bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Treni ya mwendokasi ya kutoka Dar mpaka Morogoro mbona bado kizungumkuti?

    Sasa yapata miaka mitatu tangu tuaminishwe kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza huduma yake lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea. Ninaomba majibu kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TRC. Atoke waziwazi kupitia luninga kuelezea umma ili tufahamu tatizo liko wapi.
  2. JamiiForums Tanzania Falsafa ya Gamondi: Football is a show game (An Art) bado kuna Mtu ana swali?

    Na Nukuu "I am very happy and proud of (Yanga style of play). If you remember at the beginning I said for me football is a show game, we play for the fans, not only Wananchi but for all the people who love football. Yanga is a team to watch even if you are not a Yanga fan"..~GAMONDI Kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga japokuwa wameshinda na kufuzu robo fainali, lakini kiwango bado kipo chini

    Yanga wamefanikiwa kuweka historia mpya katika klabu yao kwa kutinga robo fainali ya klabu bingwa ya afrika, lakini kiuhalisia kiufundi kiwango bado kipo chini kidogo ikiwa wanataka kusonga mbele zaidi na hapa nitaonyesha dosari kadhaa kwa kutumia mechi ya jana. 1. Kuchelewa kuimaliza mechi...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga katika ubora wao wa sasa na Simba ya Kipindi kile, Bado Yanga hii ya Moto Imepiga Team kubwa kuzidi Simba Ile.

    Kiukweli yanga imeiva sana..huwez ilinganisha na Simba ya Kipindi kile katika ubora wao. Yanga hii inapiga Vigogo kwelikweli. Ila we Simba ya Kipindi kile inafunga Team kama NKANA serious!!! Hii Yanga imebakiza Team Mbili tu kuzipasua nazo ni Mamelodi na Al Ahly ambazo naamin Next round yanga...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mzazi akipata mimba wakati bado ananyonyesha hudhoofisha afya ya mtoto anayenyonya

    Mimi ni mmoja wa watoto waliotungwa mimba wakati mzazi bado ananyonyesha, bahati mbaya aliyenitangulia alifariki dunia kabla sijazaliwa. Hivyo wakati nakua niliambiwa na majirani kuwa kutungwa kwangu mimba kulisababisha afya ya dadangu kudhoofu na kupelekea kifo. Hili suala ni kweli au vihoja...
  6. JamiiForums Tanzania DR. Ayoub Ryoba bado anaendelea kudeka TBC au kapatiwa wasaidizi wenye uwezo na akili kumzidi?

    Mwanakususa mwanakudeka ameanza kubwata na kusikika, yumkini kwa sasa aneoata watu wazito na welezi kwenye tasnia kumzidi kiasi kwamba ameona ageukie uanaharakati dhidi ya mitandao madhubuti kama jamiiforums. Ukipasua pipa sisi tunawasha kiberiti. Moto ni moto na kiberiti ni kiberiti, na pipa...
  7. JamiiForums Tanzania House4Sale Appartments zinauzwa Mbezi Mwisho Msakuzi

    ..
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi kuhama kituo cha kazi lakini taarifa zake bado zinasomeka kituo cha zamani

    Habarini za majukumu wana JF, Kuna ndugu yangu ni mwalimu alifanya mchakato wa kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na kufanikiwa lakini uhamisho wake ni ule wa kimchakato zaidi sio ule wa kufuata procedure za step by step kwenye halimashauri. alipata barua ya uhamisho...
  9. JamiiForums Tanzania Himars bado zinawatesa Russia 65 wauliwa Donetisk

    More than 65 Russian soldiers have been killed in a Himars rocket strike on a military base in the Donetsk region, it has been claimed. Russian military bloggers reported that three Himars rockets struck the training ground of Russia’s 39th Separate Guards Motorised Rifle Brigade in the...
  10. JamiiForums Tanzania Mwana FA: Simba na Yanga kuwa goli la Mama bado lipo palepale

    Naibu Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (MwanaFA), amewaomba mashabiki wa Simba na Yanga kuungana pamoja katika kuziombea timu zao kuelekea mechi zao za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL). Pia MwanaFA amesema kuwa goli la Mama bado lipo palepale. Simba itacheza...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Moshi Vijijini acheni siasa za kuchafuana, muda bado

    Kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 jimbo la Moshi vijijini lilimpata mbunge wake,Profesa Patrick Ndakidemi kupitia chama cha mapinduzi(CCM)baada ya kuwashinda wapizani wake akiwamo mpinzani wake mkubwa kwenye kura za maoni,Morris Makoi. Falsafa ya chama cha mapinduzi ni kwamba,baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa?

    Mambo vipi wakuu? poleni na majukumu. Naomba kuuliza mwenye kufahamu, hivi portal ya Taesa bado iko active au ilishakufa? Maana kwenye siku za hivi karibuni nimejaribu sana kufungua account lakini system inagoma...
  13. JamiiForums Tanzania Abiria wanapanga foleni lakini bado changamoto ya Mwendokasi ni kubwa

    Mbali na kuwa na utaratibu wa kupanga foleni lakini bado usafiri wa Mwendokasi Kituo cha Mbezi Luis Dar es Salaam bado ni changamoto sana, sijui nini kifanyike kwa kweli? Nimepita nikaona watu wanavyopambana na kugombania kuingia kwenye usafiri hadi huruma.
  14. JamiiForums Tanzania Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka. Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi. Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda bado ni kijana mdogo na asitumike vibaya kama Sabaya

    Makonda bado ni kijana mdogo na bado hana utashi uliokamilika, bado anafanya mambo kwa kufuata hulka, hisia za kiujana na kutegemea watu wanamwona vipi. Hulka hizi hutumika sana na wakubwa kuwatafuta watu wa kushirikiana nao katika jambo fulani kwa manufaa yao. Wanajua vyema mtu kama Makonda...
  16. JamiiForums Tanzania Haji binafs tangu akiwa yanga kama msemaji ninamheshim bado lakini katika uwanja wa kitaalam na kitaaluma........

    Haji ni kijana bado, sio mzee kivile, mwanamichezo na serebliti katika sport na kadhalika. Hoja yangu ni kwamba ni kweli aliigusa 7 points katika division ya kwanza. Labda nite maelezo mafupi kwa wenye talent, bahati njema ni kwamba hawa vipaji aka vipanga wamenizunguka nawafaham vyema. Mmoja...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kinana akiri kwamba CCM imeondoa kesi 9 za CHADEMA Mahakamani bado 2 wanazishughulikia: kumbe kesi zinafunguliwa na CCM?

    Mzee Kinana akizungumza na viongozi wa CCM DAR es salaam ameeleza kwamba CCM imeondoa kesi tisa za jinai walizowafungulia chadema mahakamani na sasa hivi wanaangalia namna ya kufuta kesi mbili zilizobaki. Kwa kauli ya Kinana ni kwamba anajivunia CCM kuwafungulia kesi za jinai wanachama wa...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nyimbo ya Harmonize ft Marekabi ni Nzuri , ila beat bado sana kufika level za Nigeria

    Harmonize ametoa wimbo mkali, lakini bado beat na production za Tanzania hazipo kwenye kiwango sahihi na Wala haziendi na wakati, beat ni ya kizamani na production ni low quality. Harmonize alishindwa Nini kupanda ndege kwenda Kwa producers wa Nigeria amtengenezee kitu kali kama zilivyongoma za...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Tumechoka na ahadi za treni za umeme

    Kuhusu kuanza kwa treni ya kisasa ya SGR, Makonda amesema kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi Unguja hivi karibuni kiliwaita Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kutoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa reli...
  20. JamiiForums Tanzania Simba Bado inacheza mpira mbovu

    Bado sijaelewa kama hawa wachezaji wa Simba wana kazi nyingine zaidi ya mpira au namna gani? Bado wachezaji wetu wanafanya makosa madogomadogo na wanakosa seriousness. Bado wachezaji wetu wanaendelea kuwa na tatizo la ball control, possession ya mpira kwa wachezaji bado shida. Pass accuracy...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…