengine 6 kuokolewa wakiwa hai baada ya boti kuzama baharini Kisiwani Pemba wakati watu hao wakitokea Chakechake kwenda kisiwa cha Panza kwenye shughuli za mazishi.
Zoezi la uokozi limesitishwa usiku na litaendelea Januari 5, 2022 asubuhi.
Shahidi katika tukio hilo...
Hili ni kundi ambalo halijatosheka na damu liliyokunywa, na tayari limeanza kujipanga kunywa damu zaidi ya watanzania, kutupa miili yao baharini, kupoteza raia kwa njia ya kuteka kwa magari aina ya Noah, kufukuza watumishi bila kufata taratibu, kuchukua kwa nguvu pesa za wafanyabiashara, mali...
Kufa ni mara moja tu na ukishakufa unaoza then you are done. Hamna jingine tu juu ya mwili wako. Tusipoteze pesa nyingi na kuingia gharama kumzika mtu ambaye ktk ulimwengu huu ashapoteza uwepo wake.
Ni aibu watu wanapogombea maiti. Huwakuti hawa wakigombea kuuguza. Linapokuja suala la kuuguza...
Kuwa makini sana kipindi uwapo Beach!
Kabla ya kuingia kwenye maji, angalia vizuri bahari. Ikiwa utaona nafasi iliyojitenga kama uwazi katikati ya mawimbi, usiingie!
Ni mkondo wa chini na utavutwa ndani.
Mkondo huu unaweza kuwa UNDERTOW au RIP CURRENTS (unaweza uka-google kwa maelezo zaidi)...
Tanzania ni nchi iliyozungukwa na maziwa na bahari, huku ikiwa na mito mbali mbali yenye kutiririsha maji nchini.
Tanzania kwa kiasi kikubwa kuanzia mijini hadi vijijini utegemea sana maji ya mito na mabwawa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na viwandani.
Kutokana na shughuli za binadamu...
Watanzania tuna jambo la kujifunza na kuchukua hatua sahihi hivi sasa kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia. Tusijifanye vipofu hatuoni ukweli uliopo. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliopo hivi sasa ni wa muda tu kama katiba ya Serikali ya Muungano haitafanyiwa...
Kuna clip inazunguka kwenye Watsap kuwa kuna Gari limetumbukia COCO BEACH mchana huu
====
Gari aina ya Toyota Land Cruiser Prado limetumbukia katika Bahari ya Hindi eneo la ufukwe wa Coco huku polisi wakieleza kusubiri afya ya dereva wa gari hilo kuimarika ili waanze uchunguzi.
Kamanda wa...
Si ulisema kuwa huko ndiko ulikokuwa ukikupenda? Sasa mbona tokea jana unaogopa Kusogelea hiyo Kambi baada ya kuambiwa unaweza ukaondoka duniani Kikafara ili unaowapenda Washinde Jumamosi?
Na Mightier nimetonywa kuwa Option ziko Mbili tu ama itafutwe Maiti ya hivi karibuni ikafukiwe Temeke...
Leo nimesikia kwenye habari ya kuwa Mikoa ya Dar Es Salaam na Pwani watarajie upungufu wa maji kutokana na kina cha maji ya Mto Ruvu kupungua.
Mwanamuziki Bob Marley kwenye wimbo wake wa 'Rat race' kuna mstari anasema "in the abudance of water the fool is thirsty"...na maandiko yanasema "Watu...
Wandugu kwanini hao samaki wa baharini hawafiki huku mikoani. Huku sijawahi ona bucha linauza samaki wa baharini. Labda vibua kidogo. Ingekuwa poa sana na sisi tupate dagaa mchele tupige na ugali.
Mabucha yote ni sangara na sato. Kwani pweza na hao samaki wengine wa baharini hawakai kwenye...
Ndege ya Urusi iliyowabeba Watu 28 imepoteza mawasiliano leo na kuangukia Baharini umbali wa KM 15 hadi 25 kutoka Airport na taarifa zinadai Watu wote 28 waliokuwa kwenye ndege hiyo wamefariki Dunia.
Aidha, inaelezwa kuwa Ndege hiyo yenye namba RA-26085 ilibeba abiria 22 pamoja na wafanyakazi...
Habari wadau!
Ni muda sasa wizara zikajitathimini na kuwa wabunifu ili kumsaidia mama kuongeza mapato.
Nilikuwa nashauri serikali kupitia wizara husika kuangalia uwezekano wa kuanzisha utalii watu tukawe tunaenda kutalii chini kabisa ya bahari deep sea bila shaka kutakuwa na utamu wake maana...
Niwasalimu ndugu zangu kila mmoja kwa nafasi yake, leo niwape kwa ufupi mambo yanayofanyika pale swimming club-Rskazone Tanga
Siku za wikiendi, hasa jumamosi na jumapili utakuta nyomi la watu wamekuja kuogelea, kiingilio sio kikubwa nadhani ndio sababu ya watu kuvutika kiasi hicho, ni shilingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.