Haji binafs tangu akiwa yanga kama msemaji ninamheshim bado lakini katika uwanja wa kitaalam na kitaaluma........

Kisesetusese

Senior Member
Sep 12, 2022
173
242
Haji ni kijana bado, sio mzee kivile, mwanamichezo na serebliti katika sport na kadhalika.

Hoja yangu ni kwamba ni kweli aliigusa 7 points katika division ya kwanza.

Labda nite maelezo mafupi kwa wenye talent, bahati njema ni kwamba hawa vipaji aka vipanga wamenizunguka nawafaham vyema. Mmoja katika hawa ni mtangazaji maarufu pasco, msomi, mwana jamii forum na mtu mwerevu. Huyu ni kipaji alianzia pale arusha katika kituo cha ilboru Sekondari. Huyu sina shaka. Haji alisoma wapi na alipata one points sevon kweli??

Ni mtu na kijana na ana dini imemkaa mashaallah. Haji manara tangu akiwa yanga kama msemaji ninamheshim bado lakini katika uwanja wa kitaalam na kitaaluma. naombeni kujua

Kwawanaomjua
 
Haji ni kanjanja tu na tapeli
JamiiForums1940860964.jpg
 
bado kijana kwasababu yupo around 49 yrs nahisi.

Form four alipata div one? hii sidhani, labda kweli.
 
Manara juzi katika interview kasema wazi kua kapanga na Wala haoni aibu kuweka wazi kua anaishi nyumba ya kupanga.....

Hapa kwenye video anadai anaweza kuwaajiri wapishi 20 wote wakae kwake awape majukumu, kama ni WA Chai awe wa chai tu, wa ubwabwa awe we ubwabwa tu....

Sasa najiuliza hao ma chef 20 atawalaza wapi? Wasanii wetu bwana
 
View attachment 2895128
😂😂
 
Lakini anawwazidi fedha..huo ucebrebrate umemupa kipato kisichopungua sh billion 3 cash kwenye asset na cash account
Mtu mwenye bilioni 3 ambaye anaweza kuishi nyumba ya kupanga ni muhindi tu kwa hapa bongo, manara kapanga Hio b3 ataitoa wapi?
 
Back
Top Bottom