ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,669
- 39,041
Mara nyingi watu wakiachana wanakuwa hawapendi kuwasiliana tena na kila mtu anajaribu kuendelea na maisha yake, kujijenga upya na kuacha yaliyopita yabaki kuwa sehemu ya historia yao na wengine huenda mbali hadi kufuta namba za wapenzi ili kujipoza na maumivu haraka. Sasa tukija upande wako kwanini bado una namba ya ex wako
Naomba jibu
Naomba jibu