Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.
Ama kweli tunatofautiana. 😂
Kuna watu tayari wamevuka utajiri wa bilioni 10 zisizo na minyororo ya madeni, lakini bado haziwatoshi. Wengine tukizipata hizo bilioni 10 tu, tunastaafu mapema kabisa.
Biashara zenyewe hizi kwetu wabongo kama mnavyojua ukishatangulia warithi wanachowaza ni kuziuza...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema wasanii na watu maarufu waliotikia wito wa kwenda kwenye kikao nae wamesamehewa makosa mbalimbali waliyokuwa nayo huku Jeniffer Jovin na Twalibu Bakari Anko T kutosamehewa kutokana na kutofika katika kikao hicho.
Katambi amesema hayo...
Mtandao na internet
Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet
Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila
Barabara na uchukuzi
Kuna maeneo Tanzania hii hii kipindi cha mvua wanakata muingiliano/mawasiliano ya kutoka na kuingia mpaka mvua...
Mimi ni mtumishi wa Tanzania Forest Services (TFS), Kanda ya Magharibi, nikiwa katika ngazi ya chini kabisa ya kuanza utumishi. Nimeamua kueleza changamoto zinazotukabili baadhi ya watumishi katika eneo letu la kazi.
Kuna hali ambayo inaonekana kuwepo ya kutokuwepo kwa usawa katika malipo ya...
Anonymous
Thread
askari
bado
habari
kanda
kanda ya magharibi
magharibi
malipo
mimi
mtumishi
muda
tfs
1-Vijijini na hata mijini bado kuna watu hata hawajui kama nafasi ya makamu wa rais imefanyiwa mabadaliko
2-bora hata wazee na miranial wengi wao wanajua kuhusu hizi habari
.....utafiti usio kuwa rasmi umeonyesha Gen z ndo kabisa hawajui kinachoondelea wao wanasema bora liende hao viongozi...
Kipi kinachozuia mkutano wa baraza kuu la CHADEMA ili hali mkutano utaendeshwa kwa Hela za donation mlizowatapeli wajinga? Warudishieni watu hela zao.
Mnazugazuga mwisho wa siku hakuna mkutano ili hali mna hela za watu kama ilivyokuwa kwenye donation ya kununua gari la LISSU mlizugazuga mwisho...
Wanabodi,
Wakati wengi wengi bado tumepigwa shock na bumbuwazi kwa kilichotokea haswa hii double tragedy ya VP. Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi, hili ni bandiko la kuwaelimisha watu na kuwasisitiza tuwe na heshima kwa viongozi wetu, kwasababu licha ya kujiuzulu mwenyewe na kufukuzwa CCM kwa...
Hapa tupo shingoni, bado kichwa tu. Kama ni ng'ombe imebaki mkia tu kiwiliwili kwisha. Kwa kuwa serikali haziamini utabiri. Basi waamini hata political winds it blows.
Tayari sio mpasuko tena ni pamde mbili tofauti, asilimia mia hakuna anayesapoti pande.
Hata raia wamechoka. Ikifanyika...
Kama wewe kweli ni mzalendo utaendelea vipi kuwa ndani ya Chama ambacho Makamu Wa Rais wa nchi anafukuzwa kwasababu ya kusema watanzania wapiganie katiba mpya.
Tujiulize kwanini hao waliobaki katiba mpya inawapeleka huko. Na hao TIS wanafanya kazi kwa niaba ya nani?
HALA TAXPRO LAUNCHPAD Programme imeandaliwa mahsusi kwa ajili yako. Ni programu ya kukuongezea ujuzi na uzoefu wa vitendo katika taaluma ya kodi, na haitakugharimu ada yoyote ya mafunzo.
Awamu ya kwanza ya programu itahusisha wahitimu 15 pekee, kulingana na idadi ya vitendea kazi vilivyopo...
Huyu mwanamke ni hatari aisee..
Kakataa katakata kushindwa kirahisi rahisi na asiye upande wake...
Je, inaandaliwa kesi ya uhaini dhidi yake...?
Inasemekana alikuwa na mipango ya kumpindua boss wake kwa namna yeyote..
Rejea makutano yake na TEC mara kwa mara. Then na safari zake za nje ya...
Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye ameshanyonya ub***o wa mwanaume mwingine..
Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye amewahi kukaa Dog style kwa wanaume wengine
Never
Uvumilivu huo sina
Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye ameshanyonya ub***o wa mwanaume mwingine..
Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye amewahi kukaa Dog style kwa wanaume wengine
Never
Uvumilivu huo sina
Watanzania tuache tabia ya kusoma vichwa vya habari tu tuwe tunasoma kilichomo ndani huu uvivu wa kutokusoma in detail ndo kunasababisha uwepo wa upotoshaji mkubwa kama huu unaoendelea mitandaoni kwa sasa.
Ukiisoma barua kwa ndani unaona kabisa inajikanyagakanyaga sana haipo straight forward...
Siyo kila unapopita brother habari yako au kila siku unampgia mtu simu unamwambia nilikuwa nakusalimia kumbuka
SALAMU YA MASKINI INACHUKULIWA KAMA OMBA OMBA
Naulizia ule upendo unaopenda toka moyoni Kwa Nia ya dhati.
Ule upendo ambao hauangalii una Nini au we ni nani au ukoje,unaakuangalia moyo wako.
Unaowaunganisha watu Kwa mioyo Yao na sio walivyo navyo.
Ule upendo ambao hata ukiporomoka Hadi 0 mwenzio bado anakwambia nipo nawe.tutatafuta...
Watanzania wenzangu mbona hamna furaha? Mradi mkubwa kama huu mmeamua kuupotezea?.
Sioni zile bashasha za furaha kama kipindi cha JPM, miradi mikubwa ambayo jpm aliizindua ilipokelewa vilivyo na kumpongeza, vipi kwa mama mbona hamfurahi?
Tanzania tuna vyama vya upinzani ambavyo viongozi wake wanaweza kuhamia CCM wakati wowote kama "mazingira " yataruhusu wao kuhamia. Mfano ya viongozi waliohamia CCM ni mingi sana tukianzia na Prof. Kitila. Wananchi wamekosa imani na vyama
Tanzania tuna vyama vya upinzani ambavyo viongozi wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.