Kumbe Profesa Muhongo bado yupo bwana!

Kumbe Profesa Muhongo bado yupo bwana!

Matokeo yake, form four failure ndiye rais wa nchi bwahahhahahaaa
Imagine kama unalinganisha akili ya samuya vs muhongo ni kama unalinganisha ml kilimanjaro na kichuguu!!.
Na kibaya zaidi hataki kukubali kusaidiwa na wenye Phd na profesion zao, anateua watoto wake kuwa mawaziri hahah
 
HUYU MTU NAMUONA VERY POTENTIAL KWA MAMBO YA KISAYANSI NA KIUCHUMI
Natamani sana kumuona akiwa kama katibu mkuu wa wizara ya mambo hayo au pengine Waziri kamili
 
Back
Top Bottom