Hivi bado bwana Putin ni mseja?

Hivi bado bwana Putin ni mseja?

Inaaemekana aliwahi kuoa ujanani akiwa mwanajeshi, ana Ana bint wawili......

Alitalakiana na mkewe mwaka 2014.....

Kwa sasa mahusiano yake hayapo public, ila lazima kuna mahali huwa ndugu abdalah anatapikia kimya kimya
 
Vipi, yule bibie aliyetua katika himaya yake jana anaweza akamkanda? 🤔.
 
Back
Top Bottom