Mwana FA: Simba na Yanga kuwa goli la Mama bado lipo palepale

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Naibu Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (MwanaFA), amewaomba mashabiki wa Simba na Yanga kuungana pamoja katika kuziombea timu zao kuelekea mechi zao za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).

Pia MwanaFA amesema kuwa goli la Mama bado lipo palepale.

Simba itacheza Ijumaa Februari 23, dhidi ya Asec Mimosas.

Yanga itacheza Jumamosi Februari 24, dhidi ya CR Belouizdad.

Credit - AzamTV
 
Back
Top Bottom